Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

Tena Bora limesemwa hili
Na hili nalo mkalishuhukikie
Bila haya wala soni anataka akashinde kwa mwanamke na Kodi halipi yeye... Hivi kumbe wajaluo ndivyo mlivyo

Haya umekataliwa kuja mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu bado unaomba tu ujeee 🤣🤣 hivi mmesahau akufukuzaye hakwambii toka
Maisha yenyewe ya kung'ang'ania kama luba yanatokea wapi
 
Tena Bora limesemwa hili
Na hili nalo mkalishuhukikie
Bila haya wala soni anataka akashinde kwa mwanamke na Kodi halipi yeye... Hivi number wajaluo ndivyo mlivyo
Ukiona hivyo ujue hao ndio hadhi yako na wapo kwenye cycle yako , na ndio saizi yako , jinsi ulivyo utapata mtu wa hadhi yako.
 
Ukiona hivyo ujue hao ndio hadhi yako na wapo kwenye cycle yako , na ndio saizi yako , jinsi ulivyo utapata mtu wa hadhi yako.
Sijakataa
Hoja ya msingi na ya Uzi huu ni wanaume kuwa wepesi kwenda nyumbani kwa wanawake kirahisi rahisi tu
So hizo reaction zingine zitunze kwa ajili ya mada itakayohusu Hivyo
 
Sijakataa
Hoja ya msingi na ya Uzi huu ni wanaume kuwa wepesi kwenda nyumbani kwa wanawake kirahisi rahisi tu
So hizo reaction zingine zitunze kwa ajili ya mada itakayohusu Hivyo
Ndio maana nikasemaje ukiona mwanaume anafanya hivyo jua huyo ndio saizi yako nakaona anakumudu vzuri tu .

Note; sio kila mwanaume atafanya hivyo kwa kila mwanamke , yaani mpaka mwanaume akufanyie hivyo jua ameshakupima vizuri sana.
 
UKweli ni kwamba wanawake ambao hawataki kuwapeleka wanaume wanapoishi ni kwamba wanakuwa hawana mwanaume mmoja. Hivyo ili mambo yasiwe mengi wanazuia wanaume kwenda kwao kwa kisingizio kwamba watamwingiza future mume ama baba mtoto/watoto.

Ila unakuta kuna msururu wa wanaume wanaotoa hela ya kodi.
Kwa hiyo mkuu mpaka leo unaamini mwanamke anakuwa na mtu mmj as long akiombwa namba anatoa
 
Tena Bora limesemwa hili
Na hili nalo mkalishuhukikie
Bila haya wala soni anataka akashinde kwa mwanamke na Kodi halipi yeye... Hivi kumbe wajaluo ndivyo mlivyo

Haya umekataliwa kuja mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu bado unaomba tu ujeee 🤣🤣 hivi mmesahau akufukuzaye hakwambii toka
Maisha yenyewe ya kung'ang'ania kama luba yanatokea wapi
Wanakuja kusema eti wanawake tuna roho mbaya dah! Ila wanaume😂🙌
 
Habarini za wakati huu wana JF.

Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.

Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.

Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Wanaume wa dar ugumu wa maisha umewafanya wawe wapumbavu sana
 
Mkaribishe tu anayekulipia kodi.
 
Ni kweli lakini dunia hii Ina mengi. Unaweza ugua ghafla na wenzako WASI respond kwa wakati. NSHA kutana na na huo mtihani uti wa mgongo ulikazaa SIWEZI amka nikavuta SIMU kushtua NDUGU wakachelewa nikasaidiwa na JAMAA YANGU WA mbali SANA hata SI kudhania YANI sinaga hata STORI NAE SANA. SIMU moja TU kwishaa

Kwishaaaa
Daaah pole mzee,hii inatokeaje,samahani lakini.
 
Mpangie halafu uwe na full authority hiyo utakupa konfidensi.Ni hatari sana hii wanaume wenzangu,maana unaweza ukafungua ukurasa mpya wa kumbukumbu mbaya yakikutokea yale ya kukudhalilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom