Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 1,670
- 3,272
Mwanaume kamili hawezi kwenda kwa mwanamke.
Nakabia juu.
Nakabia juu.
Tupo pamoja 😂😄😄 haya bwana ngoja nikuache uendelee kunywa soju
Aiseeeeee!!mtakuja mvuliwe ubingwa huko
Hapana mkuu siyo kweliNasikia mnawakaribisha magetoni ili zile za Lodge ziunganishwe na ile nyimgine..
Tena mwanamke asiyemlipia kodiMwanaume kamili hawezi kwenda kwa mwanamke.
Nakabia juu.
Huo ndiyo ukweli, mkuu ukielewa vibaya ni weweHata mimi aisee, kumbe tunafanana mtazamo
Siyo kumkaribisha wao wenyewe huwa wanaomba waje kututembelea, wasivyo na aibuUmakaribishe mwenyewe alafu asione soni aje kisha urudi kutupigia kelele. Usingemkaribisha kwako
Kwanini wa sinza mkuu?Hao ni wanaume wasinza dar
Pigia mstari hapo mkuuMtakuja kuvuliwa ubingwa ?🙃
Ni kweli mkuu hapo 2. Mimi kuna manzi niliitaka, siku za mwanzo tu nikaiuliza inakaa wapi, chap nikaomba kuisalimia ikanifikisha.Jibu la swali.lako ni majibu mawili
1)mwanamke unaweza ukamlisha na kumtunza kwa miaka miwili ila yeye akikulisha na kukutunza miezi miwili tu utajuta kwa masimango na dharau .
2)Wanaume wa hivyo wanasema hivyo kukupimq wakitaka kujua nafasi yao mwanzo wa mausiano na kukusoma ...wapo wanaume wengi wanasema hivyo ika ukiwakalibisha wanakuwa wagumu kuja kwako .
Sasa mimi ndiyo nawasemea hawa wanaume washenzi anakujua leo wiki ijayo anataka kuja kwakoAaaah kwenye wiki hapo hapana,, nishawahi mtolea mtu nje aseeee wiki tu hapanaaaaa
Eeeeh! Hongera kwa ujasiriNi kweli mkuu hapo 2. Mimi kuna manzi niliitaka, siku za mwanzo tu nikaiuliza inakaa wapi, chap nikaomba kuisalimia ikanifikisha.
Mara 2 hivi napita kuipa hai, nikaona hakuna restriction any time inanikaribisha.
Nikalipa kbs kodi.. tena ikaniambia mpe baba mwenye nyumba.
Sasa ni mwendo mdundo, kumbe ipo inapamba yenyewe hakuna kima aliyekuwa kajiegesha. Hahahah
Hakika.Tena mwanamke asiyemlipia kodi
Unaenda kufanyaje?Ww ndo umefeli hizo ni code za wanaume unadhani naenda kula ugali kwake
Bado hujakuwa wewe, safari yako ndefu.Hapana mkuu siyo kweli
Naona hujanielewa mkuu sikatai kwa mwanaume wangu kuja kwangu ila nasemea hawa wahuni anakutongoza leo kesho keshokutwa anajifanya anataka kuja kukusalimia kwakoWanawake wa aina yako bila shaka wamekosa hali ya kujiamini au siyo waaminifu kwenye mahusiano.
Mwanaume wako kuja kwako siyo kosa ila kosa ni kujiachia kama vile yeye ndiye mwenye chumba(mlipa kodi).
Kuna dharula za lazima ambazo zinaweza kujitokeza na yeye akawa sehemu ya msaada, akiwa hajawahi kufika kwako inakuwa tayari umetengeneza ugumu.
Haki ya nani sijui... Ila wanawake wengi mnafikiria sasa na siyo baadae.
Wanaume tukumbushane kuwa mwanamke akikupa umuhimu kwenye maisha yake atakushirikisha kwenye mambo yake.
Muhimu: Ni kosa kubwa sana mwanaume kujiachia kwenye ghetto la mwanamke katika hali yoyote ile.
Familiya
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
🥲siendagi kwa watu😀😀basi uje kunitembelea nyumbani kwangu
Unafuu utawacostWanataka unafuu