Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

UDSM ndio inaongozza kwa kuzalisha vilaza
Dah.. kweli bana. Hii chuo ukikomaa na madesa unaweza ukawa unasibiri mitihani tu maana ni ileile tu wanachobadilisha ni terehe na namba tu hasa coet.[emoji4]
 
Dah.. kweli bana. Hii chuo ukikomaa na madesa unaweza ukawa unasibiri mitihani tu maana ni ileile tu wanachobadilisha ni terehe na namba tu hasa coet.[emoji4]
Wahadhiri hawahangaiki kutafuta nondo mpya.anatumia zilezile kila kizazi!
 
Kwa huu mlegezo mim naona ni vigum kupata product nzuri, inashangaza kuona kijana na degree yake eti bado anavaa mlegezo, huwa najiuliza hivi kweli huyu anajitambua na atakuja pata ajira!!!? Maadiri yameporomosha kiwango cha elimu kuliko tunavyofikiria,
 
Saizi ni uwezo wa mtu sio chuo kikubwa angalia tuu kwenye interview utaona so miaka hii ukibase kuangalia chuo utakuwa unakosea, pia kuchaguliwa udsm sio kwamba unaakili saana au tumaini ndo zezeta, kupata chuo ni bahati na mwaka na kombi uliyochukua, kuna mwingine ana one ya nane yuko sekuko, mwingine two ya kumi na mbili yuko udsm hapo utanambia kuna kilaza, tutunze kauli zetu all in all mtaani ndo huleta heshima ukihudhuria mbili interview ndo utaijua position yako
 
Na hata wenzetu mpaka leo kuna sehemu unaulizwa ulifundishwa na nani?
Hapo sasa
 
Tuliosoma Muslim University of Morogoro (World -class university) tukutane PM. Naona wagalatia wanatuandama. Cheki Ranking hiyo tunavyowakimbikiza mpaka vyuo vya South Africa achilia mbali UDSM
Best universities in Africa 2016

ndugu zangu hiki ndo kinatufanya kuwa nyuma kimaendeleo ya elimu nakubaki kulalamika NECTA wanatuonea[emoji15] naomba kuliza haya
.jamiiforum uyayoitumia ni ya muislam/ mgalatia?
.simu yako je imetengenezwa na nani?
.madaktar wanaokutibu je?
.vipi walimu wa.MUM?
.mabasi unayopanda je?
vitabu unavyosoma je?
.vipi vyakula unavyokula?
.ndugu zako je (wote waislam)
.nguo ulizovaa(hata kama ni baibuo& kanzu hazitengenezwi nakuuzwa na waislam sehem kubwa)

huo ubaguzi meaningless
 
Ndo mpango Wa ndalichako ndio maana akaondoa hizi BRN
Ni kweli mkuu hata baadhi ya Majina makubwa ya wachezaji kwa sasa yanaenda timu za uchina.

Mm nadhani Dr. Magufuli akusanye kodi awekeze ktk Tz kuwa na Technical schools na colleges nyingi kuliko vyuo vikuu.

Tena HESLB ikopeshe Technical na iondoe mikopo vyuo vikuu. Make vyuo kwa sasa vinazalisha mizigo mitaani tu. Unakuta PR tz graduate 4000 nchi nzima. Wakae ofisini tu, kisa -eti kuongea kwa niaba ya kampuni/taasisi.
 
Sasa angalia tulivyojifungia, mganda au mkenya hasa walimu wakikosa ajira kwao wanakuja kwetu kuchukua ajira kwenye Shule binafsi sasa je sisi tunaajirika huko Kenya na Uganda ? Angalau tukafundishe kiswahili,
 
mkuu.fanya utafiti wako utarudi hapa na kichefuchefu cha degree feki za vijana huko mtaani waliotakiwa kutunukiwa diploma.
So diploma ni kwa vilaza tu au sio, means hakuna watu smart wenye diploma?
 
Nafuatilia mijadala na maoni ya wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini baadhi yao ni sheedah! wanadhalilisha vyeti vya degree! hata humu jf unakuta mtu anajinasibu anasoma/amemaliza.degree lakini anaomba ushauri wa jambo analopaswa kulipatia ufumbuzi bila kuomba ushauri.

Nailewa takwimu zinathibitisha kuwa asilimia 60 ya wenye degree hawaajiriki/not competent for jobs.pia nawaelewa wale vijana wa chuo kikuu kilichofunga compus ya Songea na Arusha.Wakaomba na Dar compus pia ifungwe ili wahamie vyuo vikuu ambavyo angalau taaluma yake inasifa na vigezo.

Naona wanasiasa wame focus sana huko shule za msingi na shule upili wamesahau advanced na university product zao.wamejikita kwenye quantity kuliko quality.ukiuliza jibu jepesi wanafunzi wakimaliza vyuo wafikirie kujiajiri! kisa kuna katopic ka entrepreneur kapo kwenye hiyo programme.kwanini huko kujiajiri kusifanyike kwa vitendo japo miezi sita/mwaka ndio degree zitolewe kwa atakayefuzu.

wenye masikio wasikie baadhi ya wenye degree hazina msaada kwao.
Kama mwenyewe unaelimu ya Chuo Kikuu hilo tatizo linaanzia kwako, uandishi gani huu baada ya nukta hauanzi na herufi kubwa?. Unapotoa mada ya kisomi andika kisomi pia
 
Nafuatilia mijadala na maoni ya wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini baadhi yao ni sheedah! wanadhalilisha vyeti vya degree! hata humu jf unakuta mtu anajinasibu anasoma/amemaliza.degree lakini anaomba ushauri wa jambo analopaswa kulipatia ufumbuzi bila kuomba ushauri.

Nailewa takwimu zinathibitisha kuwa asilimia 60 ya wenye degree hawaajiriki/not competent for jobs.pia nawaelewa wale vijana wa chuo kikuu kilichofunga compus ya Songea na Arusha.Wakaomba na Dar compus pia ifungwe ili wahamie vyuo vikuu ambavyo angalau taaluma yake inasifa na vigezo.

Naona wanasiasa wame focus sana huko shule za msingi na shule upili wamesahau advanced na university product zao.wamejikita kwenye quantity kuliko quality.ukiuliza jibu jepesi wanafunzi wakimaliza vyuo wafikirie kujiajiri! kisa kuna katopic ka entrepreneur kapo kwenye hiyo programme.kwanini huko kujiajiri kusifanyike kwa vitendo japo miezi sita/mwaka ndio degree zitolewe kwa atakayefuzu.

wenye masikio wasikie baadhi ya wenye degree hazina msaada kwao.
Ikiwa Walimu wao wenyewe mabomu unategemea watazalisha nini?

Tazama wanaojiita 'maprofesa" wanavyojazana bungeni kuwania pesa za kupiga porojo. Hivi msomi kweli ataacha kwenda kutoa elimu yake vyuoni aende akapige porojo za kisiasa?

Ni ujinga tu.
 
Bibi Asalam aleykhum....ulipotelea wapi bibi? Hope you’re doing well
 
Back
Top Bottom