Baada ya Utawala wa Magufuli, nini kitatokea?

Japo hili ni swali muhimu sana, jibu lake ni simple, kulikuwa na awamu ya kwanza ikapita ikaja awamu ya pili nayo ikapita ikaja awamu ya tatu hivyo hivyo hadi sasa ni awamu ya tano nayo itapita, kitakachofuata baada ya awamu ya tano kuisha, itaingia awamu ya Sita, kila zama na zama zake.
P
Baada ya awamu kupita nitakukumbuka sana kwa mchango wako ulio legendary

Hahahah I think the old Pasco will switch back to the place where he belong .

The mighty Pasco the legendary Pasco of JF
 
Japo hili ni swali muhimu sana, jibu lake ni simple, kulikuwa na awamu ya kwanza ikapita ikaja awamu ya pili nayo ikapita ikaja awamu ya tatu hivyo hivyo hadi sasa ni awamu ya tano nayo itapita, kitakachofuata baada ya awamu ya tano kuisha, itaingia awamu ya Sita, kila zama na zama zake.
P
Kila zama na wakati wake ni ubatili mtupu maana ingekua hivyo basi kila awamu ingekua inakuja na katiba yake,muundo wake wa serikali,jeshi lake nk. Kuacha kusema ukweli kwa manufaa ya kesho ni makosa makubwa sana ata kama unapata manufaa kwa maovu yanayotokea.
 
Baada ya utawala wa magufuli ritutashuhudia:

1. Kukua kwa uchumi kwa kasi zaidi kwa kuwa miundombinu ya kuwezesha uchumi huo kufikiwa yanaboreshwa na kutengenezwa sasa. Na hii ndio legacy ambayo itakumbukwa juu ya utawala wa magufuli kwa miaka mingi.

2. Kukua na kuenea kwa kasi dhana na falsfa ya kujitegemea kwa nchi kwa vizazi vingi vijavyo. Falsafa hiyo imepata uhai mpya chini ya utawala wa Magufuli.

3. Vitendo vya wizi, ukabaji, ubakaji, ujambazi na uhalifu wowote mwingine utakuwa umepungua na kuweza kuisha kabisa. Hii ni kwa sababu watu wenye matendo hayo wanadhibitiwa sana chini ya utawala wa Magufuli.

4. kujengeka kwa mifumo imara ya kitaasisi ambayo ina nguvu ya kudhibiti na kuzuia uhalifu,wizi, ufisadi, rushwa na mienendo miovu katika jamii, sehemu za kazi n.K

5. Kujengeka kwa taifa lenye wazalendo halisi wa nchi yao na kuondokana na taifa la kianaharakati linachochea machafuko ,fujo,migomo na maandamano isiyo na tija wala umuhimu.

Hiyo ndio Tanzania baada ya Magufuli . kama huu uzi uishivyo naomba na comment hii idumu ili miaka 50 ijayo watoto na wajukuu zetu wasome hii comment.
Naomba ujazie apo namba 4, vipi taasisi hizo zikiwa ndiyo zinafanya hayo ni taasisi ipi itazuia taasisi nyingine? Mfano taasisi ya Rais ikifanya ubadhirifu ni taasisi ipi inaweza kuipeleka mahakamani nk?
 
Kadri siku zinavyoenda ubaya ,visasi,utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kua tete. Si wale wapinzani ata wanaccm ,wote wamepata kuonja machungu haya.

Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.

Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyo watishia Watanzania wenzie ( Cyprian Moja) anawakirisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado atujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi.

Maana sitaki kusikia kua nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.

Mh.Dr. J.P. Magufuli ,wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja.

Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.

Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania.

Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.

Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO
Mimi lugha ndo inanipa shida.wengi humu ndani sarufi ni shida.hapa inaandikwa apa nk.tujitahidi ku edit nyuzi zetu wapendwa ili kumvuta msomaji aendelee kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walio wengi wanaandika hivyo huku wakijuwa wameandika hivyo.

Tuheshimu lugha yetu.
 
Kumbuka busara na hekima ni vitu unavyoweza kutumia tu kama unavyo hivyo vitu lkn kama hukujaliwa kuwa navyo huwezi ukavitumia.

Mtawala wa sasa anaweza akafungua ukurasa wa wastaafu wa urais wa kwanza kupelekwa mbele ya sheria kwa makosa ya jinai aliotenda akihudumu ofisini.

Hali ya sasa hivi ya kuwa wana kinga ni upuuzi ambao hauna future yoyote kwani hiyo kinga ni batili and constitutionally unlawful and a mere political rhetoric devoid of rationale.
 
Baada ya utawala wa magufuli ritutashuhudia:

1. Kukua kwa uchumi kwa kasi zaidi kwa kuwa miundombinu ya kuwezesha uchumi huo kufikiwa yanaboreshwa na kutengenezwa sasa. Na hii ndio legacy ambayo itakumbukwa juu ya utawala wa magufuli kwa miaka mingi.

2. Kukua na kuenea kwa kasi dhana na falsfa ya kujitegemea kwa nchi kwa vizazi vingi vijavyo. Falsafa hiyo imepata uhai mpya chini ya utawala wa Magufuli.

3. Vitendo vya wizi, ukabaji, ubakaji, ujambazi na uhalifu wowote mwingine utakuwa umepungua na kuweza kuisha kabisa. Hii ni kwa sababu watu wenye matendo hayo wanadhibitiwa sana chini ya utawala wa Magufuli.

4. kujengeka kwa mifumo imara ya kitaasisi ambayo ina nguvu ya kudhibiti na kuzuia uhalifu,wizi, ufisadi, rushwa na mienendo miovu katika jamii, sehemu za kazi n.K

5. Kujengeka kwa taifa lenye wazalendo halisi wa nchi yao na kuondokana na taifa la kianaharakati linachochea machafuko ,fujo,migomo na maandamano isiyo na tija wala umuhimu.

Hiyo ndio Tanzania baada ya Magufuli . kama huu uzi uishivyo naomba na comment hii idumu ili miaka 50 ijayo watoto na wajukuu zetu wasome hii comment.

Siku shetani atatoka madarakani itakuwa shwangwe.
 
Baada ya 2025 taifa litakua na kipindi kigumu cha truth(ukweli) and conciliation(maridhiano) ili angalau kuziba majeraha na nyufa kadha wa kadha za kijamii, kiuchumi na kisiasa
 
Mmeanza kujitetea kuwa mmezaliwa tz na mmekulia hapa, na makaburi ya wazazi wenu yapo tz. Wahamiaji haramu warudi kwenye nchi zao, Tanzania sio shamba la bibi tena hapa kazi tu
 
Wizara zitakazokua zimehamia Dodoma zitarudisha ofisi zake Dar kutoka Dom
 
Mleta mada umeongea vitu vya muhimu sana ila shida ni kwamba kuna baadhi ya Watanzania wenzetu ni kama wamepigwa na upofu wa kinachoendelea hapa nchini kwetu,,cha muhimu tu ndugu zangu watanzania hakuna kitu kibaya hapa duniani kama KUJENGA UHASAMA kwenye jamii,tujitahidi tujenga hali ya kujaliana kama wanadamu kamili,chuki,hila na husuda hazijengi hapa duniani. Tujitahidi tuache chuki
 
,
Kadri siku zinavyoenda ubaya ,visasi,utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kua tete. Si wale wapinzani ata wanaccm ,wote wamepata kuonja machungu haya.

Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.

Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyo watishia Watanzania wenzie ( Cyprian Moja) anawakirisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado atujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi.

Maana sitaki kusikia kua nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.

Mh.Dr. J.P. Magufuli ,wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja.

Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.

Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania.

Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.

Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO
Mimi ninavyojua, baada ya Rais Magufuli 2025 nchi itakiwa na maendeleo makubwa, CCM itakuwa imara zaidi ya ilivyo sasa na Chadema na ACT Wazalendo vitakuwa kama chama cha Hashimu Rungwe!
 
Bunge kumwondolea kinga ya kutoshitakiwa.

Miradi ya ovyo kukwama na kuachwa kwa hasara kubwa. Baadhi ya miradi mikubwa itakuwa haijakamilika.

Baadhi vitu vilivyofutwa kurudishwa.

Umuhimu wa kurejesha mshikamano wa kitaifa.

Visasi vya hapa na pale. Mitaani, maofisini nk.

Watu wake muhimu kikimbia nchi, kufungwa, kujinyonga nk.

Kuja kwa katiba mpya.
 
,
Mimi ninavyojua, baada ya Rais Magufuli 2025 nchi itakiwa na maendeleo makubwa, CCM itakuwa imara zaidi ya ilivyo sasa na Chadema na ACT Wazalendo vitakuwa kama chama cha Hashimu Rungwe!
Mambo ya vyama pelekeni huku ndugu
 
Leo baada ya kusikia jana maneno na matusi ya Pole Pole dhidi ya watanzania ambao wana itikadi na Imani tofauti ya kisiasa pamoja na kufuatilia comments na post mbali mbali basi nimeona tena nikaufufue huu uzi. Pole Pole asifikilie yupo salama sana au yeye ni jabari.
 
Back
Top Bottom