pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
matumizi 'mabaya ya ofisi' yataingiza wengi gerezani
Gadafi, saadam Hussein, moi ,bagbo ,na makaburu wa afrika kusini wote walikuwa na mawazo kama yako.Ccm ilishakufa na njia pekee iliyobaki kwa CCM ni kuiba kura .na huwezi kuwa salama kwa kutegemea wizi.na mwaka huu ndio itakuwa mwisho wa CCM kuongoza nchi .nitakukumbusha mwezi wa 12Wishful thinking is allowed kuwa kuna siku upinzani utashinda uchaguzi na kuongoza Tanzania, the truth is CCM itatawala milele.
![]()
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
P
2025 hafiki , subiri uchaguzi huu kwanzaBaada ya 2025 taifa litakua na kipindi kigumu cha truth(ukweli) and conciliation(maridhiano) ili angalau kuziba majeraha na nyufa kadha wa kadha za kijamii, kiuchumi na kisiasa
Atakuwa amedanja? Hiyo nayo itakuwa safi sana!2025 hafiki , subiri uchaguzi huu kwanza
Baada ya awamu hii wewe binafsi lazima urejee mavumbini.Una roho katili ukijificha nyuma ya ukabila.Japo hili ni swali muhimu sana, jibu lake ni simple, kulikuwa na awamu ya kwanza ikapita ikaja awamu ya pili nayo ikapita ikaja awamu ya tatu hivyo hivyo hadi sasa ni awamu ya tano nayo itapita, kitakachofuata baada ya awamu ya tano kuisha, itaingia awamu ya Sita, kila zama na zama zake.
P
Duh...!.Baada ya awamu hii wewe binafsi lazima urejee mavumbini.Una roho katili ukijificha nyuma ya ukabila.
Ndio milele kwa kuwa natenda hakiDuh...!.
Mimi ni mavumbi na mavumbini nitarejea, sijui wewe mwenzetu utaishi milele, au siku yako ikifika utahifadhiwa kwenye barafu milele?.
P
Pascal,itaoitaje na itaacha Alana gani?Japo hili ni swali muhimu sana, jibu lake ni simple, kulikuwa na awamu ya kwanza ikapita ikaja awamu ya pili nayo ikapita ikaja awamu ya tatu hivyo hivyo hadi sasa ni awamu ya tano nayo itapita, kitakachofuata baada ya awamu ya tano kuisha, itaingia awamu ya Sita, kila zama na zama zake.
P
Waliobomolewa nyumba zao sehemu mbalimbali za nchi hii, licha ya kesi zao kuwa katika hatua mbalimbali huko mahakamani, wataanza kulipwa fidiaKadri siku zinavyoenda ubaya ,visasi,utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kua tete. Si wale wapinzani ata wanaccm ,wote wamepata kuonja machungu haya.
Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.
Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyo watishia Watanzania wenzie ( Cyprian Moja) anawakirisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado atujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi.
Maana sitaki kusikia kua nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.
Mh.Dr. J.P. Magufuli ,wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja.
Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.
Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania.
Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.
Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO
The qn is itapitaje...labda hujaelewa point muhimu ya mtoa post.Katika awamu iliyozalisha chuki na kusubiriana kwa visasi ni hii chief.Unaweza usiwe unajua hili ila watu wanasubiriana sana na chuki zimejengeka mno.Japo hili ni swali muhimu sana, jibu lake ni simple, kulikuwa na awamu ya kwanza ikapita ikaja awamu ya pili nayo ikapita ikaja awamu ya tatu hivyo hivyo hadi sasa ni awamu ya tano nayo itapita, kitakachofuata baada ya awamu ya tano kuisha, itaingia awamu ya Sita, kila zama na zama zake.
P
Watu wote waliobomolewa nyumba zao, wote lazima watafidiwaWaliobomolewa nyumba zao sehemu mbalimbali za nchi hii, licha ya kesi zao kuwa katika hatua mbalimbali huko mahakamani, wataanza kulipwa fidia
Hakuna kitu kama hicho cha watu kusubiriana kwa chuki na visasi!, time heals, hata uumizwe vipi, hata uchukie vipi, as time goes hasira zinapoa, chuki inayeyuka, maisha yanaendelea.The qn is itapitaje...labda hujaelewa point muhimu ya mtoa post.Katika awamu iliyozalisha chuki na kusubiriana kwa visasi ni hii chief.Unaweza usiwe unajua hili ila watu wanasubiriana sana na chuki zimejengeka mno.
Kadri siku zinavyoenda ubaya ,visasi,utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kua tete. Si wale wapinzani ata wanaccm ,wote wamepata kuonja machungu haya.
Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.
Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyo watishia Watanzania wenzie ( Cyprian Moja) anawakirisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado atujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi.
Maana sitaki kusikia kua nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.
Mh.Dr. J.P. Magufuli ,wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja.
Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.
Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania.
Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.
Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO
Kwel mkuu, hii miaka minne huyu jamaa katugawa sana watanzania, now days tunaishi kwa chuki, uminywaji wa demokrasia, haki, sheria kandamizi zinatungwa kila leo ila nachoshangaa bado wapo watanzania wenzetu wanamsifu huyu mtu