Bad habits | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bad habits

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, Jan 26, 2012.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Which bad habits do you HAVE/HATE when it comes to relationships?

  Mine:
  1. Naweza kuonekana sijali sana kwa kumpa mtu uhuru wake na kutomfuatilia kama mtoto.
  2. Ni ngumu kuomba zile samahani za 'kulazimishwa' kosa kafanya yeye samahani anaitaka kwangu.
  3. Napenda usawa linapokuja swala la kutendeana mazuri/kuheshimiana n.k
  Na hii ni bad habit kutegemeana na nyakati maana nimegundua kiasi flani cha watu hawakubaliani na hilo. . wao wanataka kuheshimiwa ilhali hawawaheshimu wenzao n.k
  4. Mkorofi, kwa wale wanaopenda kuendesha wenzao.
  5. Mbishi, kwa wale wasiopenda majadiliano.
  6. Kiburi, kwa wale wanaopenda kuagiza wenzio kama vile wamewaajiri. Ask me nicely i'll be more than happy to do whatever it is you asking of me, order me around and you'll have to wait forever.
  7. Sina UVUMILIVU kwa kiasi kile ambacho wengi wanataka/pendelea.
  8. Ni muwazi sana. .
  9. Nasimamia nnayoamini, hamna compromise hapo.
  10. Mvivu. . . Siku moja moja najisikia kuvivuka tu, hata kula kunageuka kazi.

  Nnazochukia:
  1. Nachukia mwanaume kuwa insecure.It creates a lot of unnecessary tension.
  2. Nachukia mtu anapokumbatia simu yake japo hata akiiacha sitohangaika nayo.
  3. Nachukia mtu kudanganya HASWA vitu ambavyo vinaonekana kabisa sio vyalazima.
  4. Nachukia mtu kutokua na shukrani na kuchukulia kwamba kwa kuwa na mwenzi wake anamfanyia favor.
  5. Nachukia mtu kuchukua mambo ya ndani (mahusiano yao ) na kuyapeleka nje. .iwe mabaya ya sebuleni au mazuri ya chumbani.
  6. Nachukia mtu kutomwamini mwenzake bila sababu yoyote ile.
  7. Nachukia mtu anapotaka maelezo ya kitu fulani alafu anayakataa akipewa, kwasababu sicho alichotaka kusikia.
  8. Nachukia mtu kumtumia mwenzake kifedha/kimwili/kihisia huku akimuaminisha kwamba anampenda.
  9. Nachukia mtu kumwambia mwenzake "NAKUPENDA" wakati hamaanishi.
  10. Nachukia mtu kumtisha mwenzake na "TUACHANE" kila siku.
  11. Nachukia mtu kumnyanyasa mwenzake kwakua tu anajua anampenda.
  12. Nachukia mtu kuwa mbinafsi kupitiliza kuhusu mahitaji yake bila kujali mahitaji ya mwenzake. Mf sex. . . mmoja anataka tu na akikosa analalamika bila kujali kwamba mwenzake anaweza akawa hayuko vizuri, au mmoja anakataa bila sababu ya msingi bila kujali kwamba mwenzake anahitaji.
  13. Nachukia mtu kuwa mlalamishi kwa kila kitu, kila wakati.
  . . . . . . . .
   
 2. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mambo da lizzy...nakuona hapo kwenye namba 12 mwenyewe!umetuliaaaaa...
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Poa mwaya. . .
  12 inahusu sana ehh?
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kwani nani alikuandikia leo shosti?inahusu ile mbaya yani hapo ndio mpango mzima kwangu
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  • Mtu kujiona PERFECT na kuona hana Mapungufu kabisa ila mwenzie ndio Mwenye mapungufu.
  • Kutomsoma mwenzio... Kushindwa elewa kua nipo wakati gani happy/sad/frustrated..
  • Kuchukuliwa kama mtoto ama kua handled kama yai... kama vile nipo fragile....
  • Lack of Uwazi.... ana loads of things he wishes to express but just Can't! Labda tu kwa kuhofia kukuumiza.
  • Hayupo responsible... Not being a Man i could say...
   
 6. Cyclone

  Cyclone Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda sana hii
  Maana yake ni kwmba huyu mtu anakijua vizuri kabisa anacho kuuliza, ila tu anataka kukusikia wewe ukineana au tamka kwa kinywa chako. sasa ukimdanganya lazima akatae, hatakama ungekuwa ni wewe
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nani aliniandikia nini bibie?

  Basi uifanyie kazi. . usiwe mchoyo sana wala usilazimishe sana.
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Seen!!

