Baba mimi ni mwanao wa ngapi??

Baba mimi ni mwanao wa ngapi??

Sina uhakika kama imewahi kuwekwa hapa au jukwaa la lugha.......naomba ibadili sentensi ifuatayo iwe kwa kiingereza: BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI??
Hivi jibu halijapatikana tu mpaka leo?? Basi tumpe Mji muanzilishi....Mshati-Rombo!
 
Father! I'm not your child since today b'se this question is very difficult!
Haaaaaaaa!!!!...
 
yaani katavi hii avatar yako ni kichekesho tosha... na mie ngoja nijaribu.. " daddy of all ur children.. which is my number of birth?
 
Au kama vipi, mtoa thread tukupe mji utuletee majibu.
 
yaani katavi hii avatar yako ni kichekesho tosha... na mie ngoja nijaribu.. " daddy of all ur children.. which is my number of birth?
Ahahahaah!! Avatar ya kawaida hii.....umejaribu kidogo!
 
sio kila sentensi itafsiliwe kama ilivyo kinacho takiwa upate maana ile ile yaani maana msingi CANOTATIVE MEANING
 
sio kila sentensi itafsiliwe kama ilivyo kinacho takiwa upate maana ile ile yaani maana msingi CANOTATIVE MEANING
Haya tutafsirie hiyo sentensi ili tupate maana msingi!
 
Papa...
What is my my birth order?
Note: Birth order is defined as a person's rank by age among his or her siblings.
 
Nawe tusaidie kutafasiri hii kwa Kiswahili: "Hit the road Jack and don't you come back no more."
Ahahahahaah! Hii mbona rahisi mkuu, subiri kidogo.....
 
Back
Top Bottom