Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

Nimekuelewa sana mkuu, but si kweli kuwa wanaokwenda vyuo vikuu ni vilaza, mitaala ya vyuo haimruhusu mwanafunzi kuwa competent kama mnavyotaka but competence inapatikana anapokwenda kufanya kazi ya kitu alichokisomea. Utata ni pale vitu zinakua nyingi and muda unakua mfupi, lecturers wanakimbia kwa mbio zisizozingatia uwezo wa mwanafunzi either fast learner or slow learner.
Upande wa pili ni usimamizi wa usomaji na mtihani, wengine wanakula chabo kuliko maelezo and wanapata degree and wengine wanakomaa wenyewe mpaka kuipata iyo degree. Lakini sasa, utawezaje kuwatofautisha ao watu wawili? Vyuo vingine wanalipia mitihani na izo supplementary, wengine kama UDSM unafanya mwenyewe na ukishikwa unalia (discontinuite) japo si 100%. Vyuo vingine asilimia ya wanaofeli ni chini ya 0.1% kwa kukadilia, which means masomo ni rahisi na wanafunzi wanasoma kwa bidii..!! Kitu ambacho si rahisi kwa elimu ya juu.
Ili kuwa competent katika masomo ya elimu ya juu na katika kazi MASOMO KWA VITENDO YAPEWE MUDA WA KUTOSHA KULIKO KUKAA DARASANI HUKU WENGINE WAKICHATI, WAKISINZIA , WATORO, NA NK.
vyuoni kuna majanga.kunawanaotoka weupe kabisa!.kuna mmoja tulimaliza naye undergraduate kilaza.alipata kazi.serikalini tena hazina!.Mwanzoni.kazi zake za ofisini alikuwa ananiletea nimsaudie.wanabahati na kazi nzuri!
 
Nafuatilia mijadala na maoni ya wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini baadhi yao ni sheedah! wanadhalilisha vyeti vya degree! hata humu jf unakuta mtu anajinasibu anasoma/amemaliza.degree lakini anaomba ushauri wa jambo analopaswa kulipatia ufumbuzi bila kuomba ushauri.

Nailewa takwimu zinathibitisha kuwa asilimia 60 ya wenye degree hawaajiriki/not competent for jobs.pia nawaelewa wale vijana wa chuo kikuu kilichofunga compus ya Songea na Arusha.Wakaomba na Dar compus pia ifungwe ili wahamie vyuo vikuu ambavyo angalau taaluma yake inasifa na vigezo.

Naona wanasiasa wame focus sana huko shule za msingi na shule upili wamesahau advanced na university product zao.wamejikita kwenye quantity kuliko quality.ukiuliza jibu jepesi wanafunzi wakimaliza vyuo wafikirie kujiajiri! kisa kuna katopic ka entrepreneur kapo kwenye hiyo programme.kwanini huko kujiajiri kusifanyike kwa vitendo japo miezi sita/mwaka ndio degree zitolewe kwa atakayefuzu.

wenye masikio wasikie baadhi ya wenye degree hazina msaada kwao.

Wahitimu wengi wa University of Dar na Muhimbili ni vihiyo. Kama Muhimbili unakuta wengine kabisa walikuwa vilaza pale Mlimani ila kwa kuwa baba ana jina akapandishwa kupelekwa Muhimbili. Kosa sasa waanze kuongea kin'gen'ge utacheka kama pasipo kulia.
 
Tabia ya kutoa kauli za kejeli na kubezana hufanya baadhi ya wachangiaji kukaa kimya hata kama walikuwa wana jambo la muhimu la kuongea
mkuu hiyo ndio protocol ya jf kuna watu wamepinda humu! kila kitu wanapinga na kudharau.
 
Wahitimu wengi wa University of Dar na Muhimbili ni vihiyo. Kama Muhimbili unakuta wengine kabisa walikuwa vilaza pale Mlimani ila kwa kuwa baba ana jina akapandishwa kupelekwa Muhimbili. Kosa sasa waanze kuongea kin'gen'ge utacheka kama pasipo kulia.
mkuu Ngeri ni wito.kama hujaitwa utaishia kuwa na kizungu cha kuandikia essay sio kuongea.
 
Elimu yetu kutoka chini mpaka juu ni ukilaza mtupu.LILILO BAYA ZAIDI NI KWAMBA HAIONEKANI KAMA KUNA POLITICAL WILL YA KUFANYA ANY MEANINGFUL CHANGES.Wahitimu wetu wa shule za msingi,secondary na vyuo ni aibu tupu.
Nafuatilia mijadala na maoni ya wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini baadhi yao ni sheedah! wanadhalilisha vyeti vya degree! hata humu jf unakuta mtu anajinasibu anasoma/amemaliza.degree lakini anaomba ushauri wa jambo analopaswa kulipatia ufumbuzi bila kuomba ushauri.

Nailewa takwimu zinathibitisha kuwa asilimia 60 ya wenye degree hawaajiriki/not competent for jobs.pia nawaelewa wale vijana wa chuo kikuu kilichofunga compus ya Songea na Arusha.Wakaomba na Dar compus pia ifungwe ili wahamie vyuo vikuu ambavyo angalau taaluma yake inasifa na vigezo.

