Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,630
- 23,203
Mxiiiiiuuuu ka jinga ππππππππππππππΎSiwezi kuja Bora unilie nauli nitaendelea kuivutia subra hiyo mbunye maana najua utanipaga tu π π π
Mxiiiiiuuuu ka jinga ππππππππππππππΎSiwezi kuja Bora unilie nauli nitaendelea kuivutia subra hiyo mbunye maana najua utanipaga tu π π π
Kwani Kuna shida usisahau zana tujikinge π₯°Eeeeeh wajameni nawewe kumfatilia micheps yangu
Kam kweli vileπ€£π€£π€£Kwani Kuna shida usisahau zana tujikinge π₯°
πππKwani uongo siku yangu ipo naamini Inakuja nishaanza kuilia karangaMxiiiiiuuuu ka jinga ππππππππππππππΎ
Na kibamia chakoπ€£π€£π€£ππΎππΎππΎusiku mwemaπππKwani uongo siku yangu ipo naamini Inakuja nishaanza kuilia karanga
πππTuna safari ndefu sana unajua kwahiyo magonjwa na urefu wetu tukikonda sana tunakuwa kama michongoma ujue πKam kweli vileπ€£π€£π€£
Ushaanza kuleta Siri zangu public au sio π€£π€£π€£Na kibamia chakoπ€£π€£π€£ππΎππΎππΎusiku mwema
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππTuna safari ndefu sana unajua kwahiyo magonjwa na urefu wetu tukikonda sana tunakuwa kama michongoma ujue π
SamahaniUshaanza kuleta Siri zangu public au sio π€£π€£π€£
Sawa mrembo nakujaNjoo tuyajenge
Asante mkuu, ubarikiweAfu mm nkupendaga ujue
π€£π€£πππMleta mada siku akipata ugeni wa kubumba (wa ghafla I mean)
View attachment 3435667
Msiambiwe ukweli?Wife material hapaswi kuwa na masimamgo Kwa wanaume vinginevyo NI material wife sio wife material tena
πππππππMleta mada siku akipata ugeni wa kubumba (wa ghafla I mean)
View attachment 3435667
ππππNawajua vizuri wakiona demu yuko vizuri wanahimia kbs
Hamna madongo huo ni ukweliNaona unatupa madongo tuu kwa wanaume....
Ndiyo mnyama gani huyo tena?Inaoneokana unapenda sana dyudyuuwasha
Wacha uchoyo karibisha mwanaume umpikie pulau basi nanjuisi wee unataka uishi bila wage i nyumba gani hiyoHamna madongo huo ni ukweli
Utatupokeaπππππ
Yaani mimi kukuomba tu nije kwako Jumamosi ndo umeamua kuja kunianika huku?!Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.