Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

Pole sana

Nina mtoto Mwanza huko mwaka wa 25 sasa, sijawahi hata kumuona.

Mamaake tuliachana baada ya kuniletea mtafaruku mkubwa miaka ile.

Nilikua kula kulala, sasa mpaka kuzaliwa kwake sijui maana mama mtu aliondoka na mimba kwenda Mwanza

Nilipata tu habari badae walinitafuta lakini sikuwepo tena mjini hapo.

Sasa mpaka leo simjui huyo mtoto, ingawa kwa vyovyote vile siwezi kumkataa akinipa hadithi yake ntajua tu huyu mama yake fulani.
 
Dunia hadaa ulimwengu shujaa, kila la kheri katika harakati zako, tengeneza familia yako na msahau huyo mende na kizazi chake chote, tumia jina ubini wa mama na jiongezee jina lako la kisukuma lenye heri na kumpendeza mungu huo ndio utakuwa ukoo wako.
 
Hakuna mwenye nafuu hata mmoja binadamu wote ni wakatili maana mi mwenyewe niliachwa hospitali

Sijawahi kumjua baba wala Mama

Nikisikia mtu anasema mama anauchungu na mwana natamani nimtukane tusi la nguoni
Pole sana mkuu, siku ukipata muda tupe kisa chako naamini wengi watajifunza.
 
Alikuruka kulinda ndoa yake, ungekuwa umemfuata kazini mchana, angekupokea ila asingekupeleka kwa mkewe, mngemalizana kiume na nduguzo ungewajua, lkn bado una nafasi. Mfuate tena ila pitia kwa rafiki yake wa karibu, usiende direct.
Hili ndio tatizo hata mimi nimegundua.
Yule jamaa aliyempeleka nyumbani kwa mzee ndio alimpoteza,ilitakiwa aanze kumpeleka kazini kwake halafu mzee mwenyewe ndio angeamua jinsi ya kumsaidia,japo huyo mzee naye anaonekana ni mtu katili.
 
Katili ni mama.
 
Hakuna mwenye nafuu hata mmoja binadamu wote ni wakatili maana mi mwenyewe niliachwa hospitali

Sijawahi kumjua baba wala Mama

Nikisikia mtu anasema mama anauchungu na mwana natamani nimtukane tusi la nguoni
Una haki ya kusema hivyo maana wote walikutelekeza. Pole sana mkuu
 
Labda maza alishamwambia babako we siyo mtoto wake maana wamama wengi pia huwa wanazingua sana ila kwakua mwanaume siku zote ni mbebeshwa lawama mwishoni bila kujulikana chanzo lazma jamii yote imuone mbaya tu.
 
Alikuruka kulinda ndoa yake, ungekuwa umemfuata kazini mchana, angekupokea ila asingekupeleka kwa mkewe, mngemalizana kiume na nduguzo ungewajua, lakini bado una nafasi. Mfuate tena ila pitia kwa rafiki yake wa karibu, usiende direct.
Aachane nae tu mtu hakutaki wa nini kumbembeleza afanye tu ndugu wa baba wote wamekufa

Sent from my F3111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom