J BND
Member
- Sep 30, 2015
- 66
- 144
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] muulize sababu ya kuwatukana ni nini?
Yaani from no where tu [emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] muulize sababu ya kuwatukana ni nini?
Nilikulia orphanage . Bado huo wimbo hauna maana kwanguso alikulea nani?? unaujua ule wimbo wa nani kama mama[emoji3][emoji3][emoji3]
Dogo alifanya ambush..... Lazima ujitetee kama babamimi huwa sioni haja ya kuficha mtoto wa nje sijui wengine wanafeli wapi
Amfuate tena ili iweje?,,mi nishauri aachane nae,wala asijihusishe nae tenaAlikuruka kulinda ndoa yake, ungekuwa umemfuata kazini mchana, angekupokea ila asingekupeleka kwa mkewe, mngemalizana kiume na nduguzo ungewajua, lakini bado una nafasi. Mfuate tena ila pitia kwa rafiki yake wa karibu, usiende direct.
So hata ndugu huna pole sana mzeeNilikulia orphanage . Bado huo wimbo hauna maana kwangu
Umesema kweliHata mimi sijui wanaume wengine wameumbwaje. Yaani mimi ni mkatae mwanangu wa damu yangu kumuogopa mtu ambe sina undugu wowote wa damu, hapana haiwezekani, urafiki wa mume na mke unaweza isha ila sio undugu wa baba na mtoto.
Huenda kuna sababu nyingine ilimpelekea kufanya hivyo ila bado atakuwa na mapungufu mengi huyo mzee, nazungumzia nikiwa na uchungu kama mzazi.
Angekuwa kama Diamond angepiganiwa Hadi na mama WA kambo.Baadae lizee linajirudi baada ya mtoto kufanikiwa na yeye kufulia. Mijitu inajitokeza kumshauri kijana amsamehe baba yake Kama vile ni kitu rahisi.
Bora usizae nje kuliko kuumiza kiumbe kisicho na hatia. kauli aliyomwambia mtoto Baba WA kijana wangu, siwezi hata kuiandika hapa namuombea maisha marefu Tu. Kuna watu wanawaogopa wake zao hatari, MTU anakataa damu yake sababu ya MTU ambae akiondoka anaolewa na MTU mwingine.daah stori ya huzuni sana hii. dingi yako ana roho ngumu sana,unakataaje damu yako. Chanzo cha yote haya ni wanawake,wanawatia sumu kali sana ya pepo la chuki. Ndio maana najizuia kabisa kuzaa nje. maana mke akinitia sumu ya kukataa mtoto ndoa inaweza kuishia hapo
[emoji3]Angekuwa kama Diamond angepiganiwa Hadi na mama WA kambo.
Kitanda hakizai haramu... Watoto wa nje ya ndoa nao Ni wangu siwezi ficha. Hata Kama nimesingiziwa. Kikubwa najua nilichofanya na kupata uhakika Ni mtoto wangu lazima ajumuike na familia yake kwa vyovyote vile.Inategemea mtoto alizaliwa lini,kama nilizaa mtoto kabla sijaoa, huyo mtoto ana kosa gani? Hapa siwezi hata kuangalia usoni! Mtoto atabaki kua mtoto tu.
Kama nimezaa mtoto, nikiwa ndani ya ndoa hapo sawa, naweza ficha ficha!
Loh!Pole mkuu, ila wanaume mngekua na nyinyi mnabeba mimba na kuusikia uchungu mimi nahisi haya maswala yangekua yanapungua.
Wewe kama post za kuhusu kumtumainia Mungu zinakukwaza ziruke usisome maana huwezi kumzuia mtu asishauri kumtegemea Mungu ni hivyo tu kakaangu.Wewe ndio umewaza hivo. Angalia comment nzima ya mtoa mada halfu urudi kuandika upya.
Maana yake iwapo baba sio katili basi unaruhusiwa kutomtegemea Mungu?