Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

Mkuu huna hoja. Mnakuwa mnaongelea nini mpaka mtu anakuuliza kama unakaa mwenyewe then unamwambia upo single, ni kitu ambacho wewe mwenyewe ume taka.
Hata kama nimekwambia nakaa mwenyewe haikupi mamlaka ya wewe kutaka kuja kwangu
 
Habarini za wakati huu wana JF.

Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.

Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.

Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
 
Sasa, atavuliwa ubingwa, na nani,wakati umesema upo single! Au, unadanganya!?
 
Wanawake wa aina yako bila shaka wamekosa hali ya kujiamini au siyo waaminifu kwenye mahusiano.

Mwanaume wako kuja kwako siyo kosa ila kosa ni kujiachia kama vile yeye ndiye mwenye chumba(mlipa kodi).

Kuna dharula za lazima ambazo zinaweza kujitokeza na yeye akawa sehemu ya msaada, akiwa hajawahi kufika kwako inakuwa tayari umetengeneza ugumu.

Haki ya nani sijui... Ila wanawake wengi mnafikiria sasa na siyo baadae.

Wanaume tukumbushane kuwa mwanamke akikupa umuhimu kwenye maisha yake atakushirikisha kwenye mambo yake.

Muhimu: Ni kosa kubwa sana mwanaume kujiachia kwenye ghetto la mwanamke katika hali yoyote ile.

Familiya
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
 
Hakuna vidada vishezi kama vya kizungu, mambo ya kunasishiwa mimba ili upigwe chini utoe tu child support ni kawaida sana , wadada wa kimatumbi wapo vizuri mno bado hawajaharibika kabisa.
Waambie wakome kabisa kutuchafua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom