Bad habits

Bad habits

...dahhh....

...kwenye mahusiano hata ukipenda na kuchukia, kila mwenza anakuja
na packages zake bana...ni jinsi ya kuzi accomodate zako na za mwenzako maisha
yaendelee...

...msichukulie mahusiano kama chuo cha mafunzo nyie, sheria na kanuni nyiiiingi....why?

maisha ya pamoja yanahitaji a high level of understanding, wisdom and tolerance among other attributes; in real life mkishakubali kuishi pamoja, mjue hilo linakuwa ni suala la give and take coz kila mtu amekuja na tabia na vijimambo vyake na hakuna aliye mkamilifu; so, kwa vyovyote vile, you have to compromise and meet each other half way; kinyume cha hapo ni afadhali mtu uishi single tu so long as maisha yako yanakwenda sawa tu bila bugudha kama unavyotaka mwenyewe
 
Ahsante mwaya.

@DA uswahilini joto likizidi watu wengine hua wanalala barazani, ushajaribu?

shost nlikuwa nafua.. Mmh ikifika siku ya kitchen party yangu nawataarifu in advance mniletee washing machine maana nadhani ndoa itakua matatani..
Enhe lizzy na hao mbu wa barazani kutalalika kweli? Halafu na chabo za majirani mmh.. Uswazi kuna mambo!
 
Usijali,tupe tu taarifa,na ya kupasi na kufanya usafi tutakuletea....kwanini ndoa ivunjike kwa mambo madogo hivyo??? lol
 
Nikishapata mtoto ruksa kurudi kwenye kitanda cha pamoja eeh? yaani miezi tisa mi niko kitanda changu tu?? vibaya ivyo!

jamani, si umesema unaona kero kulala kitanda kimoja, unataka ujitanue, hutaki kubana miguu, hutaki jamaa akusumbue? so miezi tisa ukilala mwenyewe si inakuwa poa tu?
 
kitu muhimu hapa ni kushirikiana kuboresha hali yenu ya maisha ili muweze kujenga mazingira ambayo ni conducive kwa ustawi wa uhusiano wenu... kulalamika tu vumbi, joto, kubanana etc haisaidii sana at the end of the day

Wewe kipato hakifanani usijishaue hapa
 
jamani, si umesema unaona kero kulala kitanda kimoja, unataka ujitanue, hutaki kubana miguu, hutaki jamaa akusumbue? so miezi tisa ukilala mwenyewe si inakuwa poa tu?

Na huyo mwenzangu je? namfikiria na yeye,miezi tisa atalalaje peke yake?....lol
 
shost nlikuwa nafua.. Mmh ikifika siku ya kitchen party yangu nawataarifu in advance mniletee washing machine maana nadhani ndoa itakua matatani..
Enhe lizzy na hao mbu wa barazani kutalalika kweli? Halafu na chabo za majirani mmh.. Uswazi kuna mambo!

Hapo sasa chabo inahusu sana
 
Wewe kipato hakifanani usijishaue hapa

there you are... kama unajua hivyo then utavumilia hiyo hali duni na maisha yatakwenda tu bila kujali joto, vumbi, kubanana and what have you...
 
Na huyo mwenzangu je? namfikiria na yeye,miezi tisa atalalaje peke yake?....lol

aah, yeye kishatimiza jukumu lake muhimu so atakuwa anahitaji nafasi ya kujitanua huku akisikilizia kitumbo jinsi kinavyozidi kutuna by the day...
 
aah, yeye kishatimiza jukumu lake muhimu so atakuwa anahitaji nafasi ya kujitanua huku akisikilizia kitumbo jinsi kinavyozidi kutuna by the day...

Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ni kweli aisee....haya basi,kila mtu atajitanulia kwake....lol
 
heheheheh umesahau ya kupika michelle...

Hiyo ni MUST, tunakuletea kwanza vimashine vidogo vidogo kama vya kumenyea viazi,karoti,kusaga vyakula na viungo,rice cooker,presure cooker....then tunakuletea jiko lako zuri kenye oven yake na kila kitu....kazi kwako tu ukitoka kama ni steak yako,paka viungo weka ndani,bonyeza dakika zako,kakae sebuleni angalia TV....viazi funga kwa foil tupia navyo huko viive kwa mvuke.....weka matunda yako huko kwa blender saga...siku imepita...! mama mkwe akija tu ndo unajipikilisha pilau na machalari...lol
 
there you are... kama unajua hivyo then utavumilia hiyo hali duni na maisha yatakwenda tu bila kujali joto, vumbi, kubanana and what have you...

Nivumilie shida wakati naweza kuepuka we nini wewe?!
 
Hiyo ni MUST, tunakuletea kwanza vimashine vidogo vidogo kama vya kumenyea viazi,karoti,kusaga vyakula na viungo,rice cooker,presure cooker....then tunakuletea jiko lako zuri kenye oven yake na kila kitu....kazi kwako tu ukitoka kama ni steak yako,paka viungo weka ndani,bonyeza dakika zako,kakae sebuleni angalia TV....viazi funga kwa foil tupia navyo huko viive kwa mvuke.....weka matunda yako huko kwa blender saga...siku imepita...! mama mkwe akija tu ndo unajipikilisha pilau na machalari...lol

lol.. Mwanamke shurti ntanenepa..
 
hii thread naona kwa wengi ni 'guilty as charged' lol
 
Hahahaha. . . hapo swadakta dearest. Me likey!! Ukimjali hivyo alafu yeye akashindwa kukujali niambie nimpe LIVE bila chenga kama za ITV.

Hhhhm hapo sasa mamy inabidi ujaribu kumsoma ujue ni kwanini. Watu wengine hawaoni umuhimu kwasababu anajua kama ni pesa alishakupa kwahiyo ukihitaji kitu utajinunulia, wengine wanaona ni uzungu sana na wengine ni wa choyo tu. Vyovyote vile unaweza ukaamua kuwa mtoaji bila kutegemea kitu/bila kuuliza wala kulalamika, unaweza ukashangaa mwenyewe siku moja anakupa bonge la zawadi.

Alafu kama hatoi siku ya Valentine siku nyingine je?

mimi ni mwanaume na kwakweli sipendi kufanya vitu siku za matukio matukio.kwa mfano kutoka siku za sikukuu,zawadi kubwa kubwa na mshawasha siku za valentine na birthday(mi huwa sisherehekei siku ya kuzaliwa) n.k.it's just veeery predictable na naona kama hata ilile tabasmu ninalolenga kuliona/liweka usoni mwa mpenzi baada ya hicho kitu ni lile la 'obviously' tu na kiukweli that's not my style!!nafanya skiu nyingine tu na bila yeye kutegemea k abisa,pale namwona yeye halisi na furaha ya kweli,sio ile ya valentine,au birthday n.k.ni ngumu na imenipa shida sana kwenye mahusiano as naonekana sijali 'vitu vya msingi'....so watu tunatofautiana!!
 
tabia mojawapo nisiyoipenda ni mtu kulala na jeans, cadet au combat kitandani usiku bila sababu za msingi!
 
Back
Top Bottom