Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

Sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe. Hivi unaweza kulinganisha mikataba ya manunuzi ya ndege na ujenxi wa bandari?

Basi tusene wanunuzi wa ndege walikula 30% na hawa wa bandari hawajala kitu;. Kati ya hai wawili unadhani nani anatutia hasara.

Ndege ni zetu hata kama kuna watu waliku;a cha juu lakini bandari sio yetu kea miaka 99. Hata wajukuu zako hawataifaidi hiyo.
Peleka ujinga wako huko!!..Eti Bandari sio yetu!!..hao Funza kichwani hatari sana!!..
 
Zambia waliingia mkenge na hawa kenge wachina hawa. Sasa hivi Zambia iko kwenye pilikapilika za kujinasua. Tumesikia kenya pia waliingia mkenge wa hawa kenge wachina. Hawa ni watu hatu hatari kabisa wanaweza kukunyang'anya nchi nzima. Siwakubali kabisa hawa wachina
 
Kumbe ulisikia??!!..
 
Eti watch out!!!..Wewe Una fwata mkumbo wakati hata Mama Samia aliweka wazi tulipitia wakati mgumu akaenda mbali kusema tusamehane na kukubali tuliteleza wewe hujui chochote !!..Beberu ndio anakupa madawa,Elimu na makazi Bora, Nguo alafu nini?!!...

Tulikua sehemu Ngumu hili liko wazi sana!!.. Unadhani ilikua Sawa mtu kuchukua Marafiki zake kuwapa ubunge bila ridhaa ya Wajumbe wa Chama,Je Daraj la Ubungo kulikua na haja Gani kulipa jina la Rafiki yake!!..Au kule Burigi wanyama wapo?!!..
Duh...aisee...hahahahaha...TZ Kuna vituko aisee...nadhani tumerogwa...eti tulikuwa kwenye kipindi kigumu?! Una maana sasa tupo kwenye kipindi Cha neema?! Dah...bila Shaka wewe una petrol station na unapata mafuta ya wizi...Kama tuko vizuri manung'uniko ya Nini mitaani na majumbani? Tuko vizuri kivipi? Ajira zimeongezeka?! Bei za mahitaji muhimu zimepungua? Acheni ulimbukeni nyie...wewe unadhani kura zikipigwa Leo matokeo yatakuaje...nakuthibitishia kuwa uchaguzi ukifanyika leo 70 percent ya wapiga kura hawatakwenda kupiga kura...na watakaokwenda kupiga kura CCM itapata probably 51 per cent ..the lowest of all time...
 
Duh...aisee...hahahahaha...TZ Kuna vituko aisee...nadhani tumerogwa...eti tulikuwa kwenye kipindi kigumu?! Una maana sasa tupo kwenye kipindi Cha neema?! Dah...bila Shaka wewe una petrol station na unapata mafuta ya wizi...Kama tuko vizuri manung'uniko ya Nini mitaani na majumbani? Tuko vizuri kivipi? Ajira zimeongezeka?! Being za mahitsji muhimu zimepungua? Acheni ulimbukeni nyie...wewe unadhani kura zikioigwa Leo matokeo yatakuaje...nakuthibitishia kuwa uchaguzi ukifanyika leo 70 ya wapiga kura hawatakwenda kupiga kura...na watakaokwenda kupiga kura CCM itapata probably 51 per cent ..the lowest of all time...
Nacheka Yani huoni Hali ilivyobadirika!!..Unaona unavyo andika bila tatizo la Mtandao!!..Umeona Uwekezaji kwenye Soko la Hisa ulivyopanda!!..Umeona Sekta ya Utalii japo kuna Corona lakini tunaanza kupanda.. Nadhani wewe sio Mtanzania!!..
 
Ndiyo kwasababu upanuzi unaendelea mfano bandari ya Tanga kuna itakuwa inasafirisha mafuta ya Uganda sasa kwanini isikuzwe hii ? Bandari ta Dar imeanza kupanuliwa kuanzia wakati wa Magu . Mtwara inapanuliwa zaidi. Ingepeza kama utajibu maswali yangu
Umelala usingizi gani mkuu?.

Yaani upanuzi huo unaona kwamba mizigo imefurika hama bandari hazitoshelezi kupokea mizigo?.

