Not Masunga ex Makoko I guess!I am catholic and ex seminarian, but I dare to speak openly that Catholic Church is corrupt . A very dirty and greed one .
Not Masunga ex Makoko I guess!I am catholic and ex seminarian, but I dare to speak openly that Catholic Church is corrupt . A very dirty and greed one .
Sawa tuseme ni rushwa, sasa ni kwa ajili gani mpaka ampe Askofu?
Baraza la maaskofu lingetoa tamko kali sana kulaani.
Pesa ambazo walihisaniwa kwa malengo ya maendeleo na kuna vielelezo kwamba zimetumika kwa shughuli za umma ingehalalishwa kama ujenzi wa zahanati, shule nk, lakini kama ilikuw akwa matumizi binafsi lazima zirudishwe.
Hela za Escrow zilipita Mkombozi Bank (Catholic Bank) pia wamepewa Maaskofu na mapadre wa Roman Catholic.
What if zingepita Amana Bank and wapewe Masheikh na maimam??
Baba Askofu Methodius Kilaini akiri kua alipokea milioni 80.5 kutoka kwa Rugeemanila. Ila atoa rai kwamba wezi halisi wakamatwe na kushughulikiwa na siyo yeye!
==================
Chanzo: EATV
Nadhani hawa walipokea kama michango/sadaka za maendeleo ya Kanisa . Watz wanatakiwa wawe na moyo wakutoa sadaka nzito kama hizo za Ruge.. !
mimi ni mkatoriki pure ila kwa maslai ya uma ninaungana na mapendekezo ya PAC kwa kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kufilisiwa. Kwa wale wote walio nufaika na mgawo uliotokana na pesa za ESCROW
Nielimishwe na mpuuzi km wewe,hapa nilichoandika hujasoma unajipa haki ya kunidhihaki na kupoteza muda na processing power ya computer.Narudia wewe ni mcharuko.We kwa akili yako unadhani kuwa mkatoliki kunakusaidia kuhalalisha ujinga na si kuonyesha jinsi hujawahi kushiriki ktk shughuli za kikatoliki au hata kuujua kabisa.Ungeshiriki ungekuwa umeona hata kwa uzoefu utendaji wao.Kuwa wa kundi fulani hakuhalalishi kujua sana.KWA TAARIFA YAKO KUNA WATU WENGI TUU KTK DINI NI WAJINGA SANA NDIO MAANA WAPO HUKO.NA WAPO HUKO KWA VILE WANATEGEMEA USHAWISHI NA IMANI KWA WATU WALIOMZUNGUKA.
Kwanza hiyo tag MFUMO KRISTU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA PENGO ,imekuwa sababu kuu ya waislam kufanya lolote,kulishambulia na kulilaumu kanisa kwa kila kitu kinachotokea ktk dunia yao.Mkuu unaposema nchi ipo katika vita mbaya dhidi ya kanisa unamaanisha nini.? Na waislamu wanaosema mfumo kristo upo hapa nchini wewe unawaelewaje.? Mkuu wewe pamoja waislamu wenye msimamo Kama wa kwako Ni watu hatari Sana kwa usalama WA nchi yetu. Ni hayo Tu mkuu .siku njema sihitaji mabishano ya dini yaendelee hapa Mimi Na wewe.
Hapa ni issue za wana bukoba kuliko catholics.Ingawa ni wana bukoba waliopo catholics.Ila nina ushahidi wa maaskofu na mapadri na masista.kupewa hela na rafiki zao ,classmates, na hata wazazi wao ndugu zao kuwapa hela bianfsi ili wafanyie watakalo bila kubanwa na taasisi.Hii ni km taasisi zina policy kali ktk hela.Kuwa wakishapewa wao ndio hupeleka palipo na umuhimu kitasisi.Wao hutoa moja kwa moja.Ndio maana kuna vituo vya padri fulani...ambacho wao huamua kuvitoa kwa kanisa au shirika la kanisa.Ndio maana kuna vituo vya mapadri fulani na si kanisa. Hata serikali ile tabia ya kupeleka wanafunzi ktk shule za mikoa fulani kwa kiwango wanachotaka huku wakiwaminya wa mikoa hiyo ,kulichangia sana mikoa hiyo kutumia hela binafsi,na kuzitumia kwa kazi binafsi.Wapo wafanyakazi wa serikali na viongozi wamejenga kwao kwa hela za wafadhili binafsi.NINGEPENDA WAPUUZI WANAJIITA WASEMINARI SIJUI WAKATOLIKI,SIJUI EX NANI.wATOE HOJA KULIKO KUKOMAA KUWA WAPO SEHEMU YA JAMII KATOLIKI.
Hela za Escrow zilipita Mkombozi Bank (Catholic Bank) pia wamepewa Maaskofu na mapadre wa Roman Catholic.
What if zingepita Amana Bank and wapewe Masheikh na maimam??