Bad habits

Bad habits

1. Jitu limekuja kaunta linakukuta unakunywa Tusker Malt yako taratibu, afu na lenyewe linaagiza yake afu linamwambia akaunta "Hii bia atalipia ODM"......... Pumbaf kabisa.
2. Umechukua kimwana chako ushalipia room yenye godoro la comfy, unamwambia kimwana twenzetu tukaunganishe vimwaga mkojo vyetu mara unajibiwa oh sorry, cha kwangu kiko kwenye emergency leave.... damn it!
3. Unaenda kanisani kupunguza zambi zako basi padre/mchungaji ye anazungumzia umuhimu wa kumtolea Bwana sadaka tuuuuuu..... shit!
4. Umemwaga yuziful post kama hii, watu wanaipenda afu wanacheeka lakini wanasahau kuitendea haki ya kuigongea kale ka chakula ka LIKE..... manina!


Babu laaaaaaaaaaaaaah una mambo
 

...dahhh....


Which bad habits do you HAVE/HATE when it comes to relationships?

Mine:
1. Naweza kuonekana sijali sana kwa kumpa mtu uhuru wake na kutomfuatilia kama mtoto.
2. Ni ngumu kuomba zile samahani za 'kulazimishwa' kosa kafanya yeye samahani anaitaka kwangu.
3. Napenda usawa linapokuja swala la kutendeana mazuri/kuheshimiana n.k
Na hii ni bad habit kutegemeana na nyakati maana nimegundua kiasi flani cha watu hawakubaliani na hilo. . wao wanataka kuheshimiwa ilhali hawawaheshimu wenzao n.k
4. Mkorofi, kwa wale wanaopenda kuendesha wenzao.
5. Mbishi, kwa wale wasiopenda majadiliano.
6. Kiburi, kwa wale wanaopenda kuagiza wenzio kama vile wamewaajiri. Ask me nicely i'll be more than happy to do whatever it is you asking of me, order me around and you'll have to wait forever.
7. Sina UVUMILIVU kwa kiasi kile ambacho wengi wanataka/pendelea.
8. Ni muwazi sana. .
9. Nasimamia nnayoamini, hamna compromise hapo.
10. Mvivu. . . Siku moja moja najisikia kuvivuka tu, hata kula kunageuka kazi.

Nnazochukia:
1. Nachukia mwanaume kuwa insecure.It creates a lot of unnecessary tension.
2. Nachukia mtu anapokumbatia simu yake japo hata akiiacha sitohangaika nayo.
3. Nachukia mtu kudanganya HASWA vitu ambavyo vinaonekana kabisa sio vyalazima.
4. Nachukia mtu kutokua na shukrani na kuchukulia kwamba kwa kuwa na mwenzi wake anamfanyia favor.
5. Nachukia mtu kuchukua mambo ya ndani (mahusiano yao ) na kuyapeleka nje. .iwe mabaya ya sebuleni au mazuri ya chumbani.
6. Nachukia mtu kutomwamini mwenzake bila sababu yoyote ile.
7. Nachukia mtu anapotaka maelezo ya kitu fulani alafu anayakataa akipewa, kwasababu sicho alichotaka kusikia.
8. Nachukia mtu kumtumia mwenzake kifedha/kimwili/kihisia huku akimuaminisha kwamba anampenda.
9. Nachukia mtu kumwambia mwenzake "NAKUPENDA" wakati hamaanishi.
10. Nachukia mtu kumtisha mwenzake na "TUACHANE" kila siku.
11. Nachukia mtu kumnyanyasa mwenzake kwakua tu anajua anampenda.
12. Nachukia mtu kuwa mbinafsi kupitiliza kuhusu mahitaji yake bila kujali mahitaji ya mwenzake. Mf sex. . . mmoja anataka tu na akikosa analalamika bila kujali kwamba mwenzake anaweza akawa hayuko vizuri, au mmoja anakataa bila sababu ya msingi bila kujali kwamba mwenzake anahitaji.
13. Nachukia mtu kuwa mlalamishi kwa kila kitu, kila wakati.
. . . . . . . .

...kwenye mahusiano hata ukipenda na kuchukia, kila mwenza anakuja
na packages zake bana...ni jinsi ya kuzi accomodate zako na za mwenzako maisha
yaendelee...

...msichukulie mahusiano kama chuo cha mafunzo nyie, sheria na kanuni nyiiiingi....why?
 

...dahhh....




...kwenye mahusiano hata ukipenda na kuchukia, kila mwenza anakuja
na packages zake bana...ni jinsi ya kuzi accomodate zako na za mwenzako maisha
yaendelee...

...msichukulie mahusiano kama chuo cha mafunzo nyie, sheria na kanuni nyiiiingi....why?

Kwani Mbu kukubali kitu lazima ukipende? Kinachowezekana kitavumiliwa/kubalika ila hakitopendwa.
 
Nimeipokea Amy. . Ahsante.
Hehehehe hiyo hua inavuruga sana mahusiano ya nyumbani. Mtu waliofungana huko hata hawamjui alafu eti ananuna wiki. . . !!

Alafu kuna thread nataka kuanzisha Chiti chati baadae ntatumia ID yako ndani I hope you won't mind. It's just for fun.

sure dear its okay...
 
Sasa atanikumbatiaje na watu wakiwa nje? We Lizzy hebu acha maswali mengi

Hahahahaha. . . Si mnazima taa ya barazani kama mnayo? Alafu usininyime kuuliza mwasali wakati soda yangu unataka, najifunza ujue!!
 
Hahahahaha. . . Si mnazima taa ya barazani kama mnayo? Alafu usininyime kuuliza mwasali wakati soda yangu unataka, najifunza ujue!!

Ha ha ha Lizzy bana baraza yenyewe ya kushare tabu tupu
 
Hehehehe dearest hupendi kujua kuku wako kala nini na nini? Mi kuna kaisi ambacho hua napenda kujua ili niwe na idea ya mtu ninaedeal nae.

Lol, si vibaya nikijua sema sipendi kutumia effort kubwa sana kujua dearest....!
 
jamani Michelle nin tena?
nalog foo (source:washawasha)
Lol, niliaga kwenda kulisha watoto nilioachiwa na unayemuulizia sana....hamna lingine tajiri la kihaya....lol

yaani Michelle jitihada zangu zooooote za usuluhishi ndo naambulia masimango? kha!!!!!!!!! ama kweli mla ndizi husahau mwokota maganda ndo hukumbuka,najiweka pembeni!
ps: mkionana msalimie lakini!

He he he he,nikusimange wewe tena? najipenda kweli? hata ukijiweka pembeni utaitwa tu....lol....nitamsalimu!:A S-coffee:
 
Mwanadam anaendelea kujitafuta,ni ngumu sana kupata furaha nje yako
 
Katika vitu nitamuomba mume wangu nikijaliwa ni kiwepo chumba cha ziada jamani....akishindwa basi hata kitanda pembeni...mi sielewi kabisa watu wanaweza vipi kulala kitanda kimoja kila siku? unabanwa mwaka mzima,kwa lipi? mwanamke ulale vizuri na ujitanue kwa raha zako bwana,si kujikunja na kubana miguu....!

ukishakuwa mjamzito rukhsa kuhama chumba kwa raha zako
 
Unabanwa na joto lote hili halafu anajifanya kawasha feni unaamka na mafua asubuhi taabu tupu tu yaani

kitu muhimu hapa ni kushirikiana kuboresha hali yenu ya maisha ili muweze kujenga mazingira ambayo ni conducive kwa ustawi wa uhusiano wenu... kulalamika tu vumbi, joto, kubanana etc haisaidii sana at the end of the day
 
Back
Top Bottom