Kukiwa na joto kwakweli hata mimi sitomwelewa. . . labda anipepee. . Lolz
Hashy bin Cool!
kwani imekuwaje tena?
Kama nikilala nae ndo nitakuwa kero zaidi kuliko nikilala peke yangu...basi bora nijilalie peke yangu...changu yangu kwenye starehe zangu dearest, mi nishindwe kulala,niwe na mis-stress na uchovu siku nzima kisa kuna mtu anataka usiku anikumbatie na joto la 40?
Kuna vitu tutashirikiana lakini si kila kitu....! Namuona Bishanga kaja,natoka kidogo sasa!:washing:
Weka hapo na katoka kunywa mipombe yake hata mouthwash hawezi tumia wala kuoga hawezi....huyooo kitandani...utamtaka sasa?
Kweli Lizzy,seriously,nakushauri kama kaka/mzee wako (whichever applies),you must tone down,unless uamue kuishi na mwanaume toka culture nyingine. Sisi wanaume wa kiswahili kuna minimum standards tunazitarajia kwa wenza wetu (obviously unazijua).Kibaya zaidi unaweza kumpata mwanaume mkaendana uzuri tu na haya uliyosema akamudu kuyavumilia lakini jamii inayokuzungukeni ndugu,majirani,mawifi,marafiki wata observe mambo ambayo yatawakera,utake usitake bf/mme wako watam pressurize 'akurekebishe' na hapo ndo songombingo litakapoanzia.Hiyo inanirahisishia na kunipunguzia watu wa kuwatolea nje.
Thanks
Hehehe nimekusoma dearest.
We toka tu hata mimi karibu ntakimbia maana hizi "huwezekani" zimeanza kunichosha.
Imekuwa ilivyokuwa Bishanga...pilipili usiyoila yakuwashia nini lakini??
Zilipendwa hizo bwana,tusileteane kero hapa....!
Lizzy,Lizzy,Lizzy...ongezea pale juu, ati wanaume wanaokumbushia/kuhoji past za watu wengine nao ni kero....lol
jamani Michelle nin tena?Kama nikilala nae ndo nitakuwa kero zaidi kuliko nikilala peke yangu...basi bora nijilalie peke yangu...changu yangu kwenye starehe zangu dearest, mi nishindwe kulala,niwe na mis-stress na uchovu siku nzima kisa kuna mtu anataka usiku anikumbatie na joto la 40?
Kuna vitu tutashirikiana lakini si kila kitu....! Namuona Bishanga kaja,natoka kidogo sasa!:washing:
kuanzia leo bosi wangu namuita Mkoloni, soure: JF
yaani Michelle jitihada zangu zooooote za usuluhishi ndo naambulia masimango? kha!!!!!!!!! ama kweli mla ndizi husahau mwokota maganda ndo hukumbuka,najiweka pembeni!Imekuwa ilivyokuwa Bishanga...pilipili usiyoila yakuwashia nini lakini??
Zilipendwa hizo bwana,tusileteane kero hapa....!
Lizzy,Lizzy,Lizzy...ongezea pale juu, ati wanaume wanaokumbushia/kuhoji past za watu wengine nao ni kero....lol
Kweli Lizzy,seriously,nakushauri kama kaka/mzee wako (whichever applies),you must tone down,unless uamue kuishi na mwanaume toka culture nyingine. Sisi wanaume wa kiswahili kuna minimum standards tunazitarajia kwa wenza wetu (obviously unazijua).Kibaya zaidi unaweza kumpata mwanaume mkaendana uzuri tu na haya uliyosema akamudu kuyavumilia lakini jamii inayokuzungukeni ndugu,majirani,mawifi,marafiki wata observe mambo ambayo yatawakera,utake usitake bf/mme wako watam pressurize 'akurekebishe' na hapo ndo songombingo litakapoanzia.
I honestly wish you a happy,joyful,stressfree relationship/ndoa,you deserve it kwa jinsi ninavyokusoma (you are a very bright girl and honest) ,ila jitahidi kutusoma sisi wanaume wa kiswahili.Sorry kama nime ku offend.
Nimeipokea Amy. . Ahsante.Lizzy dear nakupa like ya mdomo maana tochi yangu haina access ya kitufe cha like!! Thread imenigusa mnoo...
Nachukia mtu timu yake imefungwa analeta hasira mpaka kwako utadhani ulichangia magoli...inahuuuu
Kwa upande wa kanga bwana. . . Lolz
Mapenzi ya kubanana sitaki mie!Si mapenzi? Lolz