BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,778
- 3,321
- Thread starter
- #21
kila assignment anajiandaa kugoogle na kuchukua kazi za watu bila ku acknowledge na kujifanya ni Idea zao.kwenye research sijaenda ndio balaaAsilimia kubwa ya vyuo hapa Tz wanazalisha vilaza, utaona tu watu walivyo bize kuajiriwa! Ukimwambia fanya mpango tumia elimu yako kujiajiri atasema hana mtaji, ukimuuliza endapo utapewa mtaji utajiajiri?? NDIO. Unataka ujiajiri kufanya shughuli gani?? HAJUI.