Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,547
- 22,982
Wasamehe dadaSasa mimi ndiyo nawasemea hawa wanaume washenzi anakujua leo wiki ijayo anataka kuja kwako
Wasamehe dadaSasa mimi ndiyo nawasemea hawa wanaume washenzi anakujua leo wiki ijayo anataka kuja kwako
Eeeeh na mbunye nampea,, aaah jamaniii akujue tuuuKabisaa jamaa ako akuje kwako na kodi hajui mlipaji?
Acha hizo weyeee.
Usijichanganye ukaingia 18 tena unakuta wenye ndevu na heka hawanaWanapenda kamserereko sana hao
Ngoja nije unipee hio mbunye mm stakagi masiala kwny hicho kitu sawa😁Eeeeh na mbunye nampea,, aaah jamaniii akujue tuuu
Wife material hapaswi kuwa na masimamgo Kwa wanaume vinginevyo NI material wife sio wife material tenaHabarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Afu mm nkupendaga ujueWanapenda kamserereko sana hao
Kwa style hii,utakosa mke single maza ulomtafta juzi tu humuNgoja nije unipee hio mbunye mm stakagi masiala kwny hicho kitu sawa😁
Mimi nktka weweKwa style hii,utakosa mke single maza ulomtafta juzi tu humu
Njoo tuyajengeMimi nktka wewe
Naona dosho12 ananishawishi nije kulala kwako ila kiukweli kujirisk uongo 😂Hahahaha 😂 😂 unasemaje wewe
Mke ninaye😂😂😂haya nenda mamyNjoo tuyajenge
Eeeeeh wajameni nawewe kumfatilia micheps yanguMke ninaye😂😂😂haya nenda mamy
Siwezi kuja Bora unilie nauli nitaendelea kuivutia subra hiyo mbunye maana najua utanipaga tu 😅😅😅Jichanganye na huku nilkopanga geto ni uswahilini