Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

Habarini za wakati huu wana JF.

Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.

Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.

Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Sitosahau siku nimeenda kulala Kwa Mwanamke, mida flani kama saa 7 za usiku huku nikiwa nazagamua dude heavy ghafra nasikia mlango unagongwa nikamuuliza mwenyeji wangu " vipi mbona sielew huyo nani" demu ananijibu " wewe tulia tu ataondoka mwenyewe " na kweli bwana yule mtu aligonga mlango dk 30 nzima akaondoka zake baada ya kuona kimya na mchezo ukaishia hapo demu ananiambia "wewe tomber tu usiwe na hofu " wakati huo Mimi zamani sana hisia zimekata kabisa sikulala mpaka saa 10 nikaondoka zangu na sijuwahi kulala Tena Kwa Mwanamke.
 
Sitosahau siku nimeenda kulala Kwa Mwanamke, mida flani kama saa 7 za usiku huku nikiwa nazagamua dude heavy ghafra nasikia mlango unagongwa nikamuuliza mwenyeji wangu " vipi mbona sielew huyo nani" demu ananijibu " wewe tulia tu ataondoka mwenyewe " na kweli bwana yule mtu aligonga mlango dk 30 nzima akaondoka zake baada ya kuona kimya na mchezo ukaishia hapo sikulala mpaka saa 10 nikaondoka zangu na sijuwahi kulala Tena Kwa Mwanamke.
Unaona sasa ndiyo haya mambo mimi nayasemea hapa, pole sana mkuu hope umejifunza
 
Habarini za wakati huu wana JF.

Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.

Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.

Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Waifu material geresha hii, hapa ni maslahi kwa kwenda mbele!
 
Min-me kweli vidada VYA kizungu miyeyusho ukitaka kuwajua wana roho GANI ingia KWENYE mfumo. Ronaldo mwenyewe anachenga KUMUOA Georgina KILA SIKU.

wanawake WA kizungu wamefanya NIMEMKUMBUKA Emmanuel eboue mchezaji WA arsenal ILE ya miaka HIYO iknikosha ghafla nashanga namuona eboue ana lala barabarani anaji kunyata, Mara anasimangwa ETI amemuambukiza ukimwi mkewe na mkewe huyohuyo NDO kashika mali zote huwezi amini ALIKUA MTU mwenye kipato kikubwa. HAPO huja kutana STORI za Hakim na Pogba

Kwishaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom