Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,224
12,729
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi wetu na kupeleka kwao.

Kwa nini mashirika haya yasitafutiwe ma CEO, ma CFO nk nk kutoka nje wenye uzoefu. Wapewe madaraka na malengo. Wakifeli wanatimuiwa na kuletwa wapya.

Kama vile kwa makocha wa timu za mpira? Kwanini tusitafute mameneja wa ATC kutoka Ethiopia na nchi nyingine zilizofanikiwa kwenye upande huo.

Kwanini tusisake duniani mameneja na watu wenye ujuzi na uzoefu wa kuendesha mwendokasi.

Kiuchumi gharama za kuwalipa wakuu hao ni ndogo sana ukilinganisha na hasara za kiuchumi zitokanazo na kuleta kampuni za kigeni.
 
Tatizo sio CEO Bali sheria zilizounda hayo Mashirika.

Pili unakumbuka Magufuli alikataa kuwalipa mishahara mikubwa hao ma CEO walioletwa na Jakaya?

Mwisho Kuna ma CEO hata Sasa walioletwa kutoka private sector kama kina Maharage ,kule Bohari ya Madawa nk lakini ufanisi ukawa mdogo.
 
Waswahili kuendesha kampuni kuna shida.
Mfano kampuni ya mabasi binafsi ya Scandinavia ilipoanzishwa walileta CEO mzungu kampuni ilikuwa Inaendeshwa kisasa na mabasi ya kisasa .ikakua vizuri mno .Mzungu alipoondoka yule CEO ikafa hadi leo
 
Shida imeanzia kwenye mentality za kijamaa ambazo tumeasisiwa nazo ndio maana Hadi kesho mbongo anapenda kuajiriwa kuliko kujiajiri hata kama anapata Fedha kubws private
 
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi wetu na kupeleka kwao.

Kwa nini mashirika haya yasitafutiwe ma CEO, ma CFO nk nk kutoka nje wenye uzoefu. Wapewe madaraka na malengo. Wakifeli wanatimuiwa na kuletwa wapya. Kama vile kwa makocha wa timu za mpira? Kwa nini tusitafute mameneja wa ATC kutoka Ethiopia na nchi nyingine zilizofanikiwa kwenye upande huo. Kwa nini tusisake duniani mameneja na watu wenye ujuzi na uzoefu wa kuendesha mwendokasi. Kiuchumi gharama za kuwalipa wakuu hao ni ndogo sana ukilinganisha na hasara za kiuchumi zitokanazo na kuleta kampuni za kigeni.
CCM INATAKA MAKADA WAKE WAYAFIRISHI MASHIRIKA TENGUA TENGUA NI DALILI TOSHA KUWA WATEULE WANA UWEZO MDOGO
 
Tatizo sio CEO Bali sheria zilizounda hayo Mashirika.

Pili unakumbuka Magufuli alikataa kuwalipa mishahara mikubwa hao ma CEO walioletwa na Jakaya?

Mwisho Kuna ma CEO hata Sasa walioletwa kutoka private sector kama kina Maharage ,kule Bohari ya Madawa nk lakini ufanisi ukawa mdogo.
Sheria zinakwamishaje? Kama ni zinataka wakuu wa hayo mashirika lazima wawe watanzania walioteuliwa na waziri au Rais na tuibadilishe. Kama, wanasiasa na bodi zinawakwamisha sheria iwekwe sawa. Hawa wa bongo uwezo mdogo na wengi hawana uzoefu. Tunahitaji wakuu wa mashirika wenye uwezo na uzoefu.
 
Tena huko kwenye bodi za wakurugenzi ndio kabisa kuna watu weupe vichwani hamna kitu hupewa tu kama eneo la kupumzika tu.Wanakuwa hawana mchango wowote wa maana
 
Tatizo sio CEO Bali sheria zilizounda hayo Mashirika.

Pili unakumbuka Magufuli alikataa kuwalipa mishahara mikubwa hao ma CEO walioletwa na Jakaya?

Mwisho Kuna ma CEO hata Sasa walioletwa kutoka private sector kama kina Maharage ,kule Bohari ya Madawa nk lakini ufanisi ukawa mdogo.
Sasa maharage si dalali wa makamba mdogo, ungetegemea awe na akili yoyote ya kiutendaji!?
 
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi wetu na kupeleka kwao.

Kwa nini mashirika haya yasitafutiwe ma CEO, ma CFO nk nk kutoka nje wenye uzoefu. Wapewe madaraka na malengo. Wakifeli wanatimuiwa na kuletwa wapya. Kama vile kwa makocha wa timu za mpira? Kwa nini tusitafute mameneja wa ATC kutoka Ethiopia na nchi nyingine zilizofanikiwa kwenye upande huo. Kwa nini tusisake duniani mameneja na watu wenye ujuzi na uzoefu wa kuendesha mwendokasi. Kiuchumi gharama za kuwalipa wakuu hao ni ndogo sana ukilinganisha na hasara za kiuchumi zitokanazo na kuleta kampuni za kigeni.
Sikiliza: CCM haiwezi kufanya hivyo kwa sababu imejaa mafisadi. Lengo lao kuu ni kushibisha matumbo yao na siyo kuendeleza nchi. Hata huo mwendokasi kuna tetesi kuwa hao ''wawekezaji'' kutoka sijui Dubai, ni mama wa Kisimkazi amefungua li-kampuni lake huko na ndilo linakuja kufanya yake.
 
Sheria zinakwamishaje? Kama ni zinataka wakuu wa hayo mashirika lazima wawe watanzania walioteuliwa na waziri au Rais na tuibadilishe. Kama, wanasiasa na bodi zinawakwamisha sheria iwekwe sawa. Hawa wa bongo uwezo mdogo na wengi hawana uzoefu. Tunahitaji wakuu wa mashirika wenye uwezo na uzoefu.
Unaelewa maana ya job security? Kati ya Serikalini na kwenye Mashirika ya Umma wapi Kuna job security?

Pili sheria ya Manunuzi unaijua? Private sector wanaifuata hiyo sheria?

Wewe elewa kwamba sheria na sera za serikali hazitoi nafasi ya Mashirika kushindana kibiashara.
 
60% ya watumishi hawana uwezo naa ndio hao wapo nafasi za juu ,wale walioingia kweny utumishi kwa uwizi.

Kumleta mzungu bila ya team yake ni nadra sana ndio maana hata makocha wakija wanataka wachezaji fulani wanaoendana nao...Mkuu nimefanya kazi kweny mashirika ya umma mengi ila ukweli usemwe hapa nimefunga.

Wabongo ni wapenda starehe na kama upo nondo lazima uletewe zengwe , watanzania ukiwaweka sehemu basi ni umbea tu.

Mwaka fulani nyuma ,siku moja huduma zilichelewa maana pale ofisini watu walihost part ya HDB ya kijinga ...Mda wa kutoka mtu hana mda wa kuangalia foleni ya wanaotaka kutoa huduma yeye anaondoka ikiwa lengo la kutoa huduma kwa siku bado hatujafikia .

Wanawake ni kichefuchefu hizo excuses mara mwanae kafanya hivi ni hatari sana ,kuwahi napo ni ovyo.

Haya mambo hata chuo ndio hivyo hivyo ,mkipanga discussion kesho basi excuses kibao hata kufika ni kutegeana ila watu wanataka wawe kweny front pages pale hata kwa kuhonga.

Sababu kubwa👉 watanzania wengi hawapendi kazi wanazofanya ,wanachoshwa na kazi zao mapema zaidi ndani ya miaka 3 tu..Hawana morale kabisa siasi ni nyingi .

Ushauri👉 kijana umri wa ujana ni wakufanya kazi kwa bidii ili kufika mbali ,hayo mambo mengine hayana mpango maendeleo ni muhimu kwa kizazi chako kuliko hizo bata unazokula .
 
60 ya watumishi hawana uwezona ndio hao wapo nafasi za juu ,wale walioingia kweny utumishi kwa uwizi.

Yes, anatakiwa kuja na timu yake au kuomba aletewe timu ya watakaomfaa. Kama ni CEO, CFO na wengine atakaoona anawahitaji.
 
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi wetu na kupeleka kwao.

Kwa nini mashirika haya yasitafutiwe ma CEO, ma CFO nk nk kutoka nje wenye uzoefu. Wapewe madaraka na malengo. Wakifeli wanatimuiwa na kuletwa wapya.

Kama vile kwa makocha wa timu za mpira? Kwanini tusitafute mameneja wa ATC kutoka Ethiopia na nchi nyingine zilizofanikiwa kwenye upande huo.

Kwanini tusisake duniani mameneja na watu wenye ujuzi na uzoefu wa kuendesha mwendokasi.

Kiuchumi gharama za kuwalipa wakuu hao ni ndogo sana ukilinganisha na hasara za kiuchumi zitokanazo na kuleta kampuni za kigeni.
CEO wanampeleka kidimbwi wanamlist katika gawio hadharani. Hakatai
 
Back
Top Bottom