Kumbe wewe 'unazani,' huna uhakika...
Mtu makini hawezi ku-conclude kitu kama hicho kijana na ndio maana hata huyo MKJ kaiachia tungo yake ikielea ikielea elea bila mashiko na msomaji apachike mashiko hayo yeye mwenyewe!
Kumbe wewe 'unazani,' huna uhakika...
we bwana mbona mchokonozi harafu mlalamishi weye????Hoja iko wapi hapo? Kwamba CCM ni wachawi? Mods mnatoa uhuru uliopitiliza kwa kuruhusu imani hasi kama hizi kupenya kwenye hii site. Hili jukwaa limefanyiwa marekebisho lakini hata sioni faida yake. Sasa hii ilete hisia kwamba watu wote waliokufa wiki iliyopita, mwezi uliopita au mwaka uliopita wamerogwa na CCM?
Waambie hao!Hakuna kitakachokuwepo milele!Kikiingia chama kingine chaweza kuifuta CCM kutoka vitabuni na kupiga marufuku baadhi ya watu wake kujihusisha na siasa. So.... ningekuwa wewe nisingetumia neno 'milele' kwani ni presumptuous wa kujua vilivyobakia katika umilele. Hauna tofauti na alichosema huyo mzee. Unlee of course unajua milele itakavyokuwa.
Mungu hachezewi, wapo waliomuunga mkono huyu kwa kauli yake ya kukufuru.
kusema chama kitakufa kabla yako sio kufuru, chama hakina uhai wa roho na mwili na hakikuumbwa na mwenyezi Mungu, ni dude tu la wanadamu na hivyo halina kifo cha kiumbe hai ila 'inaweza kuwa kufuru' kama tunamuingiza Mwenyezi Mungu katika uhai wa vyama vyetu.Mungu hachezewi, wapo waliomuunga mkono huyu kwa kauli yake ya kukufuru.
Kwa taarifa yako hakuna wanaoendekeza na kuamini katika ushirikina kama wazungu,acha mawazo mgando!Hii ndiyo laana yetu watanzania, kufikiri juu ya uchawi kabla ya kitu kingine. Adui wa maendeleo ya mwafrika ni mwafrika mwenyewe. Inashangaza miaka 50 baada ya uhuru, imani za kishirikina bado zinapewa kipaumbele kiasi hiki. Haitashangaza kuona hii thread itaongoza kwa idadi ya wachangiaji leo na kuziacha mada chanya pembeni. Huu ni utumwa na wazungu wanatucheka sana kwa ujinga wetu.
hata Mwanakijiji tunahofia sana usalama wako manake upo mbele kwenye mapigano haya
Hoja iko wapi hapo? Kwamba CCM ni wachawi? Mods mnatoa uhuru uliopitiliza kwa kuruhusu imani hasi kama hizi kupenya kwenye hii site. Hili jukwaa limefanyiwa marekebisho lakini hata sioni faida yake. Sasa hii ilete hisia kwamba watu wote waliokufa wiki iliyopita, mwezi uliopita au mwaka uliopita wamerogwa na CCM?
amekufa kifo cha kawaida tu
Kwa wajuvi wa mambo wewe unaweza kuisaidia polisi maana umebabaika sana unauliza hapohapo unajijibu.Hoja iko wapi hapo? Kwamba CCM ni wachawi? Mods mnatoa uhuru uliopitiliza kwa kuruhusu imani hasi kama hizi kupenya kwenye hii site. Hili jukwaa limefanyiwa marekebisho lakini hata sioni faida yake. Sasa hii ilete hisia kwamba watu wote waliokufa wiki iliyopita, mwezi uliopita au mwaka uliopita wamerogwa na CCM?
ulishindwa kudumu utawala wa nebukadreza! Ije idumu ccm milele, acha uongo!
Mkuu nadhani ulikuwa na haraka katika kuchangia..mf..ume'conclude' uchawi..nani kasema uchawi humu?...sioni link kati ya uchawi na uadui wa mwafrika...Unadai thread itaongoza kwa wachangiaji...wakti na wewe umechangia....na hao wazungu wanaotucheka kwa uchawi..wametucheka mara ngapi kwa ubadhirifu na wizi....rejea..''issue'' ya Rada...nini bwana wakitucheka kwa utamaduni wetu...Hii ndiyo laana yetu watanzania, kufikiri juu ya uchawi kabla ya kitu kingine. Adui wa maendeleo ya mwafrika ni mwafrika mwenyewe. Inashangaza miaka 50 baada ya uhuru, imani za kishirikina bado zinapewa kipaumbele kiasi hiki. Haitashangaza kuona hii thread itaongoza kwa idadi ya wachangiaji leo na kuziacha mada chanya pembeni. Huu ni utumwa na wazungu wanatucheka sana kwa ujinga wetu.
Ni kweli mkuu Kama Nyerere vile!, uchagizi wa 2005 nitaushuhidia Kama kajiumba vile!mahimbo alimkufuru mungu!
hakujua kuwa uhai anamiliki mungu peke yake!
Yeah....au kama cha Chacha Wangwe!
umafia sio uchawi, unakumbuka kifo cha Praincess Diana na Dodi kifo chao huko ulaya hakikuvuta hisia za hao unaosema wanatucheka? Hata wao walisema si bure pana 'mkono' wa mtu, labda nikwambie tu kuna mambo mengi hatuyajui na hatujui kama hatuyajui na ndio maana hata wewe ukasema uliyoyasemaHii ndiyo laana yetu watanzania, kufikiri juu ya uchawi kabla ya kitu kingine. Adui wa maendeleo ya mwafrika ni mwafrika mwenyewe. Inashangaza miaka 50 baada ya uhuru, imani za kishirikina bado zinapewa kipaumbele kiasi hiki. Haitashangaza kuona hii thread itaongoza kwa idadi ya wachangiaji leo na kuziacha mada chanya pembeni. Huu ni utumwa na wazungu wanatucheka sana kwa ujinga wetu.