Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

HIVI KWA MFANO MASTERS ZA MZUMBENi shida,mtu ana Advance Diploma ua Taasisi ya Ustawi wa Jamii anaenda Mzumbe anachukua y Uzamili! ??nawafahamu zaidi ya kumi,huu ni udhalilushaji mkubwa wa MA
 
HIVI KWA MFANO MASTERS ZA MZUMBENi shida,mtu ana Advance Diploma ua Taasisi ya Ustawi wa Jamii anaenda Mzumbe anachukua y Uzamili! ??nawafahamu zaidi ya kumi,huu ni udhalilushaji mkubwa wa MA
Hakuna tatizo kwa mtu mwenye Advanced Diploma ya ustawi.wa jamii kusoma Masters Mzumbe kama ana second upper class au first class.hiyo advaced Dip is equivalent to degree.miaka wote wanasoma si chini ya mitatu .
 
Ndiyo kwanza leo uyajuwe hayo?

Ni muda mrefu sasa hufikisha ujumbe huo kupitia kauli yangu maarufu hapa JF, kuwa wengi huenda kusomea ujinga. Ndiyo hao ambao mleta mada umewaita vilaza.

"Jee, hizo shule mlienda kusomea ujinga? "
Nilivyokuwa nasoma comments za wasomi huwa nakukumbuka na usemi wako huo! hata nilivyoanza kupata michango ya wadau kwenye mada hii nimekukumbuka.nikataka kuwakumbusha.naona umeniwahi.
 
Wazee wa zamanı waliopata elimu wanayoiita bora ndo MAJINGAMAJINGA haya yanayoiba hovyo, AİBU YENU WAPUUZI WOTE MLIOSOMA ZAMANİ empty minded kabisa
sio wote mkuu!Tanzania walioiba na kuwa na hela za maana wachache mnoo.pia watumishi wa serikali ni.wachache kulinganisha na population ya Taifa.
 
Daah nmecheka sana wakati nasoma hizi comment za watu,nmegundua kuna ambao wanasema wakiongozwa na wanayoyaamini,pia wapo wanaosema wakiongozwa na hasira/chuki juu ya chuo flan lakini nmeshangaa sana pia kuona hao wanaojihita waliosoma wa zamani wanaponda wanaosoma sasa kwamba hivi mara vile hivi haya madudu yoooote ya taifa hili la leo ni matokeo ya akina nani!?kuna MIJITU MIJIZI kama hiyo ilosoma zamani!?wewe zee unayemshangaa kijana alemaliza chuo anawaza kuajiliwa wakati wewe umri wako wa kustaafu umefika na bado hutaki kuachia ofisi nani anapaswa kuwekewa mshangao hapo!?maana wewe ujuzi unao,unalielewa soko lakini bado uko tu unakomalia ofisini halafu bila aibu eti unakuja unasema vijana wa kileo vile mara hivi.Pili mfumo wa elimu wa nchi zetu unamjenga mwanafunzi kulingana na mahitaji ya hapo halipo,hakuna chuo kinachofundisha kazi hivyo palipaswa kuwa na namna ya kumfanya mwanafunzi huyu anapomaliza chuo chake ama kunakuwa na mwaka mwingine wa kimasomo katika chuo chake au kunakuwa na taasisi nyingine ambazo zitawafundisha watu hawa kazi na mahitaji ya kazi husika then ndo watu waingie kwenye soko la ajira na katika hali hiyo ukimlaumu mtu kwamba hana ubunifu cjui ni kilaza utakuwa uko sahihi kwa asilimia zoote lakini si hivi tu manenomaneno.Na cha ajabu zaidi hao wanaojiita wasomi wazamani wasio vilaza na wabunifu nao wanaona tatizo lakini wanaishia kulalamika hahaha unashanga sasa hizo akili zako na ubunifu wako wa nini kama hausaidii wengine!?bila shaka na wewe ni ZUZU TU.
mkuu wasomi wa zamani walipata Elimu nzuri.ila wengi wao waligeuka mioyo baada ya ujamaa kushindwa kufanyakazi.pia waliona wale wazee waliokuwa na Nyerere walivyokufa maskini.ikabidi wajiongeze kupiga hela.
 
na hao maprofesor wezi na vilaza wa zamani wamesoma UDSM...hiki chuo ndio kinaongoza kwa kutoa maprofesor feki na vilaza waliosaini mikataba ya kipuuzi iliyoitia hasara Taifa
yap hapo umeongea! wanaojifanya wasomi ndio walioua uchumi wetu na kututia umaskini.
 
