Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

Kumbuka kuna watu nasoma chuo kwa sababu baba au mama ni mkali nyumbania na kamwambia lazima asome. Tunategemea mtu kutoka chuo asome huku akitegemea kuwa kuna ma milioni ya watanzania yana mtegema kwa nyuma
 
Cha ajabu pamoja na kuwa na mambo mengi ya familia bado wanafanya vizuri kwenye soko la ajira
Hawa OUT kuna Thesis/Dissertation Title ya moja ya Graduate wao mwaka jana wa PhD ililetwa hapa JF mwaka huu kati ya Jan au Feb. Ile topic ni ya Assignment au Undergraduate researchers NOT PhD!!
 
Hakuna proof yoyote kuhusu hilo. Jf muda mwingine inakuwa na story za imagnation. Ni kama hapa mtu anakurupuka na kusema SUA vilaza. Huo ukilaza kachukulia point gani. Je anamfano wowote????. Je katika hao watu wanao soma hapo wote ni vilaza????. Kunawatu wanasema akati ata hawajawahi soma ata certificate. Wanaishi kwa story xa vijiweni
 
'Walishakatwa majina yao..' - maana yake wewe hauko kwenye hilo kundi. Umetumia 'wa..' Maana yake umejitoa kwenye kundi tajwa.

'..wakachaguliwa vilaza.' - maana yake na kundi hili pia haupo.

Wewe upo kundi gani mkuu!??
Npo kwenye kundi la watu wanaokula UGALI KWA DAWA YA MENO(whitedent)
 
Walimu almost wengi wa hivyo vyuo vingine wanatoka UDSM. Kama ni vilaza halafu wanaenda kufundisha wanafunzi ambao pia ni vilaza..kwa maana hiyo hao wanafunzi wa vyuo vingine ni vilaza square..😀😀
😀😀😀😀😀
 
Vyuo vingi vinabakiza wa kwao.

Hivi UDSM toka kianzishwe wamegundua nini? Tangible? Mf, Makerere wanatengeneza Magari, Nairobi LAPTOP,etc.

Tanzania wakandarasi wote Japan na China. Graduate wa UDSM akijenga yanaboka. Angalia ghorofa zao na barabara zao MBAYA hata kuangalia.
 
Kumbuka kuna watu nasoma chuo kwa sababu baba au mama ni mkali nyumbania na kamwambia lazima asome. Tunategemea mtu kutoka chuo asome huku akitegemea kuwa kuna ma milioni ya watanzania yana mtegema kwa nyuma
hao wapo kibao wanaenda chuo kuwaridhisha wazazi.wanafaulu kwa mbinu kuepuka fedhaha sio kuelewa.
 
Vyuo vingi vinabakiza wa kwao.

Hivi UDSM toka kianzishwe wamegundua nini? Tangible? Mf, Makerere wanatengeneza Magari, Nairobi LAPTOP,etc.

Tanzania wakandarasi wote Japan na China. Graduate wa UDSM akijenga yanaboka. Angalia ghorofa zao na barabara zao MBAYA hata kuangalia.
Swali ni je nchi yetu inatenga pesa kwa ajili ya research????. Swala la elimu tanzania lilikuwa ni last priority. Watu walikuwa wanakimbilia siasa tu. Hakuna nchi inayo endelea bila ya kufanya reseach. Mfano ni japan. Watu walichukuliwa wakapewa kila kitu na serikali wafanye reseach. Ndo wanzo wa samsung na flat screen. Jiulize hapa tanzania kuna research centre yoyote kubwa inayomilikuwa na serikali kama sio wahisani. Kumbuka pesa ya wahisani inmasharti
 
Hakuna proof yoyote kuhusu hilo. Jf muda mwingine inakuwa na story za imagnation. Ni kama hapa mtu anakurupuka na kusema SUA vilaza. Huo ukilaza kachukulia point gani. Je anamfano wowote????. Je katika hao watu wanao soma hapo wote ni vilaza????. Kunawatu wanasema akati ata hawajawahi soma ata certificate. Wanaishi kwa story xa vijiweni
Unacho sema ni ukweli ila PhD Graduate vyuoni huwa ni wachache sn kati ya 1 hadi 5 kila course au hamna kabisa mwaka husika.

Ila ile Thesis ilikuwa ya kweli make ina Institution na Thesis topic na Mhusika ni nani. Kama ingekuwa uongo Graduate wa chuo husika au alumni walio hudhuria mahafali yale wangebisha make wapo humu wengi tu. JF now is World Wide huwezi Ongopa kiurahisi bila kusutwa!!
 
Nilisoma mkuu na sikuona mahala mtu alisema ni kweli na akaja na ushahidi hapa kuwa hiyo thesis ilifanyika. Out sio wajinga kiasi hicho
 
Zamani tunasoma Ardhi kila katikati mwa semister tunaenda field hii ilikuwa kujifunza uhalisia wa tunayosoma kila semister hapa ni darasa zima na walimu husika tunaondoka nasikia sikuiz field unajitafutia wewe kwaiyo unaweza usiende afu ukajaziwa tu ukapata A
 
Vyuo vingi vinabakiza wa kwao.

Hivi UDSM toka kianzishwe wamegundua nini? Tangible? Mf, Makerere wanatengeneza Magari, Nairobi LAPTOP,etc.

Tanzania wakandarasi wote Japan na China. Graduate wa UDSM akijenga yanaboka. Angalia ghorofa zao na barabara zao MBAYA hata kuangalia.

Wakati hivyo vyuo vinaanzishwa hao walimu waliwatoa wapi??? Kama angani sawa ila kama ni UDSM inamaana walikuwa vilaza, wakazalisha vilaza wenzao wakaaaza kuwabakisha kwenye vyuo vyao..!
 
Hawa OUT kuna Thesis/Dissertation Title ya moja ya Graduate wao mwaka jana wa PhD ililetwa hapa JF mwaka huu kati ya Jan au Feb. Ile topic ni ya Assignment au Undergraduate researchers NOT PhD!!
Wanafunzi wengi wa OUT wanajitambua, tofauti na hawa baba kanituma na msuli wa OUT baba kanituma hawezi inahitaji kujitoa sana.
 
Na bahati nzuri hapa tanzania kuna watu wanafanya kazi na hayo mataifa mnayo dai yako vizuri. Asilimia kubwa ya ma expert wanao kuja tanzania ni bora tuka wawezesha watanzania wenzetu ili taifa lisonge. Na wakija watu waliko vizuri kuna vitu huvificha kwa ajili ya kulinda technologia yao
 
Walimu almost wengi wa hivyo vyuo vingine wanatoka UDSM. Kama ni vilaza halafu wanaenda kufundisha wanafunzi ambao pia ni vilaza..kwa maana hiyo hao wanafunzi wa vyuo vingine ni vilaza square..😀😀
kweli.mkuu majority ya waalimu lazima wamepita UDSM! madogo wenyewe hawajiongezi na mitaala kubadilika
 
Back
Top Bottom