Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,275
Hahaha. . . DA hivi na wewe nilikukopa?lolz
Umeshasahau mara hii hata mwezi bado???..................
Fanza mambo basi.........................
Hahaha. . . DA hivi na wewe nilikukopa?lolz
Nimeona, hata kama napata milioni yeye elfu ishirini,anipe hata elfu tano tu nitajisikia raha sana....lol
dearest,kuna watu tu wanafurahi kupewa hela na mpenzi wake au kulipiwa huduma fulani haijalishi analipwa zaidi,na kuna wanaume hata kama anajua unapata zaidi,anajisikia raha kukupa hela ya matumizi....its is sweet...mi love that very much,it means a lot!
Hahahahha dearest unataka waniwekee taarab tuanze kupeana madongo ehhh? Alafu kesho asubuhi nakutana na kanga imeandikwa "una nyodo ehhh" na nyingine "utahama" kwenye karo la vyombo.
I see dearest. . .
Ila inabidi akikupa na wewe mara moja moja unamnunulia hata kashati au tai unamletea zawadi.
I see dearest. . .
Ila inabidi akikupa na wewe mara moja moja unamnunulia hata kashati au tai unamletea zawadi.
Lol,hata ukiwa mpole na mstaarabu unayemind business zako utakutana tu na maneno kama hayo....have fun,sometimes!
Loh. . . Madeni mengi mpaka nasahau!! Ntajitahidi upate kabla ya mwaka mpya. Lolz
AG pesa ya kujikimu hata kama wewe unapata zaidi yake?
Hahahaha. . . hapo swadakta dearest. Me likey!! Ukimjali hivyo alafu yeye akashindwa kukujali niambie nimpe LIVE bila chenga kama za ITV.Hilo tu dearest? kuna vitu yeye hanunui kabisa....nikishajua anachopenda basi marufuku yeye kununua....mapenzi kupeana....lol
Unamnunulia shati na boxer kwenye Valentine (huu ni mfano tu) lakini yeye hafanyi hayo itakuwaje??
Mie kwa kweli hapa sitajitahidi kwamwe hata umpe t.i.go. bado atakwenda ya nini shida???
Mie namyimilia kwa mbali hata wiki mbili zinapita kha?/
Kulala wote 24/7 inachosha ati??
Hahaha. . .Dearest kama tatizo ni kubanwa si mnanunua bonge la kitanda tu?Katika vitu nitamuomba mume wangu nikijaliwa ni kiwepo chumba cha ziada jamani....akishindwa basi hata kitanda pembeni...mi sielewi kabisa watu wanaweza vipi kulala kitanda kimoja kila siku? unabanwa mwaka mzima,kwa lipi? mwanamke ulale vizuri na ujitanue kwa raha zako bwana,si kujikunja na kubana miguu....!
Hahahaha. . . Hata ukila wali nyama unalo. Majirani wakati mwingine wanakuwaga na mambo.
Haya ntajiachia dearest. . . ila nikidondoka kazi kwako kuniinua.
Hahaha. . .Dearest kama tatizo ni kubanwa si mnanunua bonge la kitanda tu?
Sema kweli kubanwa kunakera sana, hasa kukiwa na joto.
Katika vitu nitamuomba mume wangu nikijaliwa ni kiwepo chumba cha ziada jamani....akishindwa basi hata kitanda pembeni...mi sielewi kabisa watu wanaweza vipi kulala kitanda kimoja kila siku? unabanwa mwaka mzima,kwa lipi? mwanamke ulale vizuri na ujitanue kwa raha zako bwana,si kujikunja na kubana miguu....!
Usumbufu dearest,nikiwa kitanda kingine atapata hata uvivu wa kunisumbua sumbua....vyumba vyetu hivi vya kupanga si unajua vilivyo vidogo?? Joto linatunyima raha jamani,na bei ya umeme imepanda,kuwasha feni usiku kucha na kima cha chini hiki,hatutamudu.....option ambayo ni sustainable ni kununua kitanda kingine....lol
Usumbufu dearest,nikiwa kitanda kingine atapata hata uvivu wa kunisumbua sumbua....vyumba vyetu hivi vya kupanga si unajua vilivyo vidogo?? Joto linatunyima raha jamani,na bei ya umeme imepanda,kuwasha feni usiku kucha na kima cha chini hiki,hatutamudu.....option ambayo ni sustainable ni kununua kitanda kingine....lol
DA jamani hata kukumbatiwa? Mi napenda sana aisee. . .Ha ha ha ha ha nimechekaje mie mweeehhh hizo bold nimecheka mpaka mkoloni ananiangalia mweheee
Kwa kweli mie huwa nikiona sijasafiri kikazi karibu mwezi unakwisha napanga kwenda kumsalimu mama ili nilale peke yangu angalau Ijumaa na Jumamosi sio kubanwa banwa tena ukute mwingine anayependa kukumbatia ndo utaisoma namba maana na mijasho ya dar taabu tupu kha????