Amka kijana, kwanza bandari ya Mtwara haipokei shehena yoyote, bandari ya Tanga kwa sasa tunaweza sema labda mafuta, Dar ndiyo utinwa mgongo wa taifa ila bado sana kwa shehena zinazoshuka hatuwezi kusema imeelemewa.

So tulia usome mchezo wa wapigaji nchi hii uone wanavyotaka kula na wajukuu zao, bahati mbaya tuna asili ya kupiga kelele ambazo mwisho wake hazizai matunda, tunakuwa kama keyboard warriors!.
 
Makandokando ya mkataba wa bandari ya bagamoyo yanajulikana na hata hayati magufuli alishayaongelea akiwa hai, sasa wanapofanya mipango yao ya kumkaribisha mkoloni wa kichina kwa maslahi wanayoyajua wao wajiandae kwa consequences....
 
Duh...aisee...hahahahaha...TZ Kuna vituko aisee...nadhani tumerogwa...eti tulikuwa kwenye kipindi kigumu?! Una maana sasa tupo kwenye kipindi Cha neema?! Dah...bila Shaka wewe una petrol station na unapata mafuta ya wizi...Kama tuko vizuri manung'uniko ya Nini mitaani na majumbani? Tuko vizuri kivipi? Ajira zimeongezeka?! Bei za mahitaji muhimu zimepungua? Acheni ulimbukeni nyie...wewe unadhani kura zikipigwa Leo matokeo yatakuaje...nakuthibitishia kuwa uchaguzi ukifanyika leo 70 percent ya wapiga kura hawatakwenda kupiga kura...na watakaokwenda kupiga kura CCM itapata probably 51 per cent ..the lowest of all time...
Kabisa ndio ukweli wenyewe 100% mood ya watanzania wengi ukiwasikiliza hasa vijana hawana sababu ya kupiga kura uchaguzi wa 2025 kama mama ataendelea.

Mama ana muda wa kubadili upepo ila strategy aliyoanza nayo aijapokelewa vizuri.
 
Kama wewe hutopiga Kura Sisi tutapiga ni fahari iliyoje kumpigia Kura mtu ambae anafanya Kazi tuliyomtuma
 
Sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe. Hivi unaweza kulinganisha mikataba ya manunuzi ya ndege na ujenxi wa bandari?

Basi tusene wanunuzi wa ndege walikula 30% na hawa wa bandari hawajala kitu;. Kati ya hai wawili unadhani nani anatutia hasara.

Ndege ni zetu hata kama kuna watu waliku;a cha juu lakini bandari sio yetu kea miaka 99. Hata wajukuu zako hawataifaidi hiyo.
Wewe mpumbavu acha kuamini ujinga wa mtu mmoja,ni nini kinakufanya uamini huo mkataba kwamba una vipengele vya kipuuzi kama hivyo mnavyoaminishwa na serikali imekubali? Mbona mnageuzwa maboya kiasi hicho ndugu!
 
Kuna watu waliamini kila kinachosemwa na Magufuli na ukionesha kutilia shaka ukweli wa hicho kilichosemwa unaambiwa wewe sio mzalendo yaani mtu anataka uamini kila kilichosemwa na huyo mtu kama vile wewe kichwani huna ubongo! Nasema Hapana.
 
Kabisa ndio ukweli wenyewe 100% mood ya watanzania wengi ukiwasikiliza hasa vijana hawana sababu ya kupiga kura uchaguzi wa 2025 kama mama ataendelea.

Mama ana muda wa kubadili upepo ila strategy aliyoanza nayo aijapokelewa vizuri.
Tatizo ni kuwa Mama amezungukwa na mijitu isiyoona mbali na inayopigania maslahi binafsi....Yeye Mama Kama kiongozi wetu mkuu Hana tatizo kabisa...ila anapata pressure kutoka kwa watu ambao wanaona huu ndio wakati wa kutamba kimaslahi...upinzani wa sasa uko ndani ya CCM...kura zikipigwa leo CCM itashinda kwa mbinde...wengi hawatakwenda kupiga kura...na watakaopiga kura CCM itashinda kiduchu...manung'uniko mitaani na majumbani ni makubwa mno...
 
Ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom