Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

Hawa OUT kuna Thesis/Dissertation Title ya moja ya Graduate wao mwaka jana wa PhD ililetwa hapa JF mwaka huu kati ya Jan au Feb. Ile topic ni ya Assignment au Undergraduate researchers NOT PhD!!
Out SP wanafanya wawili makapi yote yalioferi sua enzi zangu umemaliza out kwa second class upper
 
Ukilaza unachangiwa na mtu binafsi, jitihada alizonazo na uwezo wa kutumia ujuzi, maarifa na kuchangamkia fursa.. Mtu hana kazi lakini akiambiwa afanye kazi ya mshahara Laki 3 hataki...eti hawezi kufanya kazi ya mshahara mdogo, siku hizi kuna agency za kuajiri changamka sio lazima uende kwenye ofisi zao wapigie simu waulize post zilizopo emails zao zipo tuma particulars zako..niliwahi kutuma application kwa njia ya simu tena nikiwa kitanda after 10 minutes nilipokea simu kesho yake interview na nilipita japo salary ilikuwa laki 4 na degree yangu bado sikukata tamaa nilifanya kwa juhudi..leo nimepata sehemu nzuri zaidi salary 1.8 million na chenchi..napenda niwatie moyo graduate fanyeni hata kama ni salary ndogo savings zako unaweza fanyia ujasiliamali..wakati nipo kwenye ajira ile ya awali i was selling ladies shoes na nguo ilikuwa si haba napata visent..kingine angalia mienendo yako jinsi unavyoishi na jamii ...tatizo mnataka mishahara mikubwaa wakati kila kitu kwa wakati..hii ni kazi yangu ya nne...ila hizo 3 za awali kweli mshahara ulikuwa kidogo sana. Mwisho acheni uvivu na uzembe na kuweni wabunifu...kilimo na ufugaji nowdays kinalipa pia..
 
Elimu yetu inabidi ipewe kipaumbele sana kwa kuwa nchi yetu imejaaliwa rasilimali nyingi hivyo, nguvu inabid ielekezwe katika kuendeleza nguvu kazi itakayoweza kutumia rasilimali zilizopo effeciently .we have a large population which is mostly non-productive.hii NI hatari kwa maendeleo yetu

Back to the topic...
vyuo vikuu vinapewa jukumu kubwa LA kufundisha watu walio NA mtazamo hasi.MTU anaingia chuo ili kusomea course yenye chances katika labour market lakini sio kwa kipawa chake ( kusoma sayansi kama alama ya kuwa mjuvi NA kukubalika katika jamii ) , kusoma kwa kuwa course INA priority ya mkopo (hili Ni jipu LA madaktari,wahandisi NA waalimu wabovu), kusoma kwa kulazimishwa ( wazazi hawataki kuendeleza kipawa cha MTU husika)
Hivyo matatizo ya vyuoni huanzia kwa mwanachuo husika na mfumo wa chuo unaongezea nyama tu ...................

Uwekezaji NA ujali mdogo wa serikali katika elimu ndio umetufikisha hapa maana elimu haiwezi kubadilika kwa kuangalia quantity control ya expert wanaozalishwa na sio quality yao...
 
Mkuu BOB LUSE, hujatenda haki kikamilifu! Kwanini umetumia neno 'baadhi'?!
Hivi yule jamaa aliyekuwa anaishi magogoni na yeye alikuwa msomi au mhitimu? Wasaidizi na wapambe wake je? Hao wasomi mambo yakienda kombo bongo huwa wanajichimbia wapi?
Kuna jamaa huko juu kauliza wasomi wa bongo wamefanya nini tangible.... Nasubiria majibu kwa hamu.
 
Tatizo kubwa sana ni kwamba jamii nzima hatuna critical thinking, tuko very mechanical mostly.

Ndiyo maana unakuta hata habari za ushauri wa mapenzi watu wanakopi kutoka Marekani na Ulaya wakati mazingira yetu tofauti.

Mtu ana graduate chuo hajawahi hata kumsikia Karl Popper wala John Mbiti.
 
Alie anzisha hii thread yupo poor in terms of thinking....

Mnapo sema watu watumie elimu yao kujiajiri inamaana atumia Elimu aliyo ipata darasan kwa kujiingizia kipato.

Mimi nimesoma kuanzia dalasa la kwanza hadi Elimu ya juu sijawahi soma somo la ujasilia mali, kwaiyo hapo ntatumiaje elimu ya class.

