BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Nafuatilia mijadala na maoni ya wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini baadhi yao ni sheedah! wanadhalilisha vyeti vya degree! hata humu jf unakuta mtu anajinasibu anasoma/amemaliza.degree lakini anaomba ushauri wa jambo analopaswa kulipatia ufumbuzi bila kuomba ushauri.
Nailewa takwimu zinathibitisha kuwa asilimia 60 ya wenye degree hawaajiriki/not competent for jobs.pia nawaelewa wale vijana wa chuo kikuu kilichofunga compus ya Songea na Arusha.Wakaomba na Dar compus pia ifungwe ili wahamie vyuo vikuu ambavyo angalau taaluma yake inasifa na vigezo.
Naona wanasiasa wame focus sana huko shule za msingi na shule upili wamesahau advanced na university product zao.wamejikita kwenye quantity kuliko quality.ukiuliza jibu jepesi wanafunzi wakimaliza vyuo wafikirie kujiajiri! kisa kuna katopic ka entrepreneur kapo kwenye hiyo programme.kwanini huko kujiajiri kusifanyike kwa vitendo japo miezi sita/mwaka ndio degree zitolewe kwa atakayefuzu.
wenye masikio wasikie baadhi ya wenye degree hazina msaada kwao.