Baada ya Utawala wa Magufuli, nini kitatokea?

Baada ya Utawala wa Magufuli, nini kitatokea?

Magu kaenda kazi inaendelea.
Utapata majibu ya awamu ya 6 vizuri tu.tupo hapa
 
Huwa unajifanya una akili nyingi sana.
Sijawahi kutaja humu kiwango changu cha elimu wala scores zangu za OLevel, A Level au GPA yangu ya UDSM, ila nimehudumu kwenye fani ya uandishi wa habari kwa miaka 30, nimetembea mabara yote 5, na nchi zaidi ya 50, hivyo ukubali, ukatae, nina some good exposure kwenye baadhi ya maeneo, na kuna vingi ninavijua ikiwemo wale wasiojulikana, hatma ya kesi ya Mbowe ila sivisemi, mimi sio kwamba najidai much know, I'm very knowlegable kwenye mengi but I speak very little.

P
 
Lakini kwa sasa unapambania nafasi za uteuzi si ndio? ... Mkuu naheshimu sana Elimu YAKO na Exposure uliyo nayo, lakini tambua kuwa vyote Hivi ukiviweka kapuni na kuamua kuunga juhudi za dhati za mipambio vinakuwa havisaidii watz walio wengi unless kama na wewe umeamua kutafuta upenyo wa kupiga national cake hapo tutakuelewa.
 
Mkuu Bodingumu, Hardbody , kiukweli kabisa sijawahi kufukuzia uteuzi wowote zaidi ya ule wa kutaka kuwatumikia wana Kawe. Naitumia elimu yangu na exposure yangu kuwatumikia Watanzania in my own way.

Kama ndivyo sawa maana wengine tumeanza kukufaham na kukufuatilia kitambo kdg lakini tunasikitika tu kusema Pascal yule wa kipindi hicho siyo huyu wa leo hii ambaye amekuwa kama bendera tu ambayo Upepo tu ndiyo unaamua ielekee wapi!
 
It is true, we are human beings, we are not static, we are dynamic and hence we change with time, place and environment. Pasco yule kama yule Pasco wa kipindi cha Kiti Moto, alikuwa ni Pasco kijana, a young and energetic with no responsibilities, hivyo anauliza swali lolote kwa yeyote au anaibua mada yoyote, lakini Pasco huyu wa sasa, ni old guard, more mature, more responsible, ila hili la kuniita bendera, unanionea!.
P
 
Sijawahi kutaja humu kiwango changu cha elimu wala scores zangu za OLevel, A Level au GPA yangu ya UDSM, ila nimehudumu kwenye fani ya uandishi wa habari kwa miaka 30, nimetembea mabara yote 5, na nchi zaidi ya 50, hivyo ukubali, ukatae, nina some good exposure kwenye baadhi ya maeneo, na kuna vingi ninavijua ikiwemo wale wasiojulikana, hatma ya kesi ya Mbowe ila sivisemi, mimi sio kwamba najidai much know, I'm very knowlegable kwenye mengi but I speak very little.

P
Unapokuwa umepata bahati ya kupewa uhai na mwenyezi Mungu jitahidi KUTENDA HAKI kwa wanadamu wenzako. Mwenyezi Mungu hakukuleta hapa Duniani utembele mabara 5 na uwe mwandishi nguli wa Habari kwa miaka 30. Hilo sio lengo la Muumba mbingu na Dunia kwako wewe. Yeye anahitaji wewe utende haki, utii amri zake, nk.
 
Amen.
P
 
It is true, we are human beings, we are not static, we are dynamic and hence we change with time, place and environment. Pasco yule kama yule Pasco wa kipindi cha Kiti Moto, alikuwa ni Pasco kinana, a young and energetic with no responsibilities, hivyo anauliza swali lolote kwa yeyote au anaibua mada yoyote, lakini Pasco huyu wa sasa, ni old guard, more mature, more responsible, ila hili la kuniita bendera, unanionea!.
P
There's a lot to learn from your msg right here.... And because I'm a master of literature I've already grasped what you mean here. But all in all Don't get afraid of anyone else apart from God, the almighty. You and me have to depend upon him forever and ever. God bless you brother Pascal Mayalla
 
Itabidi usisome post zangu au utoke JF. Ila mimi bado nipo sana humu. Nikipigwa ban, napumzika na ikiisha naendelea
Yani siamini ni wewe. UNAKERA aisee. Hovyo kabisa. Bure weweee. Mkabila wewe huna msimamo. Mbowe is there to be president whether you like it or not. Kwa Tabia hizi zako za kike kike nadhan hata watoto wako (kama unao) wanakudharau Sana.

Nyambaff
 
Japo hili ni swali muhimu sana, jibu lake ni simple, kulikuwa na awamu ya kwanza ikapita ikaja awamu ya pili nayo ikapita ikaja awamu ya tatu vivyo hivyo nayo ikapita na awamu zinakuja na zinapita hadi sasa ni awamu ya tano nayo pia ikifika muda wake, itapita, kitakachofuata baada ya awamu ya tano kuisha au kupita, itaingia awamu ya Sita, kila awamu na mambo zake kama ilivyo kwa kila zama na zama zake.
P
Awamu ya sita tayari....
 
Kadri siku zinavyoenda ubaya, visasi, utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kuwa tete. Si wale wapinzani hata wanaccm, wote wamepata kuonja machungu haya.

Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.

Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyowatishia Watanzania wenzie (Cyprian Moja) anawakilisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado hatujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi.

Maana sitaki kusikia kuwa nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.

Mh. Dr. J.P. Magufuli, wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja.

Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.

Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania.

Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.

Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO
Wewe ni mmojawapo ya waliomwua mwamba wa majizi na vyeti feki
 
Back
Top Bottom