Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
Unabanwa na joto lote hili halafu anajifanya kawasha feni unaamka na mafua asubuhi taabu tupu tu yaani
Unajua dearest kuna wakati maisha yanatufanya tufanye choice fulani fulani...mi juzi nimeenda sokoni,kununua vitu tu vya kutumia nyumbani....yaani nilienda na elfu kumi,vitu nivivyorudi navyo havikidhi hata nusu ya mahitaji niliyokuwa nayo....nikawa nawaza,halafu hapo nimepata mume wa kipato cha chini kama mimi,hivi kweli tunaishije? Chumba tupange tubanane, kwenye kula nako tujibane,shule ya watoto,matibabu...etc etc....?nikasema si walaumu wanaochukia wanaume wa kipato cha chini...sasa ndo hayo ya kuwasha feni kwenye mivumbi, watu tuna allergy zetu....kweli kila mtu achague analoweza kubeba.....!