Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
- Thread starter
- #41
Mkuu, wacha kuwajengea watu hisia ambazo sizani kama zipo!!! Hata kama CCM na serikali yake ni Mafia namna gani; sizani kama wanaweza kupoteza muda na mtu mmoja kama huyo ambae hana influence yoyote.
kwanini unafikiria ni taariifa zinazohusiana na CCM na siyo madaktari, polisi, hospitali au mtu aliyemwokota a.ka Msamaria Mwema baada ya ajali? Nashangaa watu wameanza kuitetea CCM na serikali.. wassup with that? Si muda wote watu wanaifikiria au kuihofia CCM kihivyo.