aisee ni bahati mbaya tuu kuwa mie huko mbinguni sitafika lakini nilikuwa na shahuku ya kuwaona hao warembo waendao mbinguniNdio sisi sisi, mbinguni moja kwa moja yaani. Hiyo imeenda.
Natamani Uzi huu auone my wife aone jinsi alivyobarikiwa kupata mume bora kiasi lakini bado ananiona kama shetani tu.😀😀Natamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Samahani bibie, wewe ni mwanandoa?Ndoa na malaya itakuletea ugonjwa wa moyo na afya yako umeiweka rehani kwa mikopo kausha damu.
Watu waache kukuhadaa eti wanaume ndio walivyo umvumilie!. Huyo hana shida na hiyo ndoa, hakupendi ila ukitaka kuachana anajidai kuomba msamaha HAMAANISHI. Hakuna mtu anayempenda mkewe au mwenza wake akafumaniwa mara 2 ama akalala nje haipo.
Wewe angalia tu kama utaweza kulivumilia hilo gubegube ama laaah. Wti angalia kama anahudumia familia kwani wewe ni nguruwe kuwa wahitaji kushiba tu? Hapo zamani ulikuwa huli?
Acheni kutete wenza washenzi wa hivi.
Wanaume ndivyo tulivyo, mvumilie tu. Wanaume wote baba yetu na mama yetu ni mmoja, huyo anayekudanganya uachane na mume wako, anafanya hivyo Kwa sababu bado upo Kwa mumeo, ukivunja ndoa utaona picha yake halisi.
Bado hujamshauri avunje ndoa au aendelee nayo, hizi nyingine ulizoandika ni bla bla.Acha kutetea ujinga, wanaume tunaochepuka huwa tunalinda heshima ya wake zetu, tunawalinda dhidi ya maambukizi kama vile UKIMWI, mwanaume unapaswa umuheshimu mkeo, mpe haki yake, nenda nyumbani kwa muda muafaka ili uwaage wanao wanapokwenda kulala, kila kitu kina muda wake sio unabwatuka kwenye bar usiku wote.
Unapaswa uhakikishe himaya ya mkeo inalindwa, hakikisha michepuko haingilii safu ya mkeo, wabaki kwenye mistari yao, mimi binafsi huwa nahakikisha nimewekana sawa na mchepuko kwenye hilo, kwamba siku akivuka na kuingia kwenye safu ya mke wangu ndio basi uhusiano wetu unaisha.
Bado hujamshauri avunje ndoa au aendelee nayo, hizi nyingine ulizoandika ni bla bla.
Basi mwambie afahamu wanaume wote ni wachepukaji, lakini uwezo wakutunza taarifa zao ndio unatofautiana Kwa mantiki hio wanaume ndivyo tulivyo. Kama atavunja ndoa yake huenda akapata mtu Bora au mbaya kuliko huyo alienae, lakini pia huyo atakaempata hatakuwa na mapenz na watoto wake kama mumewe halisi.Wewe ulimshauri aendelee kuendekeza ujinga kisa eti wanaume ndivyo tulivyo, kama ndivyo ulivyo basi fahamu wewe ni dhaifu.
Tunachepuka ila hatuachii yafike nyumbani, inabaki siri kali na kila kitu kwenye mipaka yake.
Mwanaume unayekesha kwa bar na michepuko na kutelekeza familia ni dhaifu na haupaswi kuwa na mke, hivyo nashauri huyo mdada aondoke tu hapo hamna ndoa, hamna mwanaume.....
Hili ndo tatizo la under 30 wengi au wadada wanaokuwa wamewahi sana kuolewa.Natamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Basi mwambie afahamu wanaume wote ni wachepukaji, lakini uwezo wakutunza taarifa zao ndio unatofautiana Kwa mantiki hio wanaume ndivyo tulivyo. Kama atavunja ndoa yake huenda akapata mtu Bora au mbaya kuliko huyo alienae, lakini pia huyo atakaempata hatakuwa na mapenz na watoto wake kama mumewe halisi.
Hayo mengine yanaendelea kua bla bla, na alitaka amuone huyo anaemshauri kuiacha ndoa avunje ndoa yake
Natamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Pole sana .Natamani kuvunja ndoa yangu.

Swali babkubwaKabla hajakuoa je alikuwa na tabia hizi?
Wewe huwezi kua baba huku unashabikia ushoga, Acha Wanaume tuzungumze.Unapaswa upate elimu ya nini maana ya kuwa mwanaume, narudia acha kutetea ujinga, mwanaume kamili ilinde familia yako kutoka kwa uchafu wako huko nje, wengi tunachepuka hata mimi hapa lakini nahakikisha nimechora mstari.
Kukesha kwenye bar na michepuko hiyo tayari ni kasoro kubwa sana unapaswa upate msaada....ni udhaifu mkubwa sana, ni majanga na aibu sana, haupaswi kuitwa baba au mume....
Nani kakwambiaAcha uongo.
Wanawake ni rahisi sana kusamehe mume akitoka nje ya Ndoa.