I asked. . .it wouldn't.
Wadau naomba msaada... Kuna mtu hapendi kusema ASANTE, unamfanyaje mtu kama huyo? afu yeye hupenda COMMAND.. Nifanyie hiki au nenda sehemu fulani. In short hajui kubembeleza afu ndio UGONJWA wangu uuuuwiiiii...... Msaada tafadhali
MNAPENDA
1. Uhuru.
2.Kupendwa.
3. Kuaminiwa km ninavyoweza kumwamini
4. Shughuli pevu kunako 6by6, siyo usiku mzima bao 2,3. NO THANK YOU.
SIPENDI
1.Uvivu kunako 6by6
2. Mwanaume mlalamishi.
3. Mwanaume asiyejua majukumu yake hasa kunitake care, hata kwa kidogo alicho nacho.
4. Being ordered and not requested
ABOUT ME.
1. Lovely..
2. Caring
4. Mwelewa but nna vivu kwa kweli.
5. Good in bed.
Nitarudi baade
Inawezekana ukawa unapenda hiyo tabia bila kujijua, akichange utamis hivo vituko...
Yaan umenifanya nicheke Mura...
M
Mkuu mimi nilikuwa nimejipitia zangu, lakini imebidi nirudi angalau nikusalimie tu. HI?
Wadau naomba msaada... Kuna mtu hapendi kusema ASANTE, unamfanyaje mtu kama huyo? afu yeye hupenda COMMAND.. Nifanyie hiki au nenda sehemu fulani. In short hajui kubembeleza afu ndio UGONJWA wangu uuuuwiiiii...... Msaada tafadhali
Samahani tayari upo kwenye ndoa dada.? Kama upo katika ndoa nadhani unapata changamoto Sana kutekeleza hayo unayoyapenda Na kupambana Na hayo ambayo hupendi. In short Ni kwamba ndoa Ina karaha Na raha so cha msingi Kama mtu umeamua kuingia kwenye ndoa Ni kuvumilia otherwise uamue kuachana.