Baada ya Utawala wa Magufuli, nini kitatokea?

Kadri siku zinavyoenda ubaya ,visasi,utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kua tete. Si wale wapinzani ata wanaccm ,wote wamepata kuonja machungu aya.
Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.
Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyo watishia Watanzania wenzie ( Cyprian Moja) anawakirisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado atujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi. Maana sitaki kusikia kua nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.
Mh.Dr. J.P. Magufuli ,wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja. Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.
Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania. Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.
Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO
Vibaraka wa Jiwe Makonda, Musiba, Hapi, Chalamila, Lucy Msafiri, Jeri Muro,Gambo, Mnyeti Musiba, Lugola, Waitara, Lemutuz, Musukuma, Lusinde sijui watakimbilia wapi?
 
Kadri siku zinavyoenda ubaya ,visasi,utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kua tete. Si wale wapinzani ata wanaccm ,wote wamepata kuonja machungu aya.
Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.
Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyo watishia Watanzania wenzie ( Cyprian Moja) anawakirisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado atujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi. Maana sitaki kusikia kua nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.
Mh.Dr. J.P. Magufuli ,wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja. Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.
Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania. Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.
Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO

Akiingia Rais mpenda haki na mfuata sheria yafuatayo LAZIMA yatatokea:
1. Majaji wote walioteuliwa na Magufuli watafukuzwa wote
2. Kina Bashite wataishia jela
3. Kuna polisi wengi tu wataishia jela
4. Kinga ya Rais kushtakiwa itaondolewa

Na haya ni kwa uchache tu.
 
Upinzani umetendewa vibaya sana katika historia ya nchi yetu. Naamini wakishinda immediately baada ya Jiwe revenge itakuwa mbaya sana. Hebu pata picha Tundu Lissu anakuwa Rais na Mbowe PM, hapatakalika.
Wishful thinking is allowed kuwa kuna siku upinzani utashinda uchaguzi na kuongoza Tanzania, the truth is CCM itatawala milele.

P
 
Mi na wasiwasi na Nashite ni lazima watampekenyua hata pona
 
Nawaza tu ma-RC, DC na baadhi ya mawaziri watashitakiwa kabisa akiwemo Yule mshona bendera yetu kwenye mifuko yake ya shati +MZEE wa jalalani
 
Kadri siku zinavyoenda ubaya ,visasi,utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kua tete. Si wale wapinzani ata wanaccm ,wote wamepata kuonja machungu aya.
Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.
Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyo watishia Watanzania wenzie ( Cyprian Moja) anawakirisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado atujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi. Maana sitaki kusikia kua nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.
Mh.Dr. J.P. Magufuli ,wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja. Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.
Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania. Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.
Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO
Itabidi kuanzia pale alipoishia Jakaya. Hii miaka ya kati itahitaji Truth and Reconciliation Commission.
God bless Tanzania.
 
Mbona mambo ya nakwenda vizuri

Ninyinyi watu wachache mafisadi ndio mambo yenu yamesimama kwa sababu wazururaji

Ndio maana mnaona kuwa mambo hayaendi dickhead
Kiasi cha bilioni 102 za wakulima mafisadi huko Mtwara hazijalipwa na serikali.
 
Kadri siku zinavyoenda ubaya ,visasi,utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kua tete. Si wale wapinzani ata wanaccm ,wote wamepata kuonja machungu aya.
Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.
Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyo watishia Watanzania wenzie ( Cyprian Moja) anawakirisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado atujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi. Maana sitaki kusikia kua nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.
Mh.Dr. J.P. Magufuli ,wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja. Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.
Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania. Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.
Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO

November 2025 sisubiri hata rais mpya aapishwe naenda kumkamata DOTTO JAMES na kumsweka SELO, namfuta Bashite, Msiba ni risasi zaidi ya 30 na zote zipenye miilini mwao ili wajue uchungu alopata Lisu
Ndyo nasema ndyo kwa sababu presedence imewekwa na Jiwe.
 
Baada ya utawala huu,ajira za watu wafuatao zitakuwa mashakani,Mrisho Hambo,Mnyeti,Ally Hapi,Paul Makonda na Jerry Muro
 
Japo hili ni swali muhimu sana, jibu lake ni simple, kulikuwa na awamu ya kwanza ikapita ikaja awamu ya pili nayo ikapita ikaja awamu ya tatu hivyo hivyo hadi sasa ni awamu ya tano nayo itapita, kitakachofuata baada ya awamu ya tano kuisha, itaingia awamu ya Sita, kila zama na zama zake.
P
umejibu swali ki toto sana mkuu, Tz ya leo sio kama ya jna, Dunia inaendelea kubadirika siku hadi siku...Siasa inanafasi kubwa sana kwene jamii ya leo maana tunatawaliwa na wanasiasa...siasa ya tz ya leo ukijumuisha ukuaji wa technology na ukuaji na muamko wa watu kifikra ni lazima ujue baada ya awamu hii kuna jambo litazaliwa awamu inayofwata
 
Mayala una akili kubwa hujamjibu huyu bwana Bishweko, labda niulize kwa jinsi nilivyomuelewa, Je kutatokea nini baada ya awamu hii? Mimi bunafsi nawaona wale wasio na kinga ya kikatiba wakiangaika sana labda tupate awamu ya sits yenye busara sana.Baada ya awamu hii tunahitaji mtu Mwenye busara nyingi kuliko akili, anayeongozwa na utashi wa busara badala ya sheria, vinginevyo Mungu tu ndiye anajua.

Back
Top Bottom