Baba mimi ni mwanao wa ngapi??

Baba mimi ni mwanao wa ngapi??

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,925
Sina uhakika kama imewahi kuwekwa hapa au jukwaa la lugha.......naomba ibadili sentensi ifuatayo iwe kwa kiingereza: BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI??
 
ohoo,imekula kwako,.i has eaten on youu
 
Kitu kama hivi dingi wa kizungu atafahamu tu '' Father, among your children sequence of birth what is my my number ? ''
 
father, I AM YOUR CHILD'S HOW MANY? - google , teh teh :dance:
 
duh! wengine english zetu zikikutana na trafik jum hazitoki, sorry, siku nyingine foleni ikipungua maneno ya kidhungu yatanitoka, tehtehteh...
 
Sina uhakika kama imewahi kuwekwa hapa au jukwaa la lugha.......naomba ibadili sentensi ifuatayo iwe kwa kiingereza: BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI??

mkuu mie ndo nimefika mjini leo, sijui lugha za huku mjini, ndo yale yale ya tareh za mjini na vijijini.
 
duh! wengine english zetu zikikutana na trafik jum hazitoki, sorry, siku nyingine foleni ikipungua maneno ya kidhungu yatanitoka, tehtehteh...
Halafu ziwe ni za shule zetu hizi za kata....!
 
Utauliza hivi: Dad, what is my Born number?
 
Sina uhakika kama imewahi kuwekwa hapa au jukwaa la lugha.......naomba ibadili sentensi ifuatayo iwe kwa kiingereza: BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI??
Ahaaa...hilo mbona swali rahisi sana kwa hii elimu yetu ya kata, mbuyu ulianza kama mchicha hivyo badili neno moja moja kwanza kisha inakua mbuyu mzima. Father/Dady, Me is your Child of how many??...hahahah...changanya na za kwako, naamini kwa mzungu asiye na makuu ya gramma ila ujumbe atakuelewa.
 
hahahahaaah!!!
 
Mkuu mi nakupa mji, maana naunga maneno hayaungiki. Mji, nenda Uwanja wa fisi vp utaenda......
 
Back
Top Bottom