Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

That could be a day dream!

Maprofesa wengi University of Dar ni vilaza kwani wengi wao ni failures huko nje walikosoma na ndiyo maana wanayumbisha wanafunzi wao. We mtu anafundishwa kukariri sentensi tu kwa kiingereza ila kuji-express hawezi, elimu gani hii? Ningeendelea kusoma pale haki ya nani ningekuwa useless kichwani.
 
Uko sahihi kabisa, na hata huku shule za sekondary na primary kuangaliwe zaidi kuna shida, unakuta mtu anaandika "apa" badala ya "hapa", hii omission ya herufi "h" sijui maana yake ni nini? labda mimi nimepitwa na wakati? Elimu imeshuka kila idara.
hawa wawekezaji wa nje wanaokuja kuwekeza ktk elimu hawafuati vigezo na ubora wa elimu wanayopaswa kutoa wamefocus kweny hela tu
 
utitiri wa vyuo pia umechangia quality kushuka.kwasababu msisitizo upo kwenye quantity ili waendane na nchi zingine za AFrica mashariki kwa idadi ya wahitimu.baadhi ya vyuo vikuu ilibidi viwe VETA.Mfano mtu mwenye Div 3 chuo kikuu anasomea degree pia! kweli report huwa wanacopy na kupaste wengi wao.
Na ili tupige hatua serikali invest kwenye vyuo vya kati vya technical mana wale ni wazalisha sasa wengi wana maliza engineering hata mwanafunzi wa veta yuko vzuri. Serikali isi concentrate kwenye Ku produce wahitimu wasio competent. Hyo ya kuandikiwa report, proposal, na dessertations ni sugu wahitimu wana graduate Mpaka masters level hawajui hata kuandika nimeshuhudia hayo. Sasa kama taifa tunaelekea wapi ndo mana mashirika makubwa kuwakuta wabongo ni shida tupu
 
Unampimaje mwanafunzi wa Engineering hadi umlinganishe na wa VETA?
 
Na ili tupige hatua serikali invest kwenye vyuo vya kati vya technical mana wale ni wazalisha sasa wengi wana maliza engineering hata mwanafunzi wa veta yuko vzuri. Serikali isi concentrate kwenye Ku produce wahitimu wasio competent. Hyo ya kuandikiwa report, proposal, na dessertations ni sugu wahitimu wana graduate Mpaka masters level hawajui hata kuandika nimeshuhudia hayo. Sasa kama taifa tunaelekea wapi ndo mana mashirika makubwa kuwakuta wabongo ni shida tupu
Huko masters ndio balaa kwakuwa hata supervisor wanaojua kinachotakiwa ni wachache.! wengi wa wanachuo wanafanyiwa na consultancy firm/individuals.
 
Kuna ngedere hapa wameshupalia udsm,jilaumuni kwa kuwa vilaza hadi mkakatwa..pale udsm ni cream pekee ndio inaenda..takataka zitapelekwa huko udom,mzumbe na majalala mengine ya aina hiyo.
 
hawa wawekezaji wa nje wanaokuja kuwekeza ktk elimu hawafuati vigezo na ubora wa elimu wanayopaswa kutoa wamefocus kweny hela tu

Kwahiyo wao ndiyo wanaleta huu uandikaji wa "apa", "akuna", "afai"??? bila kutumia herufi "h" ambao naona umetawala sana siku hizi, ndiyo maana nikasema labda mimi nimepitwa na wakati. Elimu ya wawekezaji ndiyo ipi hiyo? au ni hizi English medium schools? Mkuu umesoma hizo? maana naona hata wewe ni mmoja wao ukiangalia katika post niliyoku-qoute mara ya kwanza.
 
naona umejikta sn uko au na we ni mnufaika wa kusambaza elim za bland tunasemea content gain vifup tunavyoandika umu jf ni kufupisha space ujumbe ufke
 
wivu unakusumbua,Udsm hatupokei vilaza sasa wewe walikukata ndo maana umejaa wivu
Fikiria meanafunzi anafundishwa kwa kingereza na mwalim asiyejua kingereza. Nadhani mmesikia kizungu cha nwalim mwenye phd.
 
1.UDSM 2. SUA 3. MZUMBE 4. KSMC 4. MUHAS 5.BUGAMDO 6. TEOFIL KISANJI 7. RUCO
 
Uko sahihi kabisa, na hata huku shule za sekondary na primary kuangaliwe zaidi kuna shida, unakuta mtu anaandika "apa" badala ya "hapa", hii omission ya herufi "h" sijui maana yake ni nini? labda mimi nimepitwa na wakati? Elimu imeshuka kila idara.
ving badala ya vingi,usajiri badala ya usajili ....!
 
Kuna ngedere hapa wameshupalia udsm,jilaumuni kwa kuwa vilaza hadi mkakatwa..pale udsm ni cream pekee ndio inaenda..takataka zitapelekwa huko udom,mzumbe na majalala mengine ya aina hiyo.
mhuuu!mjadala wa kisomi !
 
mpaka unamaliza course unasoma masoma saba tu? chuo gani hicho? any way vyuo vingi bongo.semestet moja ina masomo.mangapi,mkimaliza semester mnayarudia?
Mkuu nilikuwa namaanisha kwa semester 1!
 
Back
Top Bottom