Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

Jamani huyu mleta mada kasoma japo degree?
Kasomea wapi na miaka ipi?
Tusijechangia mada za kudhalilisha juhudi za mamilioni ya watu?
Changia mada.kama huna hoja kaa pembeni.mimi siombi kazi humu mpaka nitoe Cv zangu.Humu naongelea matatizo yaliyopo kwenye jamii.ndo maana umeona watu wote waliochangia wanakubaliana na mimi kuwa tatizo lipo.sikurupuki ninavyoleta mada humu.angalia post zangu,angalia points,LIKE utajua mimi ni wa calibre ipi.
 
Wewe ndo unipe, unaonekana unajua zaidi
mada yangu sio kutaja ranking ya ubora wa vyuo mkuu.ila ukitoa takwimu uwe na uhakika nazo. ni kosa kisheria kutoa takwimu feki
 
Huwezi kusema ni takwimu feki kama hujaprent takwimu sahihi, kama ni feki leta vithibitisho sio kukurupuka tuu kupinga bila hoja
 
nitake radhi.nimeshatoa takwimu sahihi.hizo feki pelekea familia yako.usitulishe sumu humu.kilaza wee
 
Familia hapa inahusikaje? Sasa kilaza ni ww unayekataa hoja bila kutoa ushahd na kuishia kutukana,, wasomi wanabisha kwa hoja, hujielewi ww nna wasiwasi na akili yako
 
Tatizo hata sio vilaza sijui matokeo hayaonekani. Nchi yetu imeingiza siasa kwenye elimu hata maamuzi ya kitaalamu hayafatwi ila ya kisiasa. Serikali Mara nyingi inashindwa Ku fund tafiti. Pia utitiri wa vyuo ucharwa vilivosajiliwa kimagumashi. Mana wahitimu wengi lakini hawako competent. Bora Ku invest kwenye vyuo vya kati zaidi na wanaoenda university wawe vichwa kweli ili kupunguzia mzigo serikali wa mikopo na vyuo vya kati viproduce watu wazuri because, degree huwa iko more theoretically
 
Walimu almost wengi wa hivyo vyuo vingine wanatoka UDSM. Kama ni vilaza halafu wanaenda kufundisha wanafunzi ambao pia ni vilaza..kwa maana hiyo hao wanafunzi wa vyuo vingine ni vilaza square..😀😀
....and it is liked!!!!
 
Tatizo hata sio vilaza sijui matokeo hayaonekani. Nchi yetu imeingiza siasa kwenye elimu hata maamuzi ya kitaalamu hayafatwi ila ya kisiasa. Serikali Mara nyingi inashindwa Ku fund tafiti. Pia utitiri wa vyuo ucharwa vilivosajiliwa kimagumashi. Mana wahitimu wengi lakini hawako competent. Bora Ku invest kwenye vyuo vya kati zaidi na wanaoenda university wawe vichwa kweli ili kupunguzia mzigo serikali wa mikopo na vyuo vya kati viproduce watu wazuri because, degree huwa iko more theoretically
ulichokataa mwanzoni.mwishoni umekikubali.wahitimu wa degree baadhi uwezo wao uko tofauti na cheti.degree zinaambatana na field so huwezi kusema ni pure theory.ndo maana unaandika research report ukitoka field
 
that is realy truth .vyuo ving apa bongo vinapaswa vifutiwe usajiri kabisa vinatuharibia elimu

Uko sahihi kabisa, na hata huku shule za sekondary na primary kuangaliwe zaidi kuna shida, unakuta mtu anaandika "apa" badala ya "hapa", hii omission ya herufi "h" sijui maana yake ni nini? labda mimi nimepitwa na wakati? Elimu imeshuka kila idara.
 
ulichokataa mwanzoni.mwishoni umekikubali.wahitimu wa degree baadhi uwezo wao uko tofauti na cheti.degree zinaambatana na field so huwezi kusema ni pure theory.ndo maana unaandika research report ukitoka field
Na chanzo ni vyuo utitiri visivo kidhi viwango kuandika report hasa sio big deal mana niliwaona watu wa field wana copy report za field zilizopita na Ku edit vtu vichache tu. Tatizo linaanzia chini kuanzia primary na MTU akishafika Chuo usitegemee ataelewa na kunyoosha labda kingereza kama alishindwa level za chini. Na ufundishaji wa Chuo ni tofauti na o level, na Advance. Kulaumu direct vyuo sio sahihi thou kuna ka àsilimia flani.
 
utitiri wa vyuo pia umechangia quality kushuka.kwasababu msisitizo upo kwenye quantity ili waendane na nchi zingine za AFrica mashariki kwa idadi ya wahitimu.baadhi ya vyuo vikuu ilibidi viwe VETA.Mfano mtu mwenye Div 3 chuo kikuu anasomea degree pia! kweli report huwa wanacopy na kupaste wengi wao.
 
Uko sahihi kabisa, na hata huku shule za sekondary na primary kuangaliwe zaidi kuna shida, unakuta mtu anaandika "apa" badala ya "hapa", hii omission ya herufi "h" sijui maana yake ni nini? labda mimi nimepitwa na wakati? Elimu imeshuka kila idara.
hilo dongo zito mkuu! taratibu jiwe gizani[emoji12]
 
Taja hivyo vyuo vilaza tafadhali.
soma comment za wadau vimetajwa.sina haja ya kurudia.kila mtu akija na kutaka atajiwe bila kusoma michango iliomo unarudisha nyuma mjadala.naamini ungesoma usingehitaji kujibiwa swali hilo.
 
Back
Top Bottom