Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

Tena Bora limesemwa hili
Na hili nalo mkalishuhukikie
Bila haya wala soni anataka akashinde kwa mwanamke na Kodi halipi yeye... Hivi kumbe wajaluo ndivyo mlivyo

Haya umekataliwa kuja mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu bado unaomba tu ujeee 🤣🤣 hivi mmesahau akufukuzaye hakwambii toka
Maisha yenyewe ya kung'ang'ania kama luba yanatokea wapi
😂😂😂😂😂😂 hatariiii sanaaa
 
As long as he's mine,,akuje tu,awe analipa au halipi, mbona kwao tunaenda,,tuache uchoyoo wajameni aaaah
Kabisaa jamaa ako akuje kwako na kodi hajui mlipaji?
Acha hizo weyeee.
 
Naona hujanielewa mkuu sikatai kwa mwanaume wangu kuja kwangu ila nasemea hawa wahuni anakutongoza leo kesho keshokutwa anajifanya anataka kuja kukusalimia kwako
Kwani kuna muda maalumu wa kutembeleana baada ya kutongozana?

Shida iko wapi ikiwa kusudio lake ni kujua mahali anapokaa mpenzi wake?

Unapoitengeneza akili yako kuwa hasi hata kwenye vitu vya kawaida basi kila kitu kwako lazima kiwe kigumu.
 
Habarini za wakati huu wana JF.

Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.

Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.

Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Una na kamsururu ka wanaume kama mia ivi.
So unamwambia upo single ili awe wa 101 kwenye foleni.
Ila wanawake wa miaka hii kiboko.
 
minimum requirement kwa mwanamume kulala kwa mwanamke ni Glock 19 iwe na 15rounds at least.
Ukiona hapaeleweki usitanie, toa onyo la mdomo ukiwa ndani, "RISASI ZANGU HAZITUMIKI HOVYO, RISASI YA KWANZA INAKUJA MLIPO, CLEAR NJIA PLEASE."

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Habarini za wakati huu wana JF.

Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.

Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.

Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Ninyi mnapoenda kwenye nyumba za wanaume huwa mnachangia nini?
 
minimum requirement kwa mwanamume kulala kwa mwanamke ni Glock 19 iwe na 15rounds at least.
Ukiona hapaeleweki usitanie, toa onyo la mdomo ukiwa ndani, "RISASI ZANGU HAZITUMIKI HOVYO, RISASI YA KWANZA INAKUJA MLIPO, CLEAR NJIA PLEASE."

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
Yote hayo ya nini sasa si usiende tu
 
Kwani kuna muda maalumu wa kutembeleana baada ya kutongozana?

Shida iko wapi ikiwa kusudio lake ni kujua mahali anapokaa mpenzi wake?

Unapoitengeneza akili yako kuwa hasi hata kwenye vitu vya kawaida basi kila kitu kwako lazima kiwe kigumu.
Ndiyo muda maalumu upo, mkishafahamiana vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom