DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,904
Wanatamani kutubu ila nafsi zinawasuta huko walikowalio-mastermind kumuweka madarakani itabidi watubu hadharani Viwanja vya Jangwani.

Lovely and Great Tanzania nationBaada ya utawala wa magufuli ritutashuhudia:
1. Kukua kwa uchumi kwa kasi zaidi kwa kuwa miundombinu ya kuwezesha uchumi huo kufikiwa yanaboreshwa na kutengenezwa sasa. Na hii ndio legacy ambayo itakumbukwa juu ya utawala wa magufuli kwa miaka mingi.
2. Kukua na kuenea kwa kasi dhana na falsfa ya kujitegemea kwa nchi kwa vizazi vingi vijavyo. Falsafa hiyo imepata uhai mpya chini ya utawala wa Magufuli.
3. Vitendo vya wizi, ukabaji, ubakaji, ujambazi na uhalifu wowote mwingine utakuwa umepungua na kuweza kuisha kabisa. Hii ni kwa sababu watu wenye matendo hayo wanadhibitiwa sana chini ya utawala wa Magufuli.
4. kujengeka kwa mifumo imara ya kitaasisi ambayo ina nguvu ya kudhibiti na kuzuia uhalifu,wizi, ufisadi, rushwa na mienendo miovu katika jamii, sehemu za kazi n.K
5. Kujengeka kwa taifa lenye wazalendo halisi wa nchi yao na kuondokana na taifa la kianaharakati linachochea machafuko ,fujo,migomo na maandamano isiyo na tija wala umuhimu.
Hiyo ndio Tanzania baada ya Magufuli . kama huu uzi uishivyo naomba na comment hii idumu ili miaka 50 ijayo watoto na wajukuu zetu wasome hii comment.
Dawa uchaguzi ujao wampumzishe tu.Kadri siku zinavyoenda ubaya ,visasi,utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kua tete. Si wale wapinzani ata wanaccm ,wote wamepata kuonja machungu aya.
Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.
Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyo watishia Watanzania wenzie ( Cyprian Moja) anawakirisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado atujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi. Maana sitaki kusikia kua nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.
Mh.Dr. J.P. Magufuli ,wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja. Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.
Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania. Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.
Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO
Hilo haliwezi kutokea.Anaweza kutawala 20+years
Nadhani tusitupiane lawama sana maana tunaendelea kuzalisha sumu mbaya...tuogope sana na kukemea wale wote wanao panda hizi mbegu chafu. Mbona lilipokua linatokea tatizo watanzania wote tunaungana! Sikuwai kuona kabla ya utawala wa awamu hii watanzania wakigawinyika katika matatizo..mfano vita ya Kagera, janga la njaa na kuzama meli ya MV Bukoba nk. Lakini kwa sasa kila likitokea janga unaona kadri tunavyo gawanyika ata misibani mfano..ajari ya MV Nyerere,Moto Morogoro,tetemeko sasa ili la ndege NATO ndo kabisa tunagawanyika na kutafutana uchawi.Lawama zangu zote ni kwa marais wastaafu hasa Mkapa. Taifa limegawanyika lakini bado Mkapa anampigia magoti jiwe. Huku mtaani mambo ni mabaya sana, chuki imetamalaki. Waswahili husema "Usipoziba ufa utajenga ukuta".
Ni suala la muda tuHilo haliwezi kutokea.
JPM akitoka madarakani tu, mtaanza kumsifia na kuanza kumsema kwa ubaya Rais atakaemkabidhi kijiti. Hiyo ndiyo kawaida ya WatanzaniaKadri siku zinavyoenda ubaya ,visasi,utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kua tete. Si wale wapinzani ata wanaccm ,wote wamepata kuonja machungu aya.
Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna uwezekano watu wakawa wanashinda kwenye benchi za mahakama au polisi kwasababu ya visasi na hali inayojengwa mioyoni mwao.
Si kwamba namtishia uhai au amani kama yeye anavyo watishia Watanzania wenzie ( Cyprian Moja) anawakirisha wengi ambao hawana kinga yoyote baada ya utawala huu. Lakini bado atujachelewa kuyamaliza au kuachana na huu upuuzi. Maana sitaki kusikia kua nasi nitafika siku tuwe na GACHACHA za kule Rwanda bali tunaweza tukatibu ili gonjwa nyemelezi mapema.
Mh.Dr. J.P. Magufuli ,wewe ndiye Rais wa nchi hii ...naomba tu ebu simama katika uongozi,katika haki,busara,hekima kama mwalimu uwezi kukemea mambo aya,tulete watanzania pamoja,tuunganishe maana sisi ni baba na mama mmoja. Tusisubiri kutibu ugonjwa wakati tunaweza kutumia kinga na ugonjwa huu usitupate sisi watanzania.
Tumezaliwa apa Tanzania, tumelelewa na kusomesea apa Tanzania, makaburi ya wazee wetu yapo apa Tanzania. Familia zetu zipo apa Tanzania, tumefundishwa upendo,umoja,mshikamano kama moja ya nguzo muhimu za ustawi wa Tanzania na jamii zote.
Mh.Dr.Magufuli ,tusikubari kugawanywa kisa itikadi,kisa wanaharakati nk....NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU YA TANO
Baada ya utawala wa magufuli ritutashuhudia:
1. Kukua kwa uchumi kwa kasi zaidi kwa kuwa miundombinu ya kuwezesha uchumi huo kufikiwa yanaboreshwa na kutengenezwa sasa. Na hii ndio legacy ambayo itakumbukwa juu ya utawala wa magufuli kwa miaka mingi.
2. Kukua na kuenea kwa kasi dhana na falsfa ya kujitegemea kwa nchi kwa vizazi vingi vijavyo. Falsafa hiyo imepata uhai mpya chini ya utawala wa Magufuli.
3. Vitendo vya wizi, ukabaji, ubakaji, ujambazi na uhalifu wowote mwingine utakuwa umepungua na kuweza kuisha kabisa. Hii ni kwa sababu watu wenye matendo hayo wanadhibitiwa sana chini ya utawala wa Magufuli.
4. kujengeka kwa mifumo imara ya kitaasisi ambayo ina nguvu ya kudhibiti na kuzuia uhalifu,wizi, ufisadi, rushwa na mienendo miovu katika jamii, sehemu za kazi n.K
5. Kujengeka kwa taifa lenye wazalendo halisi wa nchi yao na kuondokana na taifa la kianaharakati linachochea machafuko ,fujo,migomo na maandamano isiyo na tija wala umuhimu.
Hiyo ndio Tanzania baada ya Magufuli . kama huu uzi uishivyo naomba na comment hii idumu ili miaka 50 ijayo watoto na wajukuu zetu wasome hii comment.
Baada ya utawala wa magufuli ritutashuhudia:
1. Kukua kwa uchumi kwa kasi zaidi kwa kuwa miundombinu ya kuwezesha uchumi huo kufikiwa yanaboreshwa na kutengenezwa sasa. Na hii ndio legacy ambayo itakumbukwa juu ya utawala wa magufuli kwa miaka mingi.
2. Kukua na kuenea kwa kasi dhana na falsfa ya kujitegemea kwa nchi kwa vizazi vingi vijavyo. Falsafa hiyo imepata uhai mpya chini ya utawala wa Magufuli.
3. Vitendo vya wizi, ukabaji, ubakaji, ujambazi na uhalifu wowote mwingine utakuwa umepungua na kuweza kuisha kabisa. Hii ni kwa sababu watu wenye matendo hayo wanadhibitiwa sana chini ya utawala wa Magufuli.
4. kujengeka kwa mifumo imara ya kitaasisi ambayo ina nguvu ya kudhibiti na kuzuia uhalifu,wizi, ufisadi, rushwa na mienendo miovu katika jamii, sehemu za kazi n.K
5. Kujengeka kwa taifa lenye wazalendo halisi wa nchi yao na kuondokana na taifa la kianaharakati linachochea machafuko ,fujo,migomo na maandamano isiyo na tija wala umuhimu.
Hiyo ndio Tanzania baada ya Magufuli . kama huu uzi uishivyo naomba na comment hii idumu ili miaka 50 ijayo watoto na wajukuu zetu wasome hii comment.
Wewe umejenga nn mkuu au unaona ya mwenzio tu? Kuandika ni ma manju wazuri sana lakn mkifuatiliwa hata lifestyle zenu ni za hovyo , kwa uliyoyaandika ungekuwa unayaamini au ungekuwa ndo ukweli basi tungekuona kwenye podium za ujasiriamali ukiwasaidia watanzania na kuwapa experience matokeo yake unaishia kulaumu the highest horizon na kuisahau the lowestHapa ndiyo namkumbuka JK Nyerere. Alimzuia Ali Hassan Mwinyi asibadili Katiba kuongeza ukomo wa kutawala ambao Mwinyi alikuwa anautaka kwa kupitia midomo ya wapambe. Lakini vike vile alizuia kupata viongozi wabovu kama Malecela, Kolimba na Lowassa.
Sasa hivi hatuna Nyerere. Ninachokiona tunahitaji Mungu tu atunusuru kutoka kwenye huu mtego. Tupate mrithi ambaye ni 'sober' na ambaye hatokani na msukumo wa Jiwe. Amini usiamini kwa hali iliyopo ya kuvunja katiba Jiwe anaweza kumuachia Bashite.
Akitoka kwenye kambi hasimu za CCM yaweza kuwa shida kubwa. Imagine mtu kama Membe anakuwa Rais, hiyo revenge itakuwa balaa.
Upinzani umetendewa vibaya sana katika historia ya nchi yetu. Naamini wakishinda immediately baada ya Jiwe revenge itakuwa mbaya sana. Hebu pata picha Tundu Lissu anakuwa Rais na Mbowe PM, hapatakalika.
Kwa hiyo tunahitaji sampuli kama za akina Jaji Agustino Ramadhani, Prof Mark Mwandosya, Dr Bilal au hata Nahodha. Sampuli ya watu nje ya mfumo uliopo madarakani sasa hivi na uliopo upinzani ndiyo wanaweza kuleta maridhiano ya kitaifa.
JPM aondoke hata 2020 kwa kuwa anajenga uadui sana kati ya Watanzania
Kwenye note book zao.wasiokuwa na lakusema wanacoment wap
What an utopian comment!Nadhani tusitupiane lawama sana maana tunaendelea kuzalisha sumu mbaya...tuogope sana na kukemea wale wote wanao panda hizi mbegu chafu. Mbona lilipokua linatokea tatizo watanzania wote tunaungana! Sikuwai kuona kabla ya utawala wa awamu hii watanzania wakigawinyika katika matatizo..mfano vita ya Kagera, janga la njaa na kuzama meli ya MV Bukoba nk. Lakini kwa sasa kila likitokea janga unaona kadri tunavyo gawanyika ata misibani mfano..ajari ya MV Nyerere,Moto Morogoro,tetemeko sasa ili la ndege NATO ndo kabisa tunagawanyika na kutafutana uchawi.
Viongozi wetu wapo kimya, Mh.Dr.Rais yupo kimya...kabisa .Akina msiba,kigogo,Makonda, Chalamila ,mdude nk wanatamba kutugawa. Polisi na vyombo vya ulinzi vimejiingiza kwenye siasa za vyama. Haki ,Uhuru,Demokrasia nk hamna tena.
Mh.Dr. Rais J.P.Magufuli wewe ni mkatoliki na unasoma Biblia bila shaka kama msaafu wowote..ebu warudishe watanzania pamoja. Waache wanasiasa wote wavyama vyote wafanye siasa kama katiba inavyoruhusu. Wakemee wale wanao eneza chuki ,kauli za kibabe,mara kuhujumu uchumi nk.
NINI KITATOKEA BAADA YA AWAMU HII YA TANO?
Inna haadha lafiy suhufi liu'la! Suhufi Julius wa Edward!Baada ya utawala wa magufuli ritutashuhudia:
1. Kukua kwa uchumi kwa kasi zaidi kwa kuwa miundombinu ya kuwezesha uchumi huo kufikiwa yanaboreshwa na kutengenezwa sasa. Na hii ndio legacy ambayo itakumbukwa juu ya utawala wa magufuli kwa miaka mingi.
2. Kukua na kuenea kwa kasi dhana na falsfa ya kujitegemea kwa nchi kwa vizazi vingi vijavyo. Falsafa hiyo imepata uhai mpya chini ya utawala wa Magufuli.
3. Vitendo vya wizi, ukabaji, ubakaji, ujambazi na uhalifu wowote mwingine utakuwa umepungua na kuweza kuisha kabisa. Hii ni kwa sababu watu wenye matendo hayo wanadhibitiwa sana chini ya utawala wa Magufuli.
4. kujengeka kwa mifumo imara ya kitaasisi ambayo ina nguvu ya kudhibiti na kuzuia uhalifu,wizi, ufisadi, rushwa na mienendo miovu katika jamii, sehemu za kazi n.K
5. Kujengeka kwa taifa lenye wazalendo halisi wa nchi yao na kuondokana na taifa la kianaharakati linachochea machafuko ,fujo,migomo na maandamano isiyo na tija wala umuhimu.
Hiyo ndio Tanzania baada ya Magufuli . kama huu uzi uishivyo naomba na comment hii idumu ili miaka 50 ijayo watoto na wajukuu zetu wasome hii comment.
Hii mada lazima itakumbukwa na vizazi vijavyo kama JF bado itakuwa hai au Google search engine bado itakuwepo.
Usiishi kwa kukariri. Sio kila homa ni malariaJPM akitoka madarakani tu, mtaanza kumsifia na kuanza kumsema kwa ubaya Rais atakaemkabidhi kijiti. Hiyo ndiyo kawaida ya Watanzania
Soma tu na upite siyo lazima uchangie, wengine vichwa vyenu vinabeba nywele tu. Wanachangia wenye akili tu humuWewe umejenga nn mkuu au unaona ya mwenzio tu? Kuandika ni ma manju wazuri sana lakn mkifuatiliwa hata lifestyle zenu ni za hovyo , kwa uliyoyaandika ungekuwa unayaamini au ungekuwa ndo ukweli basi tungekuona kwenye podium za ujasiriamali ukiwasaidia watanzania na kuwapa experience matokeo yake unaishia kulaumu the highest horizon na kuisahau the lowest