Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

Hata mimi yule mwanamke anayekatalia mtoto wangu siku akiniletea namkataa hata awe nani

Watoto wakati mwingine msiwalaumu wazazi wanaowakataa mjikite kujua tatizo lilianzia wapi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sanaaa, kuna mchizi mmoja naye kachukua maamuzi kama hayo mawazo yako kamtema mtoto wake mazima wahuni wakikasirika balaa
 
Alikuruka kulinda ndoa yake, ungekuwa umemfuata kazini mchana, angekupokea ila asingekupeleka kwa mkewe, mngemalizana kiume na nduguzo ungewajua, lakini bado una nafasi. Mfuate tena ila pitia kwa rafiki yake wa karibu, usiende direct.
Men fact
 
Hii kitu ni noma sana, unakuta sasa bado hata wewe utakuja teleza ukapata mtoto wa ujanani na ukamsahau kabisa, huwa hatujifunza unakuta na wewe mdau unakua una watoto nje ya ndoa na wala hujali wale watoto kabisa, mimi sitakuja kufanya hivi peke yangu siwezi namuomba Mungu watoto wangu wawe wa ndoa tu nisijichanganye ili niwape malezi bora wanangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Approach uliyotumia haikuwa rafiki sana... Ungeenda kazini kwake... Mkazungumza.. Nadhani mngeelewana... Yule mke wa baba yako nadhani alikuwa mkali sana kwa Bonda.... Ndo maana Mzee akakukana ili ndo yake isipate fracture..
 
Your step mother alikuwa mtu mstaarabu sana. Alikupokea, akakupa chakula na mahali pa kulala . Siyo rahisi . Inawezekana kabisa alikuwa anajua kuhusu hii situation na sitashangaa kama alikuwa anamjua mama yako. Ulipata kujua kama una ndugu wakubwa zaidi yako au wadogo?
 
Siajabu step mother ndiyo alimpiga mkwala dingi kabla hajafika nyumbani mzee kufika akafanya maamuzi yale, huwajui wanawake mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom