Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,312
- 3,341
Mzuka wana jamvi ?
Wanadamu tonatofautiana mitizamo na misimamo , Mimi kama 'Gengis ' katika maisha yangu ya hapa jukwaani nina Misimamo ifuatayo ;
1. Siwezi kuwa na multiple ID . Kwangu naona ni udhaifu na uwoga kivipi mtu ujifiche kwenye vichaka tofauti hauwezi kuFace uhalisia kujiamini sehemu Moja ?
2. Kutongoza Mwanamke jukwaani ; awe Pisi Kali , mshangazi , demu , mbibi nk kwani siamini kwenye mahusiano ya mitandaoni haswa hapa jukwaani naona kuchoreshana na kupotezeana muda
3. Kuwa na Bifu na mtu ; Jf ni sehemu ndogo sana katika maisha yetu , tunaelimishana na kuEnjoy sasa kwa nini nimuwekee kinyongo mtu tena fake ID hatujuani ? Kugombana na mtu akileta uhuni na Mimi namletea UGengis inaisha Kinyagwisi bila mchecheto wowote.
4. Kumuweka mtu katika ignorelist ; huu naona udhaifu dawa ya moto ni moto . KumuIgnore ni ishara ya kuwa haupo stable kiakili kiasi ambacho cha kuvimilia na kushindana na hoja pinzani
5. Kueleza matatizo yangu binafsi na kuomba Msaada hovyo .
Najua baadhi ya watu kama sio wengi wana matatizo humu unaweza kuwa na shida ya kweli wakakuletea mizaha na kukupa maneno magumu ambayo yatasababisha madhara zaidi .
Nikiwa na shida naona bora kutafuta ndugu na marafiki ninaowajua wa uhakika kuwa wanaweza kutoa Msaada au faraja.
#Nimefika tamati