kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
- Thread starter
- #41
Huwa nawashangaa sana wanaume wa hivyotype error.. Naamaanisha Mwanaume unaenda kwa mwanamke ambae hujamlipia mahali..
Huwa nawashangaa sana wanaume wa hivyotype error.. Naamaanisha Mwanaume unaenda kwa mwanamke ambae hujamlipia mahali..
Hiyo ni hiyari na uamuzi wako jinsi ulivyomsoma mtu wako.Mwanaume anayejitambua hapaswi kwenda kwa mwanamke.Hapana kwa upande wangu mimi mwanamke yaani niwe ndiyo nimeingia kwenye mahusiano na mwanaume hata mwezi hatuna tayari nimlete kwangu hiyo ni sawa?
sema tatizo ni nyie mna date na machekibobu watu wa ajabu ajabuHuwa nawashangaa sana wanaume wa hivyo
Asante na karibisha watu kwako. MTU MPAKA kufikia ye kakwambia hivo Ina maana we tayari usha mtengenezea hayo mazingira.Pole sana bro alex 😢
Ni ipi afadhali kati ya kukutana kwako na kukutana Bar/lodge?Mkuu wewe unaona sahihi mtu umefahamiana naye hata mwezi uanze kumkaribisha kwako?
Ujumbe murua Wifematerial ila ni kwa wanaume pekeeHabarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Sio unawashangaa ni kwamba cycle yako hadhi yako ndio inasababisha upate wanaume wa hivyo.Huwa nawashangaa sana wanaume wa hivyo
Mleta mada usiseme tena uko singo🤣🤣Sasa kama hutaki kwanini umwambie unakaa mwenyewe
Iwapo haja kongesha ndinga!Sijuiii?Mleta mada usiseme tena uko singo🤣🤣
Siyo wote tunaoendagaHahaha mbona wanawake wana ujasiri pia? Ukiitwa kwa mwanaume au guest fasta tu unahudhuria? Ngoma droo ndio maisha ya binadamu risk lazima
Yaani anakutongoza anajifanya ana mapenzi na wewe anataka kukufahamu vizuri na kufahamu unapoishiHapo ulishaombwa nyapu ki silence saiz nyapu zinaliwa kwa kutengeneza mazingira kutongoza tumewaachia wasukuma 😄 am kidding
Siyo wote tunaoendaga
Mimi siendi hata kwakeWewe ukienda kwake umechangia nini?
Ndio maana nawaambie miaka yote vijana #usimuonee_mwanamke_huruma
Siyo wote ila wengi wapo tayari na wanaona kawaida tu kwenda kwa mwanamkeKwani wanaume wote wanaenda(ga)?
Ivi unajua mtu akikwambia vp leo una mda tuonane? Ukiwa km mtu mzima unatakiwa unyoe na vuze hiyo ndo maana ya kuombwa ki silenceYaani anakutongoza anajifanya ana mapenzi na wewe anataka kukufahamu vizuri na kufahamu unapoishi
Wengine hatujazoea uongoSasa kama hutaki kwanini umwambie unakaa mwenyewe