Asilimia kubwa ya vyuo hapa Tz wanazalisha vilaza, utaona tu watu walivyo bize kuajiriwa! Ukimwambia fanya mpango tumia elimu yako kujiajiri atasema hana mtaji, ukimuuliza endapo utapewa mtaji utajiajiri?? NDIO. Unataka ujiajiri kufanya shughuli gani?? HAJUI.
Kweli kabisa. Mmoja nilimuuliza maswali kama hayo akasingizia mtaji. Nilipomuuliza ukipata mtaji utafanya shughuli gani akasema akishapata huo mtaji ndiyo atajua aufanyie nini.. Nilitaka kumpa pesa kidogo ya kuanzia lakini nikakata tamaa kabisa.....
 
Nafuatilia mijadala na maoni ya wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini baadhi yao ni sheedah! wanadhalilisha vyeti vya degree! hata humu jf unakuta mtu anajinasibu anasoma/amemaliza.degree lakini anaomba ushauri wa jambo analopaswa kulipatia ufumbuzi bila kuomba ushauri.

Nailewa takwimu zinathibitisha kuwa asilimia 60 ya wenye degree hawaajiriki/not competent for jobs.pia nawaelewa wale vijana wa chuo kikuu kilichofunga compus ya Songea na Arusha.Wakaomba na Dar compus pia ifungwe ili wahamie vyuo vikuu ambavyo angalau taaluma yake inasifa na vigezo.

Naona wanasiasa wame focus sana huko shule za msingi na shule upili wamesahau advanced na university product zao.wamejikita kwenye quantity kuliko quality.ukiuliza jibu jepesi wanafunzi wakimaliza vyuo wafikirie kujiajiri! kisa kuna katopic ka entrepreneur kapo kwenye hiyo programme.kwanini huko kujiajiri kusifanyike kwa vitendo japo miezi sita/mwaka ndio degree zitolewe kwa atakayefuzu.

wenye masikio wasikie baadhi ya wenye degree hazina msaada kwao.
Nimekuelewa sana mkuu, but si kweli kuwa wanaokwenda vyuo vikuu ni vilaza, mitaala ya vyuo haimruhusu mwanafunzi kuwa competent kama mnavyotaka but competence inapatikana anapokwenda kufanya kazi ya kitu alichokisomea. Utata ni pale vitu zinakua nyingi and muda unakua mfupi, lecturers wanakimbia kwa mbio zisizozingatia uwezo wa mwanafunzi either fast learner or slow learner.
Upande wa pili ni usimamizi wa usomaji na mtihani, wengine wanakula chabo kuliko maelezo and wanapata degree and wengine wanakomaa wenyewe mpaka kuipata iyo degree. Lakini sasa, utawezaje kuwatofautisha ao watu wawili? Vyuo vingine wanalipia mitihani na izo supplementary, wengine kama UDSM unafanya mwenyewe na ukishikwa unalia (discontinuite) japo si 100%. Vyuo vingine asilimia ya wanaofeli ni chini ya 0.1% kwa kukadilia, which means masomo ni rahisi na wanafunzi wanasoma kwa bidii..!! Kitu ambacho si rahisi kwa elimu ya juu.
Ili kuwa competent katika masomo ya elimu ya juu na katika kazi MASOMO KWA VITENDO YAPEWE MUDA WA KUTOSHA KULIKO KUKAA DARASANI HUKU WENGINE WAKICHATI, WAKISINZIA , WATORO, NA NK.
 
Tabia ya kutoa kauli za kejeli na kubezana hufanya baadhi ya wachangiaji kukaa kimya hata kama walikuwa wana jambo la muhimu la kuongea
 
Back
Top Bottom