Baba mimi ni mwanao wa ngapi??

Tatizo letu na hizi lugha za watu ni kwamba, kwanza hiyo sentensi unaanza kuifikiria kwa kilugha chenu, halafu unai-tafsiri katika kiswahili; baada ya hapo ndo unaanza kuitafsiri kwa lugha ya watu. Mpaka hapo itakuwa ishapoteza hata maana iliyokuwa nayo!.
 
Tutafsirie basi hii...
 
Dad, am I your first, second or third born? I mean ...where do I stand? AU what's my rank in order of birth?
 
Sina uhakika kama imewahi kuwekwa hapa au jukwaa la lugha.......naomba ibadili sentensi ifuatayo iwe kwa kiingereza: BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI??

Daddy, what rank do I occupy in your family line?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom