Babe unaweza kuniletea popcorn

Hahahaaaa....lol nashukuru sijawahi pata ili jibu.. mutuwache tudeke kwenu bhana msiwe wagumu sana

Tatizo mnaleta uzungu mno!! Sie ni waafrika wenye tamaduni za kiafrika
 
Wa aina hii wako poa sana. Kuna mmoja bhana niliwahi kumfuma, siku aliyonitembelea kaja na begi zima la mashuka, vitambaa suruali na t shirt za kutosha. Anavyoondoka nilijikuta natoa tu hela bila kinyongo.
 
Yaaani haihitaji shule wala twisheni kipindi inaeleweka Nyalotsi
 
Last edited by a moderator:
Wa aina hii wako poa sana. Kuna mmoja bhana niliwahi kumfuma, siku aliyonitembelea kaja na begi zima la mashuka, vitambaa suruali na t shirt za kutosha. Anavyoondoka nilijikuta natoa tu hela bila kinyongo.

Mi nitakuletea soksi na handkerchiefs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…