min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,696
- 131,815
Shindii sina pesa , ila hatufanyi kitu bhna🥲 nipate pa kulala tu nikitoka kulewaLipia kwanza kodi ya mwaka🤣🤣🤣
Shindii sina pesa , ila hatufanyi kitu bhna🥲 nipate pa kulala tu nikitoka kulewaLipia kwanza kodi ya mwaka🤣🤣🤣
Mkuu agiza biaAs long as he's mine,,akuje tu,awe analipa au halipi, mbona kwao tunaenda,,tuache uchoyoo wajameni aaaah
Nipe unachovuta kaka , maana umekuwa mtu wa nasaha na busara siku hizi 😅😅Wanawake wa aina yako bila shaka wamekosa hali ya kujiamini au siyo waaminifu kwenye mahusiano.
Mwanaume wako kuja kwako siyo kosa ila kosa ni kujiachia kama vile yeye ndiye mwenye chumba(mlipa kodi).
Kuna dharula za lazima ambazo zinaweza kujitokeza na yeye akawa sehemu ya msaada, akiwa hajawahi kufika kwako inakuwa tayari umetengeneza ugumu.
Haki ya nani sijui... Ila wanawake wengi mnafikiria sasa na siyo baadae.
Wanaume tukumbushane kuwa mwanamke akikupa umuhimu kwenye maisha yake atakushirikisha kwenye mambo yake.
Muhimu: Ni kosa kubwa sana mwanaume kujiachia kwenye ghetto la mwanamke katika hali yoyote ile.
Familiya
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
Aaaah kwenye wiki hapo hapana,, nishawahi mtolea mtu nje aseeee wiki tu hapanaaaaaKwahiyo hata kama mahusiano yana wiki unamkaribisha?
Sindii pesa za kulewea umetoa wapi? Njoo ulale jikoni.Shindii sina pesa , ila hatufanyi kitu bhna🥲 nipate pa kulala tu nikitoka kulewa
sasa bia situmii,, siwezi agiza juice embe,,au ntajaza iiiinnnzzzziiiiMkuu agiza bia
Mlevi hakosi kulewa shindiii , bar tunaenda na stories tu , ila unarudi chakari nani kasema kulewa lazima uwe na pesa shindii?Sindii pesa za kulewea umetoa wapi? Njoo ulale jikoni.
Kwahiyo shindii kila siku wanakununulia pombe🙆♂️🙆♂️🙆♂️Mlevi hakosi kulewa shindiii , bar tunaenda na stories tu , ila unarudi chakari nani kasema kulewa lazima uwe na pesa shindii?
Sio mimi shindii , ila pombe imeshanifanya nikae meza moja mpaka na mawazi naiheshimu sana shindii😛Kwahiyo shindii kila siku wanakununulia pombe🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Aaah hii hatari hii!
Unakaa😂😂siishi
Nipe connection shindii, mi nakaa na mama shirima tu🙆♂️🙆♂️Sio mimi shindii , ila pombe imeshanifanya nikae meza moja mpaka na mawazi naiheshimu sana shindii😛
Hahaha mimi ndio nataka kuomba connection ujue😅Nipe connection shindii, mi nakaa na mama shirima tu🙆♂️🙆♂️
Hao ni wanaume wasinza darHabarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Mambo ya Soju hayo kaka 😂😂😂Nipe unachovuta kaka , maana umekuwa mtu wa nasaha na busara siku hizi 😅😅
Hata mimi aisee, kumbe tunafanana mtazamoNimeona maneno "HUMLIPII KODI" tayari nimehitimisha wewe ni mwanamke wa aina gani😁
😄😄 haya bwana ngoja nikuache uendelee kunywa sojuMambo ya Soju hayo kaka 😂😂😂
Tatizo hivi viumbe wengi wao chako ni chake ila chake ni chake.
Muhimu: Chake si chako kweli ila chako ni chake.
Lodge/Guest/Hotel hua unalipia wewe?Mimi siendagi kwa watu