Baba mimi ni mwanao wa ngapi??

Nimecheka mno safi katavi nitakupa rep
Ila jibu langu ni.
Father what is my order of birth among your children.

Nimefanya reseach kubwa sana kupata jibu.

Hahahaah!! Inawezekana hiyo ndio tafsiri sahihi,,,,,,,
 
Jamani hamna waliosoma english medium humu watutalie hiki kitendawili?

c.c: Patrickn
 
Last edited by a moderator:
Katavi kwanini nimuulize baba hivo?
Halafu baba yangu hajui kizungu nikuuliza namuonea tu.
 
Last edited by a moderator:
mmh. ... usingizi jamani! sioni vizuri!

1375801_10200628756273285_1023044147_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom