BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 7,983
- 20,050
Hayo ni MA PROPAGANDISTSWewe ni mmojawapo ya waliomwua mwamba wa majizi na vyeti feki
Yapo humu yamejaa tele yanahorojoka pumba vibaya sana.
Hayo ni MA PROPAGANDISTSWewe ni mmojawapo ya waliomwua mwamba wa majizi na vyeti feki
KabisaMbona mambo ya nakwenda vizuri
Ninyinyi watu wachache mafisadi ndio mambo yenu yamesimama kwa sababu wazururaji
Ndio maana mnaona kuwa mambo hayaendi dickhead
HayaBaada ya utawala wa magufuli ritutashuhudia:
1. Kukua kwa uchumi kwa kasi zaidi kwa kuwa miundombinu ya kuwezesha uchumi huo kufikiwa yanaboreshwa na kutengenezwa sasa. Na hii ndio legacy ambayo itakumbukwa juu ya utawala wa magufuli kwa miaka mingi.
2. Kukua na kuenea kwa kasi dhana na falsfa ya kujitegemea kwa nchi kwa vizazi vingi vijavyo. Falsafa hiyo imepata uhai mpya chini ya utawala wa Magufuli.
3. Vitendo vya wizi, ukabaji, ubakaji, ujambazi na uhalifu wowote mwingine utakuwa umepungua na kuweza kuisha kabisa. Hii ni kwa sababu watu wenye matendo hayo wanadhibitiwa sana chini ya utawala wa Magufuli.
4. kujengeka kwa mifumo imara ya kitaasisi ambayo ina nguvu ya kudhibiti na kuzuia uhalifu,wizi, ufisadi, rushwa na mienendo miovu katika jamii, sehemu za kazi n.K
5. Kujengeka kwa taifa lenye wazalendo halisi wa nchi yao na kuondokana na taifa la kianaharakati linachochea machafuko ,fujo,migomo na maandamano isiyo na tija wala umuhimu.
Hiyo ndio Tanzania baada ya Magufuli . kama huu uzi uishivyo naomba na comment hii idumu ili miaka 50 ijayo watoto na wajukuu zetu wasome hii comment.
Magufuli atakuwaje mwamba? Nashangaa wengine wanamuita shujaa. Kwa taarifa yenu hakuna mtu mwoga kama marehemu Magufuli. Ili kutaka UJINGA wake usihojiwe ndiyo maana katika kila mkutano wake alikuwa anatembea Mkuu wa Majeshi Mabeyo, IGP Sirro na Mkuu wa TISS FM Diwani Athman.Wewe ni mmojawapo ya waliomwua mwamba wa majizi na vyeti feki
IndeedJPM akitoka madarakani tu, mtaanza kumsifia na kuanza kumsema kwa ubaya Rais atakaemkabidhi kijiti. Hiyo ndiyo kawaida ya Watanzania
Mbona bado wapoVibaraka wa Jiwe Makonda, Musiba, Hapi, Chalamila, Lucy Msafiri, Jeri Muro,Gambo, Mnyeti Musiba, Lugola, Waitara, Lemutuz, Musukuma, Lusinde sijui watakimbilia wapi?
Huyo uliye naye unataka alindwe dhidi ya nani wake ni sehemu ya hao wenye roho za kutu?Magufuli atakuwaje mwamba? Nashangaa wengine wanamuita shujaa. Kwa taarifa yenu hakuna mtu mwoga kama marehemu Magufuli. Ili kutaka UJINGA wake usihojiwe ndiyo maana katika kila mkutano wake alikuwa anatembea Mkuu wa Majeshi Mabeyo, IGP Sirro na Mkuu wa TISS FM Diwani Athman.
Angekuwa mwamba asingekuwa analindwa namna ile na ma helicopter, internet jammer, laptop za kutambua vilipuzi, Askari wanyarwanda etc
Angekuwa mwamba asingekufa kizembe kwa COVID-19 licht ya kuwa na mitambo yote ya tiba na Maprofesa wa Bugando na Muhimbili
Kumbe mlijua ee2025 hafiki , subiri uchaguzi huu kwanza
Hawajafa lkn cha moto wanakiona maana wanaishi maisha ya mateso makubwa kwani hawakubaliki kwenye jamiiMbona bado wapo
Safii ulitabiri vema.Kitachofuata ni kazi na bata tu maana hamna namna ingine. Unless huyo raisi ajaye awe hajakulia bongo na kushuhudia ugumu wa maisha kwa awamu hii ya 5!
Natabiri ufisadi wa kutisha na watu kujilimbikizia mali na hali itakuwa mbaya zaidi kuliko awamu ya 4! Watu wana hasira mtu akipata pa kupiga atakuwa anachapa hela zote.
Majizi na mafisadi yana nguvu ya kutisha na kumwamrisha chui jike cha kufanya!!!Safii ulitabiri vema.
🤣🤣Anaweza kutawala 20+years
Rudia kusoma nilichoandika halafu ueleweHuyo uliye naye unataka alindwe dhidi ya nani wake ni sehemu ya hao wenye roho za kutu?
Chui Jike KATEPETAMajizi na mafisadi yana nguvu ya kutisha na kumwamrisha chui jike cha kufanya!!!