Baba mimi ni mwanao wa ngapi??

Baba mimi ni mwanao wa ngapi??

Katavi ehee! Ebu acha hìzo unanikumbusha mbali..ahahaha! Kweli kiingereza ni Wito
 
Kudadadek,nmechemka mkuu,hyo kal,k2kshndwa kabsa itabd utoe jb au sio..
 
Mbona simple sana hii mkuu, au ulisome st government. Here we go:

father me is child you of what?
 
Ahaaa...hilo mbona swali rahisi sana kwa hii elimu yetu ya kata, mbuyu ulianza kama mchicha hivyo badili neno moja moja kwanza kisha inakua mbuyu mzima. Father/Dady, Me is your Child of how many??...hahahah...changanya na za kwako, naamini kwa mzungu asiye na makuu ya gramma ila ujumbe atakuelewa.

Ha ha ha haaaaa!
 
Mbona simple sana hii mkuu, au ulisome st government. Here we go:

father me is child you of what?

Tatizo nimeanza kusoma kwanza posti za wengine badala ya kujibu,
yaani mbavu zinaniuma. teh teh teh!
 
Father, in which position of your birth am belonging. Vipi hapo am stand to be corrected.
 
Father! At what birth position am i belong among your children..
Najaribu tu...
 
Back
Top Bottom