  Na ulizo nazo wewe?
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Inaweza ikawa hivyo kweli au akawa analazimisha asikie anachotaka hata kama sio kweli. Hawa wa pili ndio nisiopenda, wa kwanza ana kila haki.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  My bad habit:
  Napenda ku-agree to disagree bila ugomvi, kitu ambacho kinaweza kuonekana kama ni ujeuri. Kama unafanya kitu kinachonikera na nimekuambia a few times na hakuna dalili ya badiliko, naweza kuamua kukipotezea na nisipolalamika naonekana kama nimedharau

  Napenda to take all the time in the world to make big decisions, mean while just acting normal and not talking about it. Kiasi kwamba nikija kusema nadhani we call it quits mwenzangu is taken by surprise manake alishasahau hata kama alikula ndizi maganda nikatupa mie(refer MwJ1, didn't u see this coming?!)

  Hapo kwenye usawa hapooo! If it is ok when you do it, then it should be ok for me to do it manake wote tuna nyoyo zinadundadunda. Unaweza kusema napenda ligi kwa baadhi ya mambo

  Hivyo ulivyotaja mostly nakubaliana navyo, sijui unaniambukiza? I should stay away from you, lol!
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  sawa.!

  vipi zile tarakimu ulifanikiwa kuzichora au?
   
 12. Dr.kapama

  Dr.kapama Senior Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jinsi nijuavyo mie,uhusiano wowote unahitaji mawasiliano baina ya washiriki,ili uweze kuimarika.
  Tatizo baadhi yetu tunafikiri kwamba wenzetu ni "mind reader" na kwamba wana uwezo wa kutambua kila tunalohitaji...
  Hizo ni fikra zisizo sahihi na hazina manufaa katika mahusiano.
  Tukumbuke bila mawasiliano hakuna maelelwano na bila maelewano hakuna uwazi,na pasipo uwazi,hakuna uhusiano....
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kimbia wifi kimbia. . . I'm trouble.lolz

  Hiyo ya UJEURI na DHARAU navyo vinanihusu sana. Ahhh. . kuishi na mtu mzima kwazi kweli!!
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yale maurembo?
  Jumamosi ntayafanyia kazi. . .ngoja nianze kuuliza rangi gani mwenyewe atapenda.
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mawasiliano na UELEWA ni muhimu sana kwakweli.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Dr, kuna wengine ndo basi unajitahidi na mawasiliano, ila mtaongea the same thing over and over again?! Manake kila siku hilo hilo, na at least angekuwa wazi mkajaribu ku-negotiate ama accomodating each other's interests, walaa! Anakubali haraka yaishe halafu kabla hujanyanyua mguu keshafanya exactly that!

  Lizzy nimesahau moja; I hate a man who swears! Aisee, najiskia hadi aibu kujulikana kama tunahusiana!
   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ni urembo dada sio maurembo..!kabla ya kufika kwenye urembo uliishia kukipaka mafuta ya nazi,zoezi lililofuata ni kuzichora tarakimu 1 mpaka 10 kwa kiuno,ila nikakuasa kwamba 0 huwa inasumbua kidogo kuichora lakini jitahidi,ndo nikataka kujua ukifanikiwa kumaliza zote kumi?
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo mwanzo maelewano ndio ishu.

  Hahaha. . . kama anatukana tukana tu hovyo bila kujali watu/wakati lazima uinamishe kichwa kwakweli. Au unamsugua mdomo na sabuni. . . lolz
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Nyingine hii: I refuse to stay kama parcel kwenye maisha ya mtu. Unahitaji a very good reason not to accommodate my dreams kwenye maisha yetu ya pamoja. Just like you, I have had dreams since before I was able to walk, dreams that made me smile and my parents wondered! Hapo kwenye ku-agree ku-disagaree ndo umuhimu unaingia, kuwa hata kama unaamini its not worth it, ukashindwa kunishawishi, let me go for it na nikikwama we will share the experience. You are also free to do the same, and when you fall, my shoulder is here. If you succeed, tuko pamoja.
  Beijing hii, ngoja moskwito atoke kubeba box, jasho lote atatuachia hapa,kha!
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Usinichoke mwenzio ndo kwanza umeanza kunifundisha. Basi UREMBO ntatafuta jumamosi, mafuta napaka kama dozi angalau mara mbili kwa siku.

  Tarakimu nimeshachora mpaka nne. . . sasa uniambie ujuzi huo unatumika wapi na vipi!!
   
Loading...