Alafu kunakoz nyingine lazma uajiliwe tuuu. Mfano, socialogy, ualimu, doctor, ni vigumu kwa muhitimu wa udactari kujiajiri je una vifaa vya vipimo vyote...?, hapo inaitaji mtaji au kuajiliwa.

Tatizo sio watu bali n mfumo wa nchi yetu tu, tajiri hufurahia maisha ila maskini atasota kinyama, wewe kama unauwezo & unapata support shukuru Mungu.

Serikali kupitia bodi ya mkopo ilikuwa inapaswa kuwafadhili vijana wote wanaomaliza kwa kuwapa pesa za mtaji & inovation kwa kupitia makundi yao either 3 people per group. Hii ifanyyike kwa kuandika proposal & presentation through their collage & successful group will be granted hiyo loan.
Ila sasa serikali inakuacha kama yatima square.
Nihayo tu

Please nikosoe kwa hoja.

Wazo langu: Tanzania vyuo vyote level moja tofauti na status ya chuo.
 
Mkuu sijaridhishwa na huo mtizamo wako...Nitaridhishwa ikiwa umeleta clear figures na sio kuassess watu wawili au watatu ndo unageneralize,,,, Fanya utafiti wa kina hata wa watu 20 kutoka vyuo 10 tofauti... uje na vigezo sahihi
Ila kauli yako imekulinda umesema baadhi inayomaanisha wachache na SIO WOTE
 
kama wao makapi jitafakari.naona kwa uandishi wako wewe ni zaidi ya kapi !
 
Mimi ni mzee wa miaka 47 mwenye cheti tu.Miaka 20 iliyopita nikuwa nawaheshimu sana graduates wa vyuo vikuu kadhaa vilivyo kuwepo wakati huo miongoni mwake ni I.D.M Mzumbe,UDSM,SUA n.k.Lakini leo hii siheshimu kwa kiasi kile mtu yeyote anayeniambia ni graduate kwani elimu yake haiwezi kutumika kwa vitendo na kuleta tija kwa taifa. poor them!!!
 
Tatizo wakiwa vyuoni wanahimizwa kugoma na CHADEMA kama sehemu ya kutatua matatzo...wakija mtaani wanashindwa kuandamana na maisha:-
 
kweli.mkuu hawa madogo ni janga la kitaifa watawala wanasisitiza idadi ya wanafunzi kwa sasa wanaomaliza sio ubora tena
 
Tatizo wakiwa vyuoni wanahimizwa kugoma na CHADEMA kama sehemu ya kutatua matatzo...wakija mtaani wanashindwa kuandamana na maisha:-
mkuu wewe ni kada wa nyumbu wa kijani bila shaka.[emoji12]
 
Ukilaza unachangiwa na mtu binafsi, jitihada alizonazo na uwezo wa kutumia ujuzi, maarifa na kuchangamkia fursa.. Mtu hana kazi lakini akiambiwa afanye kazi ya mshahara Laki 3 hataki...eti hawezi kufanya kazi ya mshahara mdogo, siku hizi kuna agency za kuajiri changamka sio lazima uende kwenye ofisi zao wapigie simu waulize post zilizopo emails zao zipo tuma particulars zako..niliwahi kutuma application kwa njia ya simu tena nikiwa kitanda after 10 minutes nilipokea simu kesho yake interview na nilipita japo salary ilikuwa laki 4 na degree yangu bado sikukata tamaa nilifanya kwa juhudi..leo nimepata sehemu nzuri zaidi salary 1.8 million na chenchi..napenda niwatie moyo graduate fanyeni hata kama ni salary ndogo savings zako unaweza fanyia ujasiliamali..wakati nipo kwenye ajira ile ya awali i was selling ladies shoes na nguo ilikuwa si haba napata visent..kingine angalia mienendo yako jinsi unavyoishi na jamii ...tatizo mnataka mishahara mikubwaa wakati kila kitu kwa wakati..hii ni kazi yangu ya nne...ila hizo 3 za awali kweli mshahara ulikuwa kidogo sana. Mwisho acheni uvivu na uzembe na kuweni wabunifu...kilimo na ufugaji nowdays kinalipa pia..
hongera mkuu ni kijana wa kupigiwa mfano.
 
