Bad habits

Bad habits

Hahahahaha dearest bana. . . si atanuna alafu kesho yake pasikalike? Jitahidi sana 'changu,yangu' yasiwe maneno ya utambulisho wako.

siamini kama mwanamke wa mtazamo na namna kama yako anaweza kuamini kwenye hili.to me huu ndio mtazamo sahihi kabisa na umenishangaza!unaji-balance vizuri kweli kweli.naogopa tu kusema 'perfectly'!
 
mimi ni mwanaume na kwakweli sipendi kufanya vitu siku za matukio matukio.kwa mfano kutoka siku za sikukuu,zawadi kubwa kubwa na mshawasha siku za valentine na birthday(mi huwa sisherehekei siku ya kuzaliwa) n.k.it's just veeery predictable na naona kama hata ilile tabasmu ninalolenga kuliona/liweka usoni mwa mpenzi baada ya hicho kitu ni lile la 'obviously' tu na kiukweli that's not my style!!nafanya skiu nyingine tu na bila yeye kutegemea k abisa,pale namwona yeye halisi na furaha ya kweli,sio ile ya valentine,au birthday n.k.ni ngumu na imenipa shida sana kwenye mahusiano as naonekana sijali 'vitu vya msingi'....so watu tunatofautiana!!

Hata mimi naona hii style inahusu zaidi kwasababu hufanyi kufuata mkumbo bali unafanya kwasababu umependa mwenyewe.
 
tabia mojawapo nisiyoipenda ni mtu kulala na jeans, cadet au combat kitandani usiku bila sababu za msingi!

Hahahahaha. . .hivi mtu atalalaje na hizo nguo? Huko ni kujiadhibu!!
 
siamini kama mwanamke wa mtazamo na namna kama yako anaweza kuamini kwenye hili.to me huu ndio mtazamo sahihi kabisa na umenishangaza!unaji-balance vizuri kweli kweli.naogopa tu kusema 'perfectly'!
Hahahaha. . . Mtazamo wangu unahusu sana mtu kutokua mbinafsi.

Ahsante kwa kushangaa!!
 
tabia mojawapo nisiyoipenda ni mtu kulala na jeans, cadet au combat kitandani usiku bila sababu za msingi!

hivi wapo wanaoweza hii?aisee mi napenda kulala nikiwa mwepesiiiiiiii bila kitu cha kunighasi kabisa,labda boxers na singlet tu.(ndo maana mimi zoezi la kukumbatiana mpaka asubuhi haliwezekani kabisa aisee).sipendi kuguswa guswa usingizi ukikolea japo naishi kwenye baridi.
 
I hate vyote ulivyotaja hapo ila tu kuongezea,..i hate selfish people plus mwanaume anaejisifiasifia,sijui but i surely hate it..
 
napenda kuheshimiwa kama navoheshimu
napenda kupendwa kama navopenda
sipendi wivu uliopitiliza
 
I hate vyote ulivyotaja hapo ila tu kuongezea,..i hate selfish people plus mwanaume anaejisifiasifia,sijui but i surely hate it..

Ukitaka asijisifie sana jaribu KUMSIFIA.
 
I thought i knew all the bad habits there is to know out there but damn nimegundua kuna mpya bwana.Aiseee!!!!
 
hahahah

1. Aisee papito Matesha hesbau zinamsumbua sana, hebu msaidie basi............ '! "Ngoja mpaka afike la saba bana" (ubishi)
2. Epson alisema kuna mbuzi anaumwa kule shamba, kesho ukiwahi uende basi ..... "kwani mi daktari wa mifugo? ntampigia dk akamwangalie".... (ukaidi)
3 Nikiwa nimejilalia home weekend mara wanakuja wageni, marafiki zake.... "Papito kuna marafiki zangu wamekuja wanataka wakuone wakusalimu"......... "Hapo sebuleni si kuna picha yangu".......... Ujeuri
4. Papito, umemaliza dozi jana tu leo unaenda kunywa jamani........... "Kwani we daktari wangu"..... Ubabe

Yaani nimecheeka, hadi tumbo linauma mbavu ndo basi tena. Hiyo ndo ASPRIN siyo.
Nimeikubali😛oa
 
Umegundua zipi?

Kuna mtu hapo juu kasema yeye hapendi kuguswaguswa akiwa amelala sasa kwa fikira zangu za kawaida kwa mtu kama huyu akioa au kuolewa itabidi kitanda kiwe na ukuta katikati ili kupunguza migusano isiyo ya lazima.This can also be referred as almost impossible.
 
he he he he dearest:

Bad habits zangu:
Mi naturally napenda utani na uchokozi...sometimes inaniletea shida as wakati mwingine natania wakati mtu yuko serious.
Napenda kufanya kile ninachotaka, kwa wakati ninaotaka na kwa namna ninayotaka....sipendi kusukumwa
Mvivu, kuna wakati sijisikii kufanya chochote,nataka nikae tu...lol

Nazochukia:
mbahili au anayetumia hela ovyo ovyo na kutaka usawa kwenye matumizi...am a woman for God's sake, be a man!
mwenye kuongea sana au ambaye ukikosea hata ukimuomba msamaha,ye analo tu,kelele
mchafu, siwezi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
asiyependa kushirikiana nami na kunishirikisha kwenye mambo yake ninayopaswa kujua

Hapo kwenye red muhimu mnoooo. Very good point, i like that.
 
Kuna mtu hapo juu kasema yeye hapendi kuguswaguswa akiwa amelala sasa kwa fikira zangu za kawaida kwa mtu kama huyu akioa au kuolewa itabidi kitanda kiwe na ukuta katikati ili kupunguza migusano isiyo ya lazima.This can also be referred as almost impossible.

Ohhhh that. . .
Yeahhh kuna watu wasiopenda aisee.
 
Back
Top Bottom