Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Wala hkukua ni Kimuhemuhe ..Ni watu tuliojuana muda mrefu , Sema distance Factor ..Tulikua tunaishi mikoa tofauti

Hongera sana
Hilo ndio kosa. Kabla ya ndoa ni muhimu ku cohabit ili mjuane tabia zenu mapema.
 
Mpe uroda asubuhi mchana na jioni halafu mpe Kama vile sio unalala Kama gogo halafu utegemee asichepuke.
Mpe hicho kitu afaidi. Kumbania bania ndio maana anakwenda kwa hao ma bitch wanaompa yote.
Halafu epuka kua argumentative and fault finding.
Anzisha topic anazopenda atakaa akusikilize. Sio kulalamika 24/7
Wanaume tunapenda peace and uroda.
Ushauri mwingine mzuri huu hapa
 
Basi kua mwalimu wake ila hapo kwenye namba tatu umeongopea maana kuna ujumbe huko chini umesadifu kua wewe ni muongeaji sana .

Punguza kuongea na acha kumfatilia kila anapo zingua .

,Mpe pigo la kiakili kwa sababu ulisha mwambia anakosea ila anaendelea wewe kua busy na majukumu yako usionyeshe kushtuka wala nini , kua busy tu na kazi zako na mwema kwake kwa week angalau moja lazima atauliza kulikoni na akiuliza tuu anzeni hapo hapo kuyajenga.

NB. WANAUME TUKIKOSEA ALAFU MWANAMKE AKAJUA NA AKAKAA KIMNYA HUAGA TUNAHISI HATIA MOYONI , ILA UKINYANYUA MDOMO NDIYO UMECHOCHEA KOSA

Kama ni uongo nipigwe mawe nipo hapa
@jjs2017 mwamba uko sahihi sana,umejaribu kum-anticipate huyu dada atakua natabia zakumpigia mmewe kelele na kumkagua kagua au kumchunga chunga kama mtoto.nadhani pia anatabia au mdomo usio nastaha kwa mmewe.maana kama nikuhudumia familia jamaa anaonekana anajitambua sana tu ila yy anachohitaji nikumcontrol mmewe.aaanze yy kubadiri tabia zake chafu huenda jamaa nae ashachoka na tabia za huyu dada.ila anamvumilia tu.
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Amevunja ndoa Madame Flora Mbasha itakuwa wewe mkuu,piga chini Hilo lofa
 
Amevunja ndoa Madame Flora Mbasha itakuwa wewe mkuu,piga chini Hilo lofa
Jamaa yake katoa ya MOYONI amatoka zake Safari kutoka ughaibuni yeye hajaenda kumpokea airport, amefika nyumbani hajamwekea chakula hakuna salamu hakuna pole kwa Safari, usiku kamlaza na njaa mpaka kunakucha asubuhi, anaamka hajamnyoshea nguo hakuna kifungua kinywa alichomwandalia na usiku hajalala nae kalala chumba cha watoto yeye kalala peke yake hadi kunakucha,

Hivi km ni wewe hapo huwezi kuhamia kwenye bar iliyo karibu nawe ukate kilevi kupunguza mawazo maana unaona umeoa dushu?
 
Acha kulialia,mdhibiti. Yaan uwe mbabe. Fuatilia nyendo zake kila mara,yaan ni abiria chunga mzigo wako. We viiipii?
 
Acha kulialia,mdhibiti. Yaan uwe mbabe. Fuatilia nyendo zake kila mara,yaan ni abiria chunga mzigo wako. We viiipii?
Unampoteza atakuja mtu kusimulia kangolewa meno na spana hapa we fanya huo ujinga tu
 
Bora Mwanaume mlevi mara kumi kuliko Msaliti katika ndoa kwa maana msaliti analeta laana zote huko nje analeta ndani, Magonjwa yote analeta ndani bila kusahau mikosi.
Izo ni kelele tu hakuna mwanaume ambaaye hachepuki labda kma ana matatizo ya kimaumbile
 
Punguzaa mdomo inaonekana unampigia sana kelele akirudi usiku mm si mtokaji wa usku siku nilikuwa nataka kutoka siku mojaa na jamaaa zangu wife akafunga mlango na kunipandishia sauti nilikwazikaa sana nikaweka moyoni week end inayofta nilivyotoka kzni ckurudi siku tatu kwaiyo labda kelele zako zinamkwaza alafu unakuta na yeye ameichoka ndoaa tayri au labda anajiisi na yeye alikosea kuowa au anaowa aliwahi sana kuowa ndyo maana hajali tena chochote aata ukiivunja
 
Mnashindwaga kujua misingi ya maisha na ndoa na muda mwingine mnapata msukumo toka kwenye vitu vya kupita. Cha msingi beba mafasi yako kama mwanamke na ujiulize kama huyo amezingua yupi unayemjua atakaekua sawa. Usione watu wanacheka nje ndani kwa moto ila maisha lazima yaendelee.

Alafu umesema umefunga ndoa kwann ushauri kama huu usiwaombe wasimamizi wenu wa ndoa? Unaonekana una tatizo pia hebu jirekebishe alafu jitahidi umrekebishe
 
Tulikua Tunaishi Mikoa tofauti , So Hizi Tabia Nimekuja Kujua baada ya kuanza kuishi nae baada ya Ndoa
Hapa ndio mlipokosea na nimeliona tatizo hili kwenye ndoa nyingi hasa hizi za vijana wenzetu kusema ukweli tumekuwa tukikurupukia sana hizi ndoa sio kanisani wala msikitini.

Katika hali ya kushangaza ndoa hizi nyingi hazijapata muda sahihi wa kufahamiana.
Ona wewe sasa unakili wazi kuwa mlikuwa mkiishi mikoa tofauti hivyo hamkupata nafasi ya kufahamiana zaidi ingawa muda wa kugegedana mlikuwa mnapata (shwain wewe)

Kipimo cha mahusiano ni kupika na kupakuwa hapa ndani ndio mtagundua mengi likiwemo kupika,kufua n.k
 
Mku hapo nikama unataka uhamie majarubani kisa karibu na nyumba yako yanapita maji ya mvua
Fanya mkae chini mshauriane muongee kila mmoja lakwake kama kwenye mahusiano mlikuwa vizur iweje xa now mbadilikiane hata we wenda kuna maovu yako hawez kukwambia ndo anaona njia rahs ni hio japo sio suruhisho kuna madudu yako anayajua hatak kukwambia ndo wanaume hao mvumilie tu mlee familia
 
Hivi wewe uko kwenye ndoa au? Sehemu kubwa ya wagonjwa wa ukimwi hawako kwenye ndoa!!
Ukimwi uko huko ndoani. Na hata kama uko nje. Yeye ameshakwambia jamaa yake anakula sana nje. Sasa salama uko wapi hata tukichukia scenario yako
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Jitathimini ww Kwanza, yaweza kuwa ni Chanzo
 
Back
Top Bottom