Elimu yetu inabidi ipewe kipaumbele sana kwa kuwa nchi yetu imejaaliwa rasilimali nyingi hivyo, nguvu inabid ielekezwe katika kuendeleza nguvu kazi itakayoweza kutumia rasilimali zilizopo effeciently .we have a large population which is mostly non-productive.hii NI hatari kwa maendeleo yetu

Back to the topic...
vyuo vikuu vinapewa jukumu kubwa LA kufundisha watu walio NA mtazamo hasi.MTU anaingia chuo ili kusomea course yenye chances katika labour market lakini sio kwa kipawa chake ( kusoma sayansi kama alama ya kuwa mjuvi NA kukubalika katika jamii ) , kusoma kwa kuwa course INA priority ya mkopo (hili Ni jipu LA madaktari,wahandisi NA waalimu wabovu), kusoma kwa kulazimishwa ( wazazi hawataki kuendeleza kipawa cha MTU husika)
Hivyo matatizo ya vyuoni huanzia kwa mwanachuo husika na mfumo wa chuo unaongezea nyama tu ...................

Uwekezaji NA ujali mdogo wa serikali katika elimu ndio umetufikisha hapa maana elimu haiwezi kubadilika kwa kuangalia quantity control ya expert wanaozalishwa na sio quality yao...
umeongea mambo ya maana! vipaji vya wanafunzi havizingatiwi wangekuwa wanakopesha fani zote
 
Mkuu sijaridhishwa na huo mtizamo wako...Nitaridhishwa ikiwa umeleta clear figures na sio kuassess watu wawili au watatu ndo unageneralize,,,, Fanya utafiti wa kina hata wa watu 20 kutoka vyuo 10 tofauti... uje na vigezo sahihi
Ila kauli yako imekulinda umesema baadhi inayomaanisha wachache na SIO WOTE
sijatoa maana kuridhisha mtu.nimetoa facts.it is whether you like them or not.inawezekana huishi.Tz ndio maana unabisha.soma michango ya wadau wengine utaelewa.
 
Mkuu BOB LUSE, hujatenda haki kikamilifu! Kwanini umetumia neno 'baadhi'?!
Hivi yule jamaa aliyekuwa anaishi magogoni na yeye alikuwa msomi au mhitimu? Wasaidizi na wapambe wake je? Hao wasomi mambo yakienda kombo bongo huwa wanajichimbia wapi?
Kuna jamaa huko juu kauliza wasomi wa bongo wamefanya nini tangible.... Nasubiria majibu kwa hamu.
mkuu nikisema wote namimi nitakuwemo.inabidi nitumie busara kutumia baadhi.yule jamaa ndio wale tunaowasema hapa.hana jipya.
 
Tatizo kubwa sana ni kwamba jamii nzima hatuna critical thinking, tuko very mechanical mostly.

Ndiyo maana unakuta hata habari za ushauri wa mapenzi watu wanakopi kutoka Marekani na Ulaya wakati mazingira yetu tofauti.

Mtu ana graduate chuo hajawahi hata kumsikia Karl Popper wala John Mbiti.
kweli.kitengo hicho hatuna.na wanaojifanya wanajua wanatuingiza chaka.
 
Alie anzisha hii thread yupo poor in terms of thinking....

Mnapo sema watu watumie elimu yao kujiajiri inamaana atumia Elimu aliyo ipata darasan kwa kujiingizia kipato.

Mimi nimesoma kuanzia dalasa la kwanza hadi Elimu ya juu sijawahi soma somo la ujasilia mali, kwaiyo hapo ntatumiaje elimu ya class.

Alafu kunakoz nyingine lazma uajiliwe tuuu. Mfano, socialogy, ualimu, doctor, ni vigumu kwa muhitimu wa udactari kujiajiri je una vifaa vya vipimo vyote...?, hapo inaitaji mtaji au kuajiliwa.

Tatizo sio watu bali n mfumo wa nchi yetu tu, tajiri hufurahia maisha ila maskini atasota kinyama, wewe kama unauwezo & unapata support shukuru Mungu.

Serikali kupitia bodi ya mkopo ilikuwa inapaswa kuwafadhili vijana wote wanaomaliza kwa kuwapa pesa za mtaji & inovation kwa kupitia makundi yao either 3 people per group. Hii ifanyyike kwa kuandika proposal & presentation through their collage & successful group will be granted hiyo loan.
Ila sasa serikali inakuacha kama yatima square.
Nihayo tu

Please nikosoe kwa hoja.

Wazo langu: Tanzania vyuo vyote level moja tofauti na status ya chuo.
mkuu usi comment baada ya kusoma heading.soma contents na comment zote kabla ya kukurupuka.ningekuwa poor usinge comment hapa wee mhanga wa vyuo bomu.ww ni kilaza pia
 
Tatizo vyuo vikuu vingi mno bora viwe 10 lakini viwe makini na bora kuliko saivi zaidi ya 50 na havina ubora
 
Back
Top Bottom