Naona wanasiasa wame focus sana huko shule za msingi na shule upili wamesahau advanced na university product zao.wamejikita kwenye quantity kuliko quality.ukiuliza jibu jepesi wanafunzi wakimaliza vyuo wafikirie kujiajiri! kisa kuna katopic ka entrepreneur kapo kwenye hiyo programme.kwanini huko kujiajiri kusifanyike kwa vitendo japo miezi sita/mwaka ndio degree zitolewe kwa atakayefuzu.

wenye masikio wasikie baadhi ya wenye degree hazina msaada kwao.
 
Magufuli akiongea katika ufunguzi kituo cha uzalishaji umeme.anashangaa WASOMI WANASOMEA NINI MPAKA WANASHINDWA Kuifanya nchi ijitegemee katika nishati? tunarudi.palepale! VILAZA
 
Jamani huyu mleta mada kasoma japo degree?
Kasomea wapi na miaka ipi?
Tusijechangia mada za kudhalilisha juhudi za mamilioni ya watu?
 
Nazani tatizo lipo katika mfumo kwamba wanafunzi wengi wamejikita kwenye kufaulu kuliko kuwa wabunifu ndio maana unaweza kuta mwanafunzi anaGPA nzuri ilaubunifu mdogo. Pia elimu yetu kiasi kikubwa inawafanya wanafunzi wakariri wafanye mtihani baasi.
Japokua kunawanafunzi pia wanafanya vzuri kote kote.
 
Maandiko kama haya yasiyo na kichwa wala miguu ndiyo yanachangia kushusha credibility ya JF.

Thread za kiumbea umbea zisizo na tafiti hazina tija kwa taifa na GT wa JF.

Watoto wenyewe sasa hivi University mnachaguliwa kwa Division Three ama kwa kuunga unga toka Certificate (baada ya ku-fail form 4 na kwenda kung'ang'ana na vyeti) kisha mnaunga Diploma ndo mnakwenda University na equivalent halafu bado mnatoa maneno ya shombo humu!!!

Wewe unafahamu TCU wanatumia vigezo gani kupima quality ya vyuo na product zake??? Huna takwimu na taarifa sahihi kaa kimya.

Wale wenye kutupia madongo baadhi ya taasisi za elimu ya juu ambazo zimetajwa kwa majina waache maana wengi naona wanatupia umbea ulojaa wivu na uzandiki.

Mods nashauri thread za hivi muwe mnazifutilia mbali.
 
Hakuna tatizo kwa mtu mwenye Advanced Diploma ya ustawi.wa jamii kusoma Masters Mzumbe kama ana second upper class au first class.hiyo advaced Dip is equivalent to degree.miaka wote wanasoma si chini ya mitatu .
We unawajua wahitu wa Ustawi!
 
Vyuo ni UDSM na SUA tuu,, quality education, hata vilaza wanajua ndo maana wanatumia nguvu kuviponda, vyuo vinavyotambulika duniani na viko top ten Africa.. Hata uumie kiasi gani huwezi kuvishushia thamani,, ulifeli ndo maana hukufika huko,, jitahdi watoto wako waje kusoma huko
 
We unawajua wahitu wa Ustawi!
sihitaji kuwajua kwa sura.naongelea sifa za kwenye vyeti vyao walivyotunukiwa na chuochao! hapo mtu sio feki ni chuo kama elimu inayotolewa ni chenga.
 
Vyuo ni UDSM na SUA tuu,, quality education, hata vilaza wanajua ndo maana wanatumia nguvu kuviponda, vyuo vinavyotambulika duniani na viko top ten Africa.. Hata uumie kiasi gani huwezi kuvishushia thamani,, ulifeli ndo maana hukufika huko,, jitahdi watoto wako waje kusoma huko
Hizo takwimu za kuwemo kwenye top ten za mwaka gani?! revisit your statistic
 
Maandiko kama haya yasiyo na kichwa wala miguu ndiyo yanachangia kushusha credibility ya JF.

Thread za kiumbea umbea zisizo na tafiti hazina tija kwa taifa na GT wa JF.

Watoto wenyewe sasa hivi University mnachaguliwa kwa Division Three ama kwa kuunga unga toka Certificate (baada ya ku-fail form 4 na kwenda kung'ang'ana na vyeti) kisha mnaunga Diploma ndo mnakwenda University na equivalent halafu bado mnatoa maneno ya shombo humu!!!

Wewe unafahamu TCU wanatumia vigezo gani kupima quality ya vyuo na product zake??? Huna takwimu na taarifa sahihi kaa kimya.

Wale wenye kutupia madongo baadhi ya taasisi za elimu ya juu ambazo zimetajwa kwa majina waache maana wengi naona wanatupia umbea ulojaa wivu na uzandiki.

Mods nashauri thread za hivi muwe mnazifutilia mbali.
mkuu kosa moja la mtoa maoni kuhusu TCU lisifanye mada nzima ifutwe.tatizo lipo.naelewa usemi wa no right to speak without research,lakini tunarudi palepale vilaza hawajui hilo.modes hawezi pay attention kwenye minor issues kama hizo comments ni nyingi mno humu jf!
 
Nazani tatizo lipo katika mfumo kwamba wanafunzi wengi wamejikita kwenye kufaulu kuliko kuwa wabunifu ndio maana unaweza kuta mwanafunzi anaGPA nzuri ilaubunifu mdogo. Pia elimu yetu kiasi kikubwa inawafanya wanafunzi wakariri wafanye mtihani baasi.
Japokua kunawanafunzi pia wanafanya vzuri kote kote.
kweli kabisa mkuu.mfumo/mitaala inachangia
 
Back
Top Bottom