BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,348
- 1,466
Sidhani kama uko sahihi. Hela hazina alama!
Baraza la maaskofu lingetoa tamko kali sana kulaani.wangepewa masheikh na maimam ingekuwa balaa mara 100 ya hii!!!!!!!!!!!
hata ungekekuwa na akili kubwa namna gani kama inakutuma kuwaibia wenye akili ndogo ni ujinga wa kupindukiashida moja mna akili ndogo na mnaacha details mkijifanya mnajua kila kitu.usafi wenu upi, na uharamia wa kilaini ni upi kwa mradi wa bukoba ambao anachangia mhaya kwa maendeleo ya jimbo lao.kwa akili yako unadhani kilaini angefanyaje kujua kuwa hizo milion 80.5 zimetoka ktk sehemu isiyo na ruge ktk escrow?hizo millioni ruge anaweza zitoa ktk matumizi tuu.hata mwanae au mkewe anaweza zitoa mabibo.
Baba Askofu Methodius Kilaini akiri kua alipokea milioni 80.5 kutoka kwa Rugeemanila. Ila atoa rai kwamba wezi halisi wakamatwe na kushughulikiwa na siyo yeye!
==================
Chanzo: EATV
Hela za Escrow zilipita Mkombozi Bank (Catholic Bank) pia wamepewa Maaskofu na mapadre wa Roman Catholic.
What if zingepita Amana Bank and wapewe Masheikh na maimam??
Wewe mwehu umerudi ulikuwa jela.Msikuze issue,nilichosema hujakisoma.Report imejificha ktk kujenga dhana yenye nia ovu.Majibu yenu mtapewa na kanisa.NA Ruge naye ataongea.Sasa walio waislam mbona wanakusanywa km vile hele yao iliishia Mkombozi.Issue imewekwa km vile Hela imeanzia Mkombozi na kuishia mkombozi.Issue imekwenda kwenye matumizi ya Hela kuliko wizi wenyewe.Wizi umekwenda kujenga dhana ktk nchi iliyo tayari na vita mbaya dhidi ya Kanisa.
Wabheja sana. Kumbe Kilaini anaaminika sana kwa mfadhili Rugemalila kuliko askofu Rwoma, ndiyo maana mkuu wa jimbo hakuwa anajua lolote kuhusu hiyo pesa mpaka taarifa zilipovuja.Fuatilia mabandiko yangu huko nyuma, kuna wahisani ambao hutoa pesa au misaada moja kwa moja kwa jina la askofu ndicho kilichofanyika. Maaskofu wengi wana account binafsi ili kurahizisha wahisani wanaoamua kuchangia moja kwa moja kwa jina la askofu kwa miradi ya maendeleo au malengo wanayotolea pesa. Usilinganishe serikalini na kwenye mashirika ya dini na ulimwengu mbili tofauti.
Tumeshuhudia baadhi ya majimbo askofu fulani alipoondoka katika jimbo fulani misaada ya maendeleo jimboni ilikatika ghafla sababu baadhi ya wahisani wanatoa sababu ya kumwamini kiongozi fulani.
Roho inauma hazikupita amana bank eeh?
Wabheja sana. Kumbe Kilaini anaaminika sana kwa mfadhili Rugemalila kuliko askofu Rwoma, ndiyo maana mkuu wa jimbo hakuwa anajua lolote kuhusu hiyo pesa mpaka taarifa zilipovuja.
Umeambiwa kwamba huwaanatoapesa kwaajili ya shughuli mbalimbali za kimaendeleo kwa imaniyake.we we unajua kwanini alitoapesahizo kwa askofu, au unahisi vitu tu kichani kwako. Mimi simtetei huyu askofu lakini nachukua tahadhari kwakuwa najua hata majizi huwa yanatoa sadaka nyingitu na hakuna mchungaji au padri anaejua huyomtoa sadaka amezipata wapi.
Umeambiwa kwamba huwaanatoapesa kwaajili ya shughuli mbalimbali za kimaendeleo kwa imaniyake.we we unajua kwanini alitoapesahizo kwa askofu, au unahisi vitu tu kichani kwako. Mimi simtetei huyu askofu lakini nachukua tahadhari kwakuwa najua hata majizi huwa yanatoa sadaka nyingitu na hakuna mchungaji au padri anaejua huyomtoa sadaka amezipata wapi.
Mkuu unaposema nchi ipo katika vita mbaya dhidi ya kanisa unamaanisha nini.? Na waislamu wanaosema mfumo kristo upo hapa nchini wewe unawaelewaje.? Mkuu wewe pamoja waislamu wenye msimamo Kama wa kwako Ni watu hatari Sana kwa usalama WA nchi yetu. Ni hayo Tu mkuu .siku njema sihitaji mabishano ya dini yaendelee hapa Mimi Na wewe.Msikuze issue,nilichosema hujakisoma.Report imejificha ktk kujenga dhana yenye nia ovu.Majibu yenu mtapewa na kanisa.NA Ruge naye ataongea.Sasa walio waislam mbona wanakusanywa km vile hele yao iliishia Mkombozi.Issue imewekwa km vile Hela imeanzia Mkombozi na kuishia mkombozi.Issue imekwenda kwenye matumizi ya Hela kuliko wizi wenyewe.Wizi umekwenda kujenga dhana ktk nchi iliyo tayari na vita mbaya dhidi ya Kanisa.
Yaani sasa huitambui VIP engineering tena na unakuwa reductionist wa kiasi cha kutoona aliyelipwa awali na kisababisha wengine wapate???!!Mishahara inalipwa na kampuni na sio individual hata mengi alipi wafanyakazi mishahara bali IPP ndio inaowalipa mishahara maana hao wafanyakazi hiyo mishahara wao ndio wanaifanyia kazi na kuingiza kipato kampuni at the end ndio wanapewa ujira.
Mbona hata Tibaijuka kafunguka, hukumsikia asubuhi Star TV? Does that make any difference?Askofu Nzigilwa afunguka kuhusu fedha za Rugemalira
Ruge anayo hela zaidi ya hiyo nje ya escrow sasa kilaini akiwaita na kuwaambia Bukoba inahitaji hiki ,ni vipi ataanza chambua ipi halali na ipi ni mbovu ktk mfuko wa RUGE.Sasa km ni hivyo WAISLAM NAO WANAHITAJIA KUCHGAUA HELA IPI ILIPITA MFUKONI NA KUSHIKWA NA MUUZA KITI MOTO.Na IPO KTK MZUNGUKO AMBAO UMEIFIKISHA MSIKITINI KM SADAKA.MTU ANACHUKUA UDHU MFUKONI ANA HELA YENYE DNA ZA KITIMOTO,yenye DNA za mwanamke aliyeificha ktk nyeti tena kipindi